Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Kwamba wafunge camera kwenye Kombora?

USA na Israel propaganda na kubrainwash watu ni jadi yao, wao ndo wanahangaika kujisafisha, Iran ye lengo lake ni kupiga sio sifa ama kutengeneza Hollywood movie,

Just imagine vice versa is true na Israel ndio kasambaratisha kambi zote middle East za USA at same time Iran wamejifungia chini ya Ardhi ving'ora kila sehemu, na Israel inatifua mabunker ya iRan wanakufa huko huko chini ya Ardhi, basi tungetambiwa humu jukwaani watu wangeandika kila sehemu. Ila sababu Iran ndio amefanya hivyo kila MTU ana downplay.
Nazungumzia ndege ndio zinatoa footage ya attacks. Kuna mtu kasema ndege za Iran zinashambulia ila mediia hazioneshi. Hata wewe unaweza kupist success za Iran hakuna aliekuzuia.
 
Kwa akili yako unafikiri Ayatollah alikuwa na mpango wa kuachana na nuclear, miaka 30 kila siku mazungumzo, na alishasema nia ni kuifuta Israel duniani 😂, mjinga tuu ndio atasubiri
We jamaa unazidi kudhihirisha huna akili.
Iran kama ingekua inataka kuwa na nuclear basi ingeshaunda MUDA SANA.
Khomeini aliwazuia sana wasiunde kwa upuuzi wao wamemuua.
Sasa Alireza ameamuru nuclear iundwe.
 
1772559445593.jpg
 
Unafikiri kuunda nuclear ni kama kula maharage , angekuwa anaweza angekuwa nalo na kusingekuwa na wa kumgusa
 
Nazungumzia ndege ndio zinatoa footage ya attacks. Kuna mtu kasema ndege za Iran zinashambulia ila mediia hazioneshi. Hata wewe unaweza kupist success za Iran hakuna aliekuzuia.
Kwa uelewa wangu Ndege zao hazitoki Iran zina patrol Tu juu ya Anga la Iran na zina shot drones za USA/Israel na footage zipo hizo drones zikitunguliwa.
 
Wacha UFALA wewe,Israel toka lini ikawa na huruma na raia?
Unajua raia wangapi wameuaawa kimakusudi hadi sasa na Israel!?
Au huoni ndege anazotuma 200+ kwa mpigo zipige target hovyo!?
Kama Iran ingekua haina Air defense system hata moja basi ingegeuka Gaza hadi sasa.
Wewe Jamaa akili kisude Israel inahitaji support ya wairan so ukiona imeua raia kama wale wanafunzi ujue ni military blunder tu! Ila ingekua hawataki support ya wananchi wa Iran! Vifo vingekuwa vimeshafika 10,000+
 
Unafikiri kuunda nuclear ni kama kula maharage , angekuwa anaweza angekuwa nalo na kusingekuwa na wa kumgusa
Yaani Iran anatengeneza hypersonic ambayo hata Israel na US hawana aje ashindwe kutengeneza nuclear ambayo ni tech ya vita kuu ya pili ya dunia are you serious? South Africa yenyewe ilishakuwa na nuclear missiles miaka 1990s...
 
Yaani Iran anatengeneza hypersonic ambayo hata Israel na US hawana aje ashindwe kutengeneza nuclear ambayo ni tech ya vita kuu ya pili ya dunia are serious? South Africa yenyewe ilishakuwa na nuclear missiles miaka 1990s...
Wewe kumbe akili zako ni mbovu!! Unafananisha technologia inayotumika kutengeneza nuclear na hypersonic missile ambayo haina cha maana zaidi ya speed kuwa kubwa?? FYI nchi ambayo ipo nyuma ki-technologia kama Iran itachukua miaka sio chini ya 15 kufanya enrichment ya uranium itakayotosha kutengeneza nuclear weapon kama wataanza from the scratch.
 
Back
Top Bottom