Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel na marekani muda huu inashambulia kwa makombora Tehran. Milipuko mikubwa
Screenshot_20260304-143600_1.jpg
 
Ndege 150 ndani ya siku 6 and still Iran yupo powerful basi kumbe Iran ni Bonge la dude na sio kitu Cha mchezo mchezo

Otherwise mtuambie kwamba hiyo idadi ya hizo ndege ni propaganda
Wewe ulitaka hizo ndege zifanyaje ndiyo ujue?
 
💥💥💥💥
Uturuki inasema kuwa Iran walirusha makombora ndani ya uturuki lakini walifanikiwa kuintercept kabla ya kutua
20260304_144009.jpg
 
US fighter jet downed near Tehran, Israeli media reports
Mkuu hii sii kweli. Iran ana uwezo wa kuangusha ndege hizo za marekani & israel zinapiga huko. Lakini kwa sasa bado. Siku wakiangusha itakua ni moja ya ushindi mzuri kuangusha hizi jets ambazo ni stealth. Iran watafanya doc kuanzia hilo eneo zilipoanguka mpaka mabaki ya ndege
 
Trump asks Congress additional $50B to restock US weapon supplies — report

The Pentagon is drafting a supplemental budget request as the administration pressures defense contractors to ramp up production.

🌏 $50 billion preliminary request to replace munitions used in Iran and other recent conflicts.

🌏 White House meeting Friday with Lockheed Martin, Raytheon (RTX), and other suppliers to "boost output," Reuters reports.

Pentagon is currently buying 57 Tomahawks in 2026 at $1.3 million each. Raytheon plans to ramp Tomahawk production to 1,000 annually.
 

Attachments

  • Screenshot_20260304_152056_Telegram.jpg
    Screenshot_20260304_152056_Telegram.jpg
    83.6 KB · Views: 13
Back
Top Bottom