City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
King'ora cha tahadhali kimelia haifa
King'ora cha tahadhali kimelia haifa
Kabisa, na Iran ametambua hilo anapiga kwenye mshono, yaani Trump akibahatika kutoka kwenye hii vita hawezi tena kuleta kiherehere. Atafanya hata sherehe.Hata press yake ya Jana Trump hana confidence kabisa sababu hii vita inaweza kuwa card mbaya kwake maana Wananchi , wapinzani , media na mataifa makubwa hawajapendezwa na kuunga mkono hii vita .
Ikiishia pabaya kashajikanyaga maana atapigwa spana balaa na ikizidi kuchukua muda mrefu ni mbaya sana kwake maana ndio anachochea moto wa wakosoaji .
🤣🤣🤣Iran inaanza kumfikilia Pakistan. Inasemekana Kambi za kijeshi za marekani zilizoko Pakistan ndio zinazofuatilia na kufanya udukuzi wa movements za kijeshi za Iran zaidi huko Balochinstan. ( Paf base Samungli).
Hawa jamaa kobazi hawaamini, vita vya siku 12 hawa Pakistan walijifanya wako upande wa Iran. Akiishambulia Pakistan wao nao wananyuklia. Lakini ni kama kuwapa haueni India ambao ni machawa wa Israel na Maadui wa Pakistan.
Iran hii kazi peke yake itamshinda mapema, angeongezeka mchina tu au kiduku au Russia peke yake wangetembeza kichapo dunia nzima. Ila akisema apige kila mwarabu lazima aishiwe Pawa.
Bigger picture ni hiiTurudi kwenye uchumi athari yake. Sasa check market fallout vile mambo yamechemka:
S&P futures zimedrop 1.5%. Nasdaq futures down 2%. DoW futures minus 705 points, Wall Street iko shaky vibaya.
South Korea’s Kospi imecrash 7.24% , the biggest drop in 19 months. Samsung down 10%, investors wanapull out fast fast.
Saudi Aramco wameshutdown Ras Tanura, refinery yao kubwa kabisa , 550,000 barrels per day zimeenda offline after drone strike. Hii si small move, ni serious supply hit.
QatarEnergy wamehalt ALL LNG production. European natural gas futures zimespike 40% , energy market imepanic. EU walikuwa wanategemea energy ya Qatar kama alternative ya Russia baada ya vita na vikwazo
UAE Abu Dhabi securities exchange ADX) na Dubai Stock market/Financial Market (DFM) haijafunguliwa siku ya pili leo
Insurance companies sasa wanacancel war risk coverage kwa vessels zinazoingia Persian Gulf. Basically shipping imefreeze, hakuna mtu anataka risk. Gharama ya kusafirisha mizigo kutoka huko zimepanda
Oil imepanda siku ya tatu straight. Analysts wanasema kama Hormuz inabaki closed, $100+ per barrel si story ya mbali. Tusubiri EWURA na bei elekezi
Defense stocks ndio pekee ziko green. South Korean defense companies zinarun 20–30% juu vita kwa ground, profits kwa screen. Hapa ndio makampuni ya silaha faida zianongezeka
Hii ndio reality ya geopolitics kwa market risasi zikilia, charts zinatikisika. Money haipendi uncertainty
Hii vita yote ni ya Marekani hakuna asiyejua hili. Israel na NATO ni washiriki tuHuyo mtu uongo upo kwenye damu. Sijui anapata raha gani
Kabisa mtu anasema hakuna ndege za Israel?
Ungemuuliza ndege zinazoshambulia Iran zinatokea wapi.? Ungemuuliza pia zinazoshambulia Lebanon muda huu nazo zinatokea wapi
Marekani Haina kambi za kijeshi Pakistan .Hiyo umeiona wapi boss?Iran inaanza kumfikilia Pakistan. Inasemekana Kambi za kijeshi za marekani zilizoko Pakistan ndio zinazofuatilia na kufanya udukuzi wa movements za kijeshi za Iran zaidi huko Balochinstan. ( Paf base Samungli).
Hawa jamaa kobazi hawaamini, vita vya siku 12 hawa Pakistan walijifanya wako upande wa Iran. Akiishambulia Pakistan wao nao wananyuklia. Lakini ni kama kuwapa haueni India ambao ni machawa wa Israel na Maadui wa Pakistan.
Iran hii kazi peke yake itamshinda mapema, angeongezeka mchina tu au kiduku au Russia peke yake wangetembeza kichapo dunia nzima. Ila akisema apige kila mwarabu lazima aishiwe Pawa.
na waziri wa ulinzi pia alikataa special protection?Ayatollah alikataa special protection boss, alikataa kabisa.
Intel ya Iran ilimuambia wakamuweke mahala salama akakataa.
Hakuna intel yoyote ya ajabu Israel na US walitumia.
Kama wana intel, ilikuwaje katika mateka 200 waliotekwa na Hamas, wasipate hata mmoja, hali ya kuwa walifanya ground invasion na wakafunga anga la Gaza? unaelewa ukubwa wa Gaza unaingia mara nagpi kwa Iran, unaelewa umbali wa Gaza na Israel?
Hivyo hakuna maajabu yeyote, Ayatolaah alikuwa very easy target.
