City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥💥💥
Israel imeshambulia kwa makombora oil Depot ya shahran
Israel imeshambulia kwa makombora oil Depot ya shahran
Ila kwa ground Iran ndio anachezea kichapo au? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua ila Israel ndio anashambulia sana. Ni strategy au pumzi inakata?Ukiona mtu kila muda anasema 'walitaka mazungumzo tukakataa'.
Ujue yeye ndiye anataka na Iran wanakataa...
Trump anapitia wakati mgumu sana kiakili na kisaikolojia, amebakiza cheap propaganda. alifikiri vita ni kama script za kutunga za mieleka ya WWE alikuwa anafanya zamani. 🤣 🤣 🤣![]()
![]()
Wewe ni pro Israel uliye neutral.💥
Drone imeonekana eneo la huko Galilee, bado haijjulikana imetoka kjwa Hezbollah au Iran.
RRONDO mfano hii drone ikipiga ndio habari huja ilipopoga. Na picha utaziona. Ikiwa intercepted hutaona habari
Video footage:
Futari inalika kweli?💥💥💥💥
Video footage: Israel muda huu inashambulia kwa makombora makao makuu ya Hassan mojtaba kaskazini mwa Tehran. Mlipuko mkubwa
Mkuu RRONDO sasa hivi Tehran giza limeingia bado mashambulizi yanaendelea. Unaweza kuona kwenye video hapa chini
Hapana, mm wowote akipigwa sawa tu napenda hizi vita. Hivyo anayepigwa naona sawa acha apigweWewe ni pro Israel uliye neutral.
Ni media tena maarufu. Wanaficha sana yanayoendelea Israel, tafuta vyanzo toka twitter ambavyo wana post mashambulizi ya Iran utaona.Ila kwa ground Iran ndio anachezea kichapo au? Tangu jana mashambulizi ya Iran yamepungua ila Israel ndio anashambulia sana. Ni strategy au pumzi inakata?
Mkuu unaongea sana ila kwa ground mambo tofauti. Una rate Iran juu sana. Muda utaongea.Si kweli, Iran wana ndege bado .
Wana underground air base inayoweza kuchukua ndege zote na bombers, hio base inaitwa oghab 44... ni bonge moja la base.
Kinachopelekea Iran wasirushe ndege zake mashariki ya kati au pengine kuto invest zaidi kwenye aircraft ni kwa sababu ya uwepo wa maadui sehemu zote wanamzunguka.
Hivyo anga la mashariki ya kati si salama sana kwa Iran kutumia ndege sana sana zitapigwa. gulf states zote unaona ni puppets wa west na Israel.
Ndio maana amewekeza heavily kwenye tech za missiles.
Hypersonic ni rocket science ile, kama ukisikia ule msemo unapendwa sana kusema endapo ukiwa unataka kumuambia mtu kitu flani si kigumu wanasema 'its not a rocket science'... hivyo wangetaka tengeneza jet wasingeshindwa, wangefanya hata modofication kama Israel inavyofanya.
Hivyo Iran angetaka kuwekeza heavily kwenye air force kwa kutumia ndege asingeshindwa kununua hizo ndege za China J-10 n.k ambazo zilidungua Rafale ya India.
Hivyo kama wameweza kufanya sayansi ngumu zaidi ya roketi ya hypersonic ambapo hata Israel hawana na wala US, usifikiri wangeshindwa tengeneza au hata ku modify ndege zao kwa kununua vifaa China na Russia.
Hivyo Iran always wapo mbele ya muda, ndege wanazo chini ya ardhi. hazijapigwa zote.
![]()
Mbona USA wanaweza kutoa footage kutoka kwenye ndege zao? Iran watoe footage zao wanapopuga sensitive targets za Israel.Ni media tena maarufu. Wanaficha sana yanayoendelea Israel, tafuta vyanzo toka twitter ambavyo wana post mashambulizi ya Iran utaona.
Iran inaendelea na mashambulizi kama kawa, hawawezi kuishiwa missiles.
Iran imesha maliza base za US zote middle east.Mkuu unaongea sana ila kwa ground mambo tofauti. Una rate Iran juu sana. Muda utaongea.
Weka kwenye translationMkuu mimi siongei Kiyahufi.