Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Wewe huelewi chochote...
Encrichment ya uranium ya Iran imefikia 60%, inachukua week nne tu kwa centrifuges za kisasa alizonazo Iran kama Ir-9 kurutubisha hio nuclear ifikie 90% ambayo ni weapon grade.

Hivyo Khamenei ndiye alikuwa anakataza kumiliki WMD sababu ya misimamo yake ya kidini.

Lakini walikuwa na uwezo wa kumiliki warhead za nuclear miaka nyuma....

Kama hypersonic ni nyepesi hivyo, wangezitumia WWII kama walivyotumia nuclear bomb.

Kombora linalosafiri kwa kasi ya mach 13 sawa na 16,000 km/h(elfu kumi na sita kilomita kwa lisaa au kilomita 4.4 kwa sekunde) na hapo linafanya maneuvering, linatoka Iran hadi Israel na linapiga target unasema haina cha maana zaidi ya speed kubwa?

Unalinganisha nuclear physics na rocket science 🤣
Huna akili! Maneno mengi! Nimesema wakianza from the scratch! Watatumia sio chini ya miaka 15! Kwasababu kwa mujibu wa taarifa zilizopo Iran wamerudishwa ground level kwenye suala la kutengeneza nuclear baada ya nuclear sites zao kuwa erased. HALAFU UACHE UJINGA IRAN HAIJAWAH KUWA NA UWEZO WA KUMILIKI NUCLEAR! WANGEKUWA NAO WANGESHAMILIKI SIKU NYINGI! UNALETA PROPAGANDA ZA KITOTO ETI DINI IMESABABISHA WASIMILIKI??? UNAAKILI WW?? SASA WANARUTUBISHA URANIUM YA NINI?? HALAFU HV VIFACT VYAKO VYA CHAGPT HAVITAKUFIKISHA POPOTE.
 
Haijalishi nani atashinda kwenye hii vita ila USA kuna heshima amejiharibia kupitia hii vita
Sio tu heshima hata weakness za jeshi lake zimevuliwa nguo zipo wazi binafsi hii sio nguvu ya U.S na Israel kwa pamoja niliyo tegemea kuiona mpaka sasa kwa jinsi alivyokuwa akiandaa jeshi lake katika hii miezi ya karibuni.
 
Syria has deployed thousands of troops, armored vehicles, and rocket launchers to its border with Lebanon, - ReutersDamascus says the move is defensive — aimed at preventing smuggling and stopping Hezbollah or other militants from infiltrating Syria — and denies plans for action against Lebanon

Iran anaenda kupigwa kata funua
 
Wagalatia bwana!!!!
 
Huna akili! Maneno mengi! Nimesema wakianza from the scratch! Watatumia sio chini ya miaka 15! Kwasababu kwa mujibu wa taarifa zilizopo Iran wamerudishwa ground level kwenye suala la kutengeneza nuclear baada ya nuclear sites zao kuwa erased. HALAFU UACHE UJINGA IRAN HAIJAWAH KUWA NA UWEZO WA KUMILIKI NUCLEAR! WANGEKUWA NAO WANGESHAMILIKI SIKU NYINGI! UNALETA PROPAGANDA ZA KITOTO ETI DINI IMESABABISHA WASIMILIKI??? UNAAKILI WW?? SASA WANARUTUBISHA URANIUM YA NINI?? HALAFU HV VIFACT VYAKO VYA CHAGPT HAVITAKUFIKISHA POPOTE.
Uwe unafuatilia mambo kwa undani, japo umepanic lakini lengo angu hapa ni kukupa elimu, nikutoe ujinga.

Hawawezi kuanza from scratch hilo ni moja, kuna facility kwenye milima ya Pickaxe , facility ipo very deep zaidi kuliko fordow na Natanz, ulikuwa hufahamu sasa umefahamu. Hio bunker buster haifiki.

US na Israel waliposhambulia , centrifuges ambazo zilikuwa na umuhimu hazikuguswa hata na jiwe, zilihamishwa.

Facility kama fordow haikuharibika deep underground kama mnavyodanganyana.

Ndio maana Trump na Netanyahu wamerudi tena wana madai yale yale... nuclear...

Endapo nuclear facility ikiwa erased hasa hizo centrifuges, lazima kutokee leakage ya radioactive material, leakage ikitkea wakaazi wa hayo maeneo wanahamishwa.

Japan ilipopata tetemeko kukatokea nuclear power plant yao ikavujisha mionzi, mto tu uliokuwa umepita umbali na pale hawakuutumia miaka 10, kuanzia 2011 hadi wakaja kuanza kutumia maji ya pale mwaka 2021. Wakaazi laki moja na nusu walihamishwa karibu na hayo maeneo.

Wanasafisha hilo eneo mpaka leo kuanzia 2011 na wanasema ni zoezi litachukua miongo kadhaa.

Hivyo ujinga wako wa kufikiri US na Israel eti wali erase nuclear facility 🤣, kama hujui kitu uliza ndugu. Iran hadi sasa wana zaidi ya kilo 400 ya enriched uranium ambayo ipo chini underground imetulia.

Kama wanavyoficha makombora yao hayajulikani yalipo, hivyo pia ndivyo wanaficha uranium na wanaendelea na projects kama kawaida.

Iran wanataka kutumia nuclear kwa masuala ya kimaendeleo au matumizi ya amani kama kwenye nishati, matibabu(nuclear medicine) , matumizi ya kiviwanda na tafiti, uchukuzi na anga(kuna submarines zinatumia nuclear), mazingira na vyanzo vya maji.

Pole sana kama ulidhani nuclear kazi yake ni kutengeneza silaha peke yake... nuclear ina faida kubwa sana. Nchi zilizoendelea wana meli zinatembea miezi baharini bila kutumia mafuta wala gas, ni nuclear tu.

Punguza ujinga kijana. Kama huna facts unaruhisiwa kutumia chatgpt.

Ayatollah alitaka nuclear itumiwe kwa matumizi ya amani na sio kutengeneza silaha za maangamizi.
 
Back
Top Bottom