Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel muda huu inashambulia kwa makombora Tehran
20260304_124005.jpg
 
Haya tupe hio Elimu watu kibao huko juu wanauliza, pia utuambie zinapaki wapi, zinatoka wapi kushambulia na kurudi.
Ukisikia Israel inaenda kuitwanga Iran kwa ndege 200+ mambo hua hivi

Ndege nyingi hua ni kwa ajiri kuharibu air defense na kulinda ndege nyingine, Kuna AD nyingine ni mobile huzimwa na kuwashwa ghafla

Kuna kundi la tanker za mafuta na Kutoa ulinzi wa pande zote na kurudia mashambulizi kwa zile sehemu sugu

Humo pia kuna ndege za upelelezi, zinakusanya taarifa za wapi ayatollah, launcher na Kila kitu ili wahuni washushe kipigo

Ndege zote za Israel zinatoka kwenye kambi za Israel
 
Malizia pia ndege za marekani zinatoka kwenye warplane ya uss Abraham Lincoln
 
Hii figure sio kweli
Iran waliua waandamanaji lakini haifiki hiyo idadi logically
Israel imepiga Gaza miaka 2 kwa jets, shelling za vifaru, rockets, hand guns na kuangusha majengo karibu yote, waliokufa approximately 70,000 kwenye population ya 2.5m
Inawezekana vipi ndani ya wiki moja kuua watu 35000 kwa risasi za bunduki tu kwa waandamanaji wasiofika hata 100k?
Unless kama walitumia gas chamber!
Mkuu mm sina kosa, hiko ndio alichosema. Ukweli anaujua mwenyewe
 
Ukisikia Israel inaenda kuitwanga Iran kwa ndege 200+ mambo hua hivi

Ndege nyingi hua ni kwa ajiri kuharibu air defense na kulinda ndege nyingine, Kuna AD nyingine ni mobile huzimwa na kuwashwa ghafla

Kuna kundi la tanker za mafuta na Kutoa ulinzi wa pande zote na kurudia mashambulizi kwa zile sehemu sugu

Humo pia kuna ndege za upelelezi, zinakusanya taarifa za wapi ayatollah, launcher na Kila kitu ili wahuni washushe kipigo

Ndege zote za Israel zinatoka kwenye kambi za Israel
Stil sio 150, usual kwenye Ndege kadhaa za support ni chache, huwezi kuwa na Ndege 150 halafu 20 zikapige na Support ziwe 130.

Pia mambo ya upelelezi siku hizi ni drones most of time zinafanya, sababu ni disposable, bei rahisi, zinakaa Muda mrefu angani, rahisi kuzificha etc.
 
Mkuu simlisema kuwa ndege 150 zipo angani kwenye anga la Iran !?
Hata kama wakirusha ndege 500 bado kuna targets nyingi tu wewe hautaziona wala mitandaoni hautazipata

Si Kila target ni kulipia maghorofa.. Irani ni nchi yenye milima mingi sana na target nyingi zipo uko
 
My concern is Target zote hizo za ndege and Still utawala wa Iran hauja fall , don't you see Iran sio Libya Wala Kenya !? Iran wangekuwa ni wapesi hivyo kama mnavyo tuaminisha humu Kwa hiyo idadi za mashambulizi ya hizo ndege mnazo tuambia humu utawala wa Iran siungekuwa umesha pukutika wote !!!!

Mna tudanganya sana humu
 
Nipo namuangalia benja netanyau yupo Jerusalem kwenye sinagogi akisoma somo na marabii

March 2 had 3 huwa siku muhimu kwa wayahud kushanglia ushindi wa kumshinda Persia Iran ya Sasa iliyolenga kuiangamiza wayahud wote.

ester km shujaa aliokoa wayahud kwa ushawish wake bila kurusha ngumi

leo mabint wa kiyahudi wapo kwenye anga la tahran wakimwaga mvua ya silaha kumzima kabisa adui
 
Stil sio 150, usual kwenye Ndege kadhaa za support ni chache, huwezi kuwa na Ndege 150 halafu 20 zikapige na Support ziwe 130.

Pia mambo ya upelelezi siku hizi ni drones most of time zinafanya, sababu ni disposable, bei rahisi, zinakaa Muda mrefu angani, rahisi kuzificha etc.
hivi unajua kua target zaidi ya 2,000 zimepigwa hadi leo

Sio Kila target ni lazima iwe public, wewe utashuhudia target za mijini tu.
 
Back
Top Bottom