Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Baada ya hii vita Iran atakua amepata somo kubwa sana, haya ni mabomu au radi
 
Attachments

  • 📍TEHRAN __Usiku umegeuka kuwa mchana jijini Tehran.__Haijazoeleka mashambulizi makali kufanyik...mp4
    1 MB
Mimi sio nabii ila Iran kazi anayo🔥
 
Attachments

  • INSANE CLOSE-UP_ Video shows a U.S._Israeli GBU-31 2_000-pound precision-guided bomb striking ...mp4
    1.5 MB
Huku kunaitwa kupigwa kuchakaaaa
 
Attachments

  • WATCH_ Intense footage from Tehran amidst the historic American-Israeli bombardment targeting ...mp4
    6.2 MB
Msemaji wa UAE kaongea jana Al Jazeera na CNN na kaonesha hadi fragments za missiles za Iran. Huzo video zenu za content creator wa youtube tunaziona pia.
Bro sawa kuna ugumu wa kuleta clip? Juzi tu US kakataliwa na Spain ndege zake kutua kwenye ardhi yao, alitua ndege yake iliyobeba silaha kaambiwa aiondoe na jana Spain kawekewa vikwazo.

Ni ngumu kwa US kudeclear ila still, kwa sasa anatafuta maeneo salama kwa ndege zake kutua ,kujazwa mafuta na kufanyiwa maintainance,kwake kadili siku zinavyo enda middle east si salama kwa operation zake na yy anategemea mashambulizi ya anga.
 
Sawa.
 
Narudia tena ni ujinga kufikiri kichwani mwako kuwa Iran anaweza kuishinda Marekani au Israel vitani.

Nchi hizi ziko mbele sana kijeshi kuliko Iran sana sana Iran atafanywa vibaya na siku si nyingi mtaaNia kubwabwaja free free Iran.

Kwenye vita hivi hata usifie Iran vipi Iran hawezi kushinda hii ni sawa na vita ya Tembo na Punda ni ujinga na upumbavu kufikiria Punda anaweza kushinda vita hiyo!!!

Wachambuzi-Uchwara ndiyo wataisifia Iran ambaye anapigwa kama Ngoma viongozi wake wanauwawa kizembe-zembe tu, Makamanda wake nao wanauwawa tu utafikiri nao ni raia wa kawaida..
 
Attachments

  • IMG_0450.jpeg
    IMG_0450.jpeg
    52.7 KB · Views: 14
Back
Top Bottom