Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Umetengeneza hoja mbili na sijui ipi ni sahihi.

Unasema Iran haina hypersonic kwa sababu wangekuwa nayo wangeibadili Tel Aviv kuwa majivu.

Unasema tena Russia hawawezi tumia nuclear Ukraine kwa sababu watafilisika.

Kwani kugeuza sehemu yeyote ndani Kyiv ingepelekea Russia kufilisika?

Kitu ambacho huelewi hypersonic haipimwi kwa uwezo wake wa kulipua sehemu kubwa, hio inategemea na warhead waliyofunga, hypersonic ni kutokana na uwezo wake wa kasi kuanzia mach 5 na kuendelea na pia uwezo wake wa kuhama hama kwenye njia ili kukwepa air defense huku ikiwa na kasi ya hali ya juu. Hivyo huelewi utofauti wa hyprsonic na ballistic.
sema mwamba nakukubari sana kwa uwezo wako wa kujenga HOJA zenye mashiko na ufafanuzi wa kina
kuna muda naona kabisa MAPRO US na ISRAEL wanataka mabishano ili uwape nondo

nakumbuka kama uzi wa RUSSIA vs UKARAINE kuna mwamba mmoja alikuwa PRO US kindakindaki alikuwa anajiita HIMARS alikuwa anashusha nondo na ufafanuzi wa kina sana kuhusu siraha za RUSSIA na US kiasi kwamba mapro RUSSIA alikuwa anatukarisha kila tukienda tunakula za uso kwa hoja na fully ufafanuzi

sasa ndio kama wewe sasa washakuja PRO US kibao lkn unawakalisha kwa nondo zenye hoja na ufafanuzi wa kina
endelea kutupa maujanja
hata kama IRAN itaanguka ila historia yake ya vuta hii itaandikwa mpaka vizazi na vizazi
 
Labda mpaka jeshi la ardhi la US na Israel liingie Iran na kulishinda jeshi la Iran.

Ayatollah alishawekwa mahala salama mapema kaba hata ya vita.

Hata viongozi wa jeshi la Iran , safari hii walikuwa wanafanya mikutano yao kwa kificho..
Kila unaposoma uharo wako huu unaona aibu toka jana umezima simu baada ya uliyekuwa unasema amewekwa sehemu salama kuuwawa kijinga.

Thanks God IDF wamemweka sehemu salama ambako hatasumbuliwa na watu tena.

Any way najua leo mna msiba mkubwa sana maana toka jana viherehere wote wa magaidi walipotea ghafla baada ya kutangazwa Gaido Ali Khamenei kalimantan kichwa bila huruma na majeshi ya Israel na hakuwa peke yake alikuwa na wapambe wake akiwemo aliyekuwa Rais wa Iran huyo hapo chini naye kaangamizwa
Habari nyengine kubwa mbili sasa hivi IRGC wametangaza
1. Destroyer moja ya Marekani imeliwa kichwa tayari km 600 kusini MWA Iran Baharini

2. F15 nyengine nayo imedondoshwa, Waseme tena ni Friendly fire.
Mlituaminisha kuwa Waziri Mkuu wa Israel kauwawa na hamkutuambia Mazishi yake yatakuwa lini!!!

Uongo ndiyo silaha kuu ya Wafuga Midevu na Majini!!
 
sema mwamba nakukubari sana kwa uwezo wako wa kujenga HOJA zenye mashiko na ufafanuzi wa kina
kuna muda naona kabisa MAPRO US na ISRAEL wanataka mabishano ili uwape nondo

nakumbuka kama uzi wa RUSSIA vs UKARAINE kuna mwamba mmoja alikuwa PRO US kindakindaki alikuwa anajiita HIMARS alikuwa anashusha nondo na ufafanuzi wa kina sana kuhusu siraha za RUSSIA na US kiasi kwamba mapro RUSSIA alikuwa anatukarisha kila tukienda tunakula za uso kwa hoja na fully ufafanuzi

sasa ndio kama wewe sasa washakuja PRO US kibao lkn unawakalisha kwa nondo zenye hoja na ufafanuzi wa kina
endelea kutupa maujanja
hata kama IRAN itaanguka ila historia yake ya vuta hii itaandikwa mpaka vizazi na vizazi
HIMARS yupo kwenye huu Uzi anachungulia na kutoka.
 
Ila Iran……

Ingawa sikubaliani na utawala wa Ayatollah, ila jamaa ni wajeuri.

Vita hajaanzisha yeye. Anachangiwa na nchi mbili zenye majeshi bora duaniani lakini bado anapambana tu.

Lakini pia Iran kaonyesha uzembe na upumbavu wa hali ya juu sana.

Ni kama vile Wairan hawana common sense. Sielewi kwa nini viongozi wake na makamanda wao kwa nini wanaendelea na mikusanyiko ya watu wengi na wanaishia kuuliwa kirahisi rahisi kama sisimizi!
Hata mm hili la viongozi kuuliwa hovyo hovyo linanikara sana.
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa Ayatollah kufanya mkutano sehemu wa usalama sehemu ambayo ni target rahisi kwa adui zake hali yakuwa anajua kuwa anawindwa?
 
