King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,350
- 6,098
ImagineNa Ndege moja ina missile 6-14 hapo, so potential unaongelea mamia mpaka maelfu ya missile,
Tena hapa umepunguza, maana za neta walisema 200, ukichanganys na za trampo hazifiki 250 kweli?So mkuu hata hao wachambuzi wanapo kuambia jambo siunapaswa kulipima
Inawezekanaje ndege 150 ambazo hazina upinzani wowote sifanye OP ndani ya siku 5 mfululizo bila ya kufanikiwa kuuangasha utawala wa Nchi adui !?
That's why ni kasema kama nikwelo Kuna hiyo OP ya ndege zote and still Iran bado anatoa changamoto basi Iran ni opponent ambaye hapaswi kuchukuliwa poa
Kwani umeambiwa ndege zote hua zinaenda kushambulia, kama vitu haujui sema upewe elimu.Na Ndege moja ina missile 6-14 hapo, so potential unaongelea mamia mpaka maelfu ya missile,
Haya tupe hio Elimu watu kibao huko juu wanauliza, pia utuambie zinapaki wapi, zinatoka wapi kushambulia na kurudi.Kwani umeambiwa ndege zote hua zinaenda kushambulia, kama vitu haujui sema upewe elimu.
😄😄😄 Wacha- mbuzi wabongo comedy sana !!Tena hapa umepunguza, maana za neta walisema 200, ukichanganys na za trampo hazifiki 250 kweli?
Anaeichukulia poa Iran hayuko serious.So mkuu hata hao wachambuzi wanapo kuambia jambo siunapaswa kulipima
Inawezekanaje ndege 150 ambazo hazina upinzani wowote sifanye OP ndani ya siku 5 mfululizo bila ya kufanikiwa kuuangasha utawala wa Nchi adui !?
That's why ni kasema kama nikwelo Kuna hiyo OP ya ndege zote and still Iran bado anatoa changamoto basi Iran ni opponent ambaye hapaswi kuchukuliwa poa
Israel.jets zinatoka Israel na kwenda kushambulia IranHaya tupe hio Elimu watu kibao huko juu wanauliza, pia utuambie zinapaki wapi, zinatoka wapi kushambulia na kurudi.
Mkuu simlisema kuwa ndege 150 zipo angani kwenye anga la Iran !?Kwani umeambiwa ndege zote hua zinaenda kushambulia, kama vitu haujui sema upewe elimu.
Topic closedAnaeichukulia poa Iran hayuko serious.
Which means hata wasingemuua angekuja mtu mwingine ambaye chance is angekuwa tofauti.US ‘killed guy(Ayatollah khamenei) who blocked Iran from ability to develop nuclear weapon’ – ex-CIA analyst
Shusha updates mkuu💥
Back again get ready for the updates
Huyu ex spy wa CIA hujamuelewa vizuri, hapo kwa mtu aliyetuliza akili yake vizuri lazima ataelewa nuclear facility za Iran sio kigezo pekee cha marekani na Israel kuishambulia Iran. Bali wanataka wabadili utawala wa Iran na kuweka vibaraka(puppets) wao hapo ambao watasimamia maslahi yao. Kumbuka Marekani hana rafiki wala adui wa kudumu bali anachosimamia siku zote ni maslahi yake tu.Which means hata wasingemuua angekuja mtu mwingine ambaye chance is angekuwa tofauti.
Sasa huoni Israel na Marekani wanafanya vizuri kuondoa uwezo wote wa nyuklia wa Iran