Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Inchi nyingi za middle east zinaenda kuishiwa Interceptors za kuzuia mabomu, Qatar na UAE stocks waliyo bakia nayo haizidi wiki inawezekana Bahrain nao stock itakuwa imekata.So baada ya wiki kila kilicho cha US (Kambi na Balozi zake) ndani middle east kitakuwa kimelipuliwa na Iran wametangaza mwezi mmoja wa maombelezo na wamesema katika kipindi hiko hawato poa. So US sasa hivi kichwa kinamuuma anategemea mashambulizi ya anga ,ila mda si mrefu atakosa eneo la ndege zake kutua na kujaza mafuta,pamoja na maintenance ndogo ndogo. Kuna uwezekano baada ya hapo ,Iran ndipo atahamia kwa Myahudi full mazima,kwani atakuwa amempunguza nguvu US.
Jeneral wa Iran akizungumza kutokea Zinga Bagamoyo.
 
Screenshot_20260304-135447.jpg

Naona iran imeamua kuwashushia kichapo wakurd
 
Kati ya hizo ndege 150 Iran kaangusha ngapi? Oops kuna mtaalam mwenzio alisema haziingii anga la Iran zinapiga kwa nje 😀😀😀😀
Wanaingia nimeona video Air defence za Iran zikizikimbiza hizo ndege za US na Israel.
Ndege nyingi bro.
USA na Israel nao wajanja wana overwhelm ADS za Iran kwa kupeleka drone nyingi na ndege vita nyingi.
-Hakuna credible source iliyo validate taarifa ila wanadai drone za hermes 900 zinadondoshwa kwa wingi. Kwa ndege wame claim 10. Wao Iran ndio wame claim.
 
Mkuu sijaelewa hii. Unasema Iran wameangusha ndege 10? Nina uhakika Iran hawawezi kusema hivyo
 
💥
Mkuu RRONDO unaona sasa hivi updates sio nyingi. Sababu Iran hajashambulia Israel, na huko Iran muda huu marekani na Israel wanafanya mashambulizi Ila internet hakuna kabisa kwa hiyo taarifa zinakuja kwa ugumu
Huku Tz tuombe amani tu. Tusianzishe vita hata na Burundi. Vita ni gharama kwa maisha na rasilimali.
 
Back
Top Bottom