Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Uwe unafuatilia mambo kwa undani, japo umepanic lakini lengo angu hapa ni kukupa elimu, nikutoe ujinga.

Hawawezi kuanza from scratch hilo ni moja, kuna facility kwenye milima ya Pickaxe , facility ipo very deep zaidi kuliko fordow na Natanz, ulikuwa hufahamu sasa umefahamu. Hio bunker buster haifiki.

US na Israel waliposhambulia , centrifuges ambazo zilikuwa na umuhimu hazikuguswa hata na jiwe, zilihamishwa.

Facility kama fordow haikuharibika deep underground kama mnavyodanganyana.

Ndio maana Trump na Netanyahu wamerudi tena wana madai yale yale... nuclear...

Endapo nuclear facility ikiwa erased hasa hizo centrifuges, lazima kutokee leakage ya radioactive material, leakage ikitkea wakaazi wa hayo maeneo wanahamishwa.

Japan ilipopata tetemeko kukatokea nuclear power plant yao ikavujisha mionzi, mto tu uliokuwa umepita umbali na pale hawakuutumia miaka 10, kuanzia 2011 hadi wakaja kuanza kutumia maji ya pale mwaka 2021. Wakaazi laki moja na nusu walihamishwa karibu na hayo maeneo.

Wanasafisha hilo eneo mpaka leo kuanzia 2011 na wanasema ni zoezi litachukua miongo kadhaa.

Hivyo ujinga wako wa kufikiri US na Israel eti wali erase nuclear facility 🤣, kama hujui kitu uliza ndugu. Iran hadi sasa wana zaidi ya kilo 400 ya enriched uranium ambayo ipo chini underground imetulia.

Kama wanavyoficha makombora yao hayajulikani yalipo, hivyo pia ndivyo wanaficha uranium na wanaendelea na projects kama kawaida.


Iran wanataka kutumia nuclear kwa masuala ya kimaendeleo au matumizi ya amani kama kwenye nishati, matibabu(nuclear medicine) , matumizi ya kiviwanda na tafiti, uchukuzi na anga(kuna submarines zinatumia nuclear), mazingira na vyanzo vya maji.

Pole sana kama ulidhani nuclear kazi yake ni kutengeneza silaha peke yake... nuclear ina faida kubwa sana. Nchi zilizoendelea wana meli zinatembea miezi baharini bila kutumia mafuta wala gas, ni nuclear tu.

Punguza ujinga kijana. Kama huna facts unaruhisiwa kutumia chatgpt.


Ayatollah alitaka nuclear itumiwe kwa matumizi ya amani na sio kutengeneza silaha za maangamizi.
Ww ebu acha hizi story kwa hiyo unajua kuliko MOSSAD NA CIA?? Halafu taifa la kigaidi kama Iran linarutubisha nuclear kwa ajili ya kutengeneza atomic bomb! That is their main goal!
 
Ww ebu acha hizi story kwa hiyo unajua kuliko MOSSAD NA CIA?? Halafu taifa la kigaidi kama Iran linarutubisha nuclear kwa ajili ya kutengeneza atomic bomb! That is their main goal!
Mossad na CIA ni miungu?

Usitake kuwafanya wana u special sana..

Hao ndio walisema Saddam Hussein ana WMD(silaha za maangamizi), akavamiwa na nchi 42(operation desert storm). akanyongwa, baadae kuja kukagua hana silaha yoyote ya maangamizi.
 
💥💥💥💥
Iran imefanya mashambulizi ya makombora ndani ya Dubai
Screenshot_20260304-004015_1.jpg
 
Ammunitions ni very expensive,miaka 5 ya vita huo uwezo wa kutumia hypersonic hana atafirisika
Umetengeneza hoja mbili na sijui ipi ni sahihi.

Unasema Iran haina hypersonic kwa sababu wangekuwa nayo wangeibadili Tel Aviv kuwa majivu.

Unasema tena Russia hawawezi tumia hypersonic Ukraine kwa sababu watafilisika.

Kwani kugeuza sehemu yeyote ndani Kyiv ingepelekea Russia kufilisika?

Kitu ambacho huelewi hypersonic haipimwi kwa uwezo wake wa kulipua sehemu kubwa, hio inategemea na warhead waliyofunga, hypersonic ni kutokana na uwezo wake wa kasi kuanzia mach 5 na kuendelea na pia uwezo wake wa kuhama hama kwenye njia ili kukwepa air defense huku ikiwa na kasi ya hali ya juu. Hivyo huelewi utofauti wa hyprsonic na ballistic.
 
Umetengeneza hoja mbili na sijui ipi ni sahihi.

Unasema Iran haina hypersonic kwa sababu wangekuwa nayo wangeibadili Tel Aviv kuwa majivu.

Unasema tena Russia hawawezi tumia nuclear Ukraine kwa sababu watafilisika.

Kwani kugeuza sehemu yeyote ndani Kyiv ingepelekea Russia kufilisika?

Kitu ambacho huelewi hypersonic haipimwi kwa uwezo wake wa kulipua sehemu kubwa, hio inategemea na warhead waliyofunga, hypersonic ni kutokana na uwezo wake wa kasi kuanzia mach 5 na kuendelea na pia uwezo wake wa kuhama hama kwenye njia ili kukwepa air defense huku ikiwa na kasi ya hali ya juu. Hivyo huelewi utofauti wa hyprsonic na ballistic.
Zote can be hypersonic tofauti ni trajectory tuu, fixed and other unpredictability, acha league
 
💥💥💥💥
Iran imerusha tena makombora kuelekea Israel. King'ora cha tahadhali kimelia kusini na kaskazini mwa Israel
 
Zote can be hypersonic tofauti ni trajectory tuu, fixed and other unpredictability, acha league
Missile ikiwa na mach 4 inafanya maneuver na kukimbia, hio sio hypersonic..

Hypersonic lazima ianze na mach 5 kwenda juu na ifanye maneuver.

Missile ikienda mach 7 na hai maneuver hio sio hypersonic...

Fattah-2 inakwenda mach 13 na ina maneuver...
 
Back
Top Bottom