Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Viongozi wa Iran na makamanda wa jeshi wanaishi kwa kufuata falsafa za Ayatollah, mfano mzuri Tanzania, kipindi cha JPM uliona jinsi viongozi wengi walikuwa wakifuata mienendo ya JPM.

Kuanzia kina Kasim, wakuu wa mikoa n.k..

Kiongzi wako hawezi kjitoa fanya jambo flani halafu wewe unajificha na hujitoi.

Ndio maana wanakuwa easy target.
Kwa mfano wakati wa kovidi JPM hakuvaa barakoa na wa chini yake hawakuvaa barakoa.
 
Vitaje hivyo vikundi?
Na pia usisemee tu vikundi vinavyobeba silaha kwa landcruiser pickup.
Vikundi vya Iran vyote vina silaha za viwago vikubwa hadi vifaru na makombora ya masafa marefu.
Kichapo anachokula Hizbollah unakiona au? Waambie Houthi warushe hata RPG. Hamna anaewashindwa wanakuwa neutralized wanaachwa. Baba yao anafinywa sasa waambie waungane naye.
 
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora moja ya kambi ya jeshi ya logistics eneo la vardavard - Karaj
20260303_180716.jpg
 
Meli na ndege zote kwisha. Zimebaki missiles na honestly hizi missiles zinawatoa jasho USA na Israel ndio maana wanataka kuhakikisha Iran hatengenezi nyungine.
Iran hatumii Meli na Ndege, in short Hana Meli wala Ndege mpya yoyote tofauti na vimeli/Viboti vidogo Tu vya patrol. Gharama ya kutengeneza manowari moja ni makumi ya matrilion mwenzako hio anafyatua makumi elfu kama sio malaki ya makombora na Drones.

Kilicholipuliwa ni private yatch, za watu binafsi Tu, na hizo Ndege zao mig za zamani bado zina patrol Anga la Iran.

Wana tight budget hivyo inabidi waitumie efficiently na sio kutengeneza projects ambazo ni luxury. Meli ghali na kuipiga ni rahisi, haina faida nyingi.
 
Israel amekamatwa na Hezbollah huko, na missiles za Iran zinashuka kama mvua... Saudia kama anaingia vitani basi ni shinikizo la Israel, kwa maana hadi sasa Israel na US inatafuta mshirika yeyote ajitokeze kuwasaidia.

Na ajitafakari kama yupo tayari kwa maafa ya vita, maana watapigwa pasahaulike kama ni Saudia. Yemen wana hasira sana na Saudia. Houthis tu pekee huwa wanaipelekesha mperampera Saudia.
Na wa Houth Wana hitaji ni kuwezeshwa kisilaha TU,mambo mengine waachieni wao.
 
Wameteketeza viwanda vyote vya silaha na sasa wanashambulia hizo silos za ballistic missile, stock inaisha karibu
Shida ninyi watu mnaweka hisia mbele kuliko uhalisia.
Mwaka jana vita ilipoanza wewe wewe ulisema kuwa Iran imeharibiwa miundombinu yote haina uwezo tena. Cha ajabu aliyekuja kuomba poo ni Israel.
Video zinatembea mtandaoni huko vyumba vinatolewa mahandaki ya Tabriz kusambazwa maeneo ya tukio.
Iran anafanya underground missile launching kijana.
 
Iran hatumii Meli na Ndege, in short Hana Meli wala Ndege mpya yoyote tofauti na vimeli/Viboti vidogo Tu vya patrol. Gharama ya kutengeneza manowari moja ni makumi ya matrilion mwenzako hio anafyatua makumi elfu kama sio malaki ya makombora na Drones.

Kilicholipuliwa ni private yatch, za watu binafsi Tu, na hizo Ndege zao mig za zamani bado zina patrol Anga la Iran.

Wana tight budget hivyo inabidi waitumie efficiently na sio kutengeneza projects ambazo ni luxury. Meli ghali na kuipiga ni rahisi, haina faida nyingi.
Hakuna ndege yeyote ya Iran sasa, zote zimelipuliwa au zimefichwa
 
Kichapo anachokula Hizbollah unakiona au? Waambie Houthi warushe hata RPG. Hamna anaewashindwa wanakuwa neutralized wanaachwa. Baba yao anafinywa sasa waambie waungane naye.
Israel analipua raia kushinikiza serikali ya Lebanon kuwapokonya silaha Hizbollah.
Nadhani mkuu hukumsikiliza hata mkuu wa IDF mwenyewe alisema Hizbollah ikiingilia tutaharibu maisha ya raia wa Lebanon.
Houthi mwaka jana alifunga bahari ya red sea USA alifanya nini!?
Houthi hao hao si USA alishindwa kuwateketeza na kumuweka kibaraka wake Mansour!??
 
Back
Top Bottom