Wakishakuwa na digital copy ID yako huchomoki ,Na hakuna kujificha, artificial intelligence na autonomous weapon zitamalizana na wewe, technology waliyotumia kumkamata Maduro chumbani kwake au yule drug cartel leader aliyeuliwa juzi ndio inatumika Iran, hawahitaji snitch siku hizi
 
El Mencho walimkamata kuwa kumfuatilia demu wake.

Hakuna intelligence iliyo nzuri kuliko human intelligence.

View: https://youtu.be/VGwbP8HIeOE?si=WssrzFPPeH0Hqsm5
 
Wewe Jamaa akili kisude Israel inahitaji support ya wairan so ukiona imeua raia kama wale wanafunzi ujue ni military blunder tu! Ila ingekua hawataki support ya wananchi wa Iran! Vifo vingekuwa vimeshafika 10,000+
Nikikuita FALA itakua nimekosea!?
Achana na vifo vya wanafunzi.
Jana Israel imefanya carpet bombing makazi ya raia katikati ya Tehran.
Kijana kama hujui funga bakuli.
Ndio maana nikakuuliza uliona jana carpet bombing aliyoifanya Israel ndani ya Tehran!??
Kiazi wewe
 
Unafikiri kuunda nuclear ni kama kula maharage , angekuwa anaweza angekuwa nalo na kusingekuwa na wa kumgusa
Still unaongea UPUUZI.
Viongozi wa chini wa Iran walisisitiza kama wangetaka kuwa na nuke wangeunda ila Khameni amewakataza.
Iran ina uranium iliyorutubishwa kiwango cha kuunda nuke ndani ya wiki.
Hilo hata Mr.Grossi afisa wa Atomic alilithibitisha.
Alireza ni miongoni mwa viongozi waliomsisitiza Khamenei kuunda nuke ila alikataa.
Sasa kafa Alireza ametoa ruhusa.
 
Punguza kula maharage mabovu 😂
 
Wewe kumbe akili zako ni mbovu!! Unafananisha technologia inayotumika kutengeneza nuclear na hypersonic missile ambayo haina cha maana zaidi ya speed kuwa kubwa?? FYI nchi ambayo ipo nyuma ki-technologia kama Iran itachukua miaka sio chini ya 15 kufanya enrichment ya uranium itakayotosha kutengeneza nuclear weapon kama wataanza from the scratch.
Nakusisitizaga kama hujui jambo kaaga kimya.
2008 Iran waliharibiwa nuke facilities.
Iliwachukua miaka 6 hadi 2013 kurudisha kila kitu na kufanya uranium enrichment na 2015 walifikia kiwango cha kuunda silaha za nuclear. Aliyewarudisha nyuma kiurutubishaji ni Obama kwa kusaini mkataba mpya wa JCPOA.

Hypersonic missile sio kuhusu jambo la speed tu,pia ni jambo la maneuverability.
Unadhani hilo ni jambo jepesi?
Mbona USA na Israel hawajafanya hadi sasa!??
Iran ina enriched uranium ya 70% kiwango kinachotosha kabisa kuuna nukes with in 2 weeks kwa mujibu wa maafisa wa atomiki.
 
Ripoti;
-Pakistan yaionya Iran na kuiambia ina war pact na Saudi arabia,Houthi yaitisha Saudia kama itajihusisha na vita.
-Rais wa Iran Masoud Pezeshkian " Tukianza maombolezo ya Khamenei ya siku 40 hatutasikiliza maoni yeyote ya amani zaidi ya vita hadi maombolezo yaishe kwa siku 40".
 
Nakusisitizaga kama hujui jambo kaaga kimya.
2008 Iran waliharibiwa nuke facilities.
Iliwachukua miaka 6 hadi 2013 kurudisha kila kitu na kufanya uranium enrichment na 2015 walifikia kiwango cha kuunda silaha za nuclear. Aliyewarudisha nyuma kiurutubishaji ni Obama kwa kusaini mkataba mpya wa JCPOA.

Hypersonic missile sio kuhusu jambo la speed tu,pia ni jambo la maneuverability.
Unadhani hilo ni jambo jepesi?
Mbona USA na Israel hawajafanya hadi sasa!??
Iran ina enriched uranium ya 70% kiwango kinachotosha kabisa kuuna nukes with in 2 weeks kwa mujibu wa maafisa wa atomiki.
Hizo 2 weeks tumeanza kuzisikia 2008!! Acha story ww.
 
sema mwamba nakukubari sana kwa uwezo wako wa kujenga HOJA zenye mashiko na ufafanuzi wa kina
kuna muda naona kabisa MAPRO US na ISRAEL wanataka mabishano ili uwape nondo

nakumbuka kama uzi wa RUSSIA vs UKARAINE kuna mwamba mmoja alikuwa PRO US kindakindaki alikuwa anajiita HIMARS alikuwa anashusha nondo na ufafanuzi wa kina sana kuhusu siraha za RUSSIA na US kiasi kwamba mapro RUSSIA alikuwa anatukarisha kila tukienda tunakula za uso kwa hoja na fully ufafanuzi

sasa ndio kama wewe sasa washakuja PRO US kibao lkn unawakalisha kwa nondo zenye hoja na ufafanuzi wa kina
endelea kutupa maujanja
hata kama IRAN itaanguka ila historia yake ya vuta hii itaandikwa mpaka vizazi na vizazi
Jamaa namsoma sana, atakuwa mjeda huyuu au war analyst dio kwa izo nondo😁😁
 
Back
Top Bottom