Viongozi wa Iran na makamanda wa jeshi wanaishi kwa kufuata falsafa za Ayatollah, mfano mzuri Tanzania, kipindi cha JPM uliona jinsi viongozi wengi walikuwa wakifuata mienendo ya JPM.na waziri wa ulinzi pia alikataa special protection?
kuna watu wakatili kama waarabu? waarabu si ndo wanaochinja watu na mapanga tena hadharani?Eh watu hawaui sababu sio kila MTU ana roho mbaya kama nyie, kila MTU hapa jukwani ana uwezo huo ila watu ni wastaarabu.
Kwao hao Israel ni jadi yao kuanzia Enzi za mitume wao ni watu wa kuua viongozi, kuua watoto, kubaka watoto, there is a reason kwanini website kubwa za ngono zinamilikiwa na viongozi wao wa dini, there is a reason kwanini Wana kina Epstein, ni kawaida hao kunywa damu za watu na kuleta machafuko mengi Duniani.
Wengine hawaui sio sababu hawawezi kuua ila Imani zao na ustaarabu wao unakataza kuua wasio na hatia.
Huyo dogo mnamu overrate sana hana maajabu.Kiduku:
Raia wangu wamo Iran. Kama hata mmoja atajeruhiwa kidogo na mimi nitaingia vitani. Wote watoke wakiwa wazima.
kwa hiyo unataka kuniambia kwamba wanajua kabisa kwamba wanawindwa ili wauwawe and then hawachukui measure zozote za kujilinda sababu wanafuata falsafa za ayatolah? ndo unachosema?Viongozi wa Iran na makamanda wa jeshi wanaishi kwa kufuata falsafa za Ayatollah, mfano mzuri Tanzania, kipindi cha JPM uliona jinsi viongozi wengi walikuwa wakifuata mienendo ya JPM.
Kuanzia kina Kasim, wakuu wa mikoa n.k..
Kiongzi wako hawezi kjitoa fanya jambo flani halafu wewe unajificha na hujitoi.
Ndio maana wanakuwa easy target.
Nimeona Lockheed Martin, inapanda tu..Bigger picture ni hii
Energy prices kupanda inapelekea gharama za kila kitu kupanda
Oil na gas zikisurge, transport, manufacturing, umeme zote zinapanda cost.
Hii inaleta global inflation wave nyingine.
Nchi ambazo zinaimport mafuta mengi (Europe, Asia, Afrika) zinaumia zaidi. Fuel ikipanda, chakula na bidhaa pia zinapanda.
Supply chain disruption
Kama Persian Gulf na Strait of Hormuz zina shida, hiyo ni route ya mafuta na LNG nyingi duniani.
Shipping ikifreeze + insurance kukata cover = bidhaa kuchelewa + freight costs kupanda.
Tuliona hii during COVID, supply shock inaweza slow down global trade fast.
Stock markets volatility
S&P, Nasdaq, Kospi kushuka inaonyesha investor confidence iko low.
Watu wanahamisha pesa kutoka risk assets kwenda safe havens kama gold au US treasuries.
Hii inaweza kupunguza investment, kuslow business expansion na unemployment
Risk ya Global Recession
Kama oil inapanda hadi $100+ na gas spike inaendelea, central banks zitakuwa kwenye dilemma, Wakipandisha interest rates kudhibiti inflation, growth inashuka
Wasipopandisha, inflation inakimbia
Hiyo combo inaweza kusukuma baadhi ya economies kwenye recession.
Defense sector kunawiri
Kama nilivyosema, defense stocks ziko green.
Geopolitical tension ikiongezeka, nchi zinaongeza military budgets.
Lakini hiyo haibalance damage ya energy shock kwa broader economy.
Emerging markets ziko risk zaidi
Countries zenye madeni makubwa na currency dhaifu zinaweza kuona currncy depreciation, capital flight na Balance of payment crisis
Bottom line
Vita ikiendelea, oil ikipanda, shipping ikisimama dunia inaingia mode ya “expensive living + slow growth.”
Na economy ya dunia haipendi uncertainty.
Markets zinaweza recover kama tension inapoa, lakini kama escalation inaendelea, tunaweza kuona slowdown kubwa globally
special protection dhidi ya mossad au😀na waziri wa ulinzi pia alikataa special protection?
Ushaona wapi Taifa la kiarabu linavamia mwenzake ovyo ovyo ambalo halipo supported na west. Vita vyote hapo mashariki ya Kati vimeanza baada ya divide and rule ya west, before that wote walikua Tu ni kama Taifa moja Ottoman na jangwa ambalo kulikua na vitaifa vidogokuna wat
kuna watu wakatili kama waarabu? waarabu si ndo wanaochinja watu na mapanga tena hadharani?
Kuna watu hawako objective.Huyo mtu uongo upo kwenye damu. Sijui anapata raha gani
Kabisa mtu anasema hakuna ndege za Israel?
Ungemuuliza ndege zinazoshambulia Iran zinatokea wapi.? Ungemuuliza pia zinazoshambulia Lebanon muda huu nazo zinatokea wapi
Marekani Haina kambi za kijeshi Pakistan .Hiyo umeiona wapi boss?
Trump family na marafiki zao lazima wapige pesa ya kutosha hapo kama alivyofanya kwa VenezuelaNimeona Lockheed Martin, inapanda tu..
Huu mgogoro naamini kuna watu watatajirika sana na wengine watafisilika.