Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Hii nimeiona Al Jazeera.
Tumia Tu Akili mkuu, UAE hata hawapigwi na vile vyuma vizito, wao ndo wanapigwa kindezi kabisa na vile vi drone vya buku mbili, vita inaanza humu kila MTU anauliza UAE Hana interceptor? Angalau Qatar na wengine tumeuona video waki intercept makombora.

Kwa nature ya sehemu kama Dubai hata kama Una interceptor still zinaleta madhara makubwa, sehemu hio inabidi upige threat hata kabla haijafika. In short wanajitutumua Tu Ila wao ndio wamepigwa kuliko wenzao wote.
 
Iran ni mjinga, hakupaswa hata kwa bahati mbaya kutengeneza uadui kati yake na Majirani zake.
Yeye hizo nguvu za kulipua Gulf Nations angeelekeza kwa Israel.

Israel anawainda launchers zote
Baada ya hapo Iran itatulia kabisa
Mkuu umeshawahi kupigana hata vita yoyote hapo mtaani kwako!?

Kama haujawahi unamtoa wapi mandate ya kuwa kosoa Iran wakati hauijui Sanaa ya medani ya vita inavyo endeshwa !?

Ila wabongo jau sana tunaongopeana sana humu
 
Iran ni mjinga, hakupaswa hata kwa bahati mbaya kutengeneza uadui kati yake na Majirani zake.
Yeye hizo nguvu za kulipua Gulf Nations angeelekeza kwa Israel.

Israel anawainda launchers zote
Baada ya hapo Iran itatulia kabisa
Hichi ndio alichofikiri Trump Iran atafanya, na ndio Marekani mioyoni mwao walitamani Sana Iran afanye. Just imagine sasa hivi Iran anachangiwa na mibase yote hio kwa pamoja angekua na Hali gani?

Iran kafanya la maana kupiga base hizo kwanza, kuondoa threat ya karibu yake na kutengeneza sintofahamu ya energy Duniani, Bila ya Energy ya Mrusi na Middle East soon watu watalazimisha vita viongelewe mezani kwa Terms za Iran.
 
Kati ya hizo ndege 150 Iran kaangusha ngapi? Oops kuna mtaalam mwenzio alisema haziingii anga la Iran zinapiga kwa nje 😀😀😀😀
Ndege 150 ndani ya siku 6 and still Iran yupo powerful basi kumbe Iran ni Bonge la dude na sio kitu Cha mchezo mchezo

Otherwise mtuambie kwamba hiyo idadi ya hizo ndege ni propaganda
 
Iran's resolve puts Kuwait's military 'on edge' ahead of mistakenly downing three US F-15s

Kuwaiti service members were jumpy when their radars tracked three US F-15 fighter jets flying in, which ultimately prompted friendly fire by a Kuwaiti F/A-18, the WSJ cited sources as saying.

This happened shortly after scores of Iranian drones penetrated Kuwaiti air defenses and attacked an operations center at a commercial port.
 
Attachments

  • VID_20260304_114356_194.mp4
    330.2 KB
Tumia Tu Akili mkuu, UAE hata hawapigwi na vile vyuma vizito, wao ndo wanapigwa kindezi kabisa na vile vi drone vya buku mbili, vita inaanza humu kila MTU anauliza UAE Hana interceptor? Angalau Qatar na wengine tumeuona video waki intercept makombora.

Kwa nature ya sehemu kama Dubai hata kama Una interceptor still zinaleta madhara makubwa, sehemu hio inabidi upige threat hata kabla haijafika. In short wanajitutumua Tu Ila wao ndio wamepigwa kuliko wenzao wote.
So what? Hivyo vyuma vyepesi wasizuie waache tu? Iran majibyashafika shingoni anatibua UAE Qatar KSA na infrastructure za energy ili kuwapa pressure wamkatae USA mbinu ambayo wote wanaijua. Iran hapigani vita na hao majirani anawapa pressure tu ambayo eventually wataihamishia kwa US.
 
Trump na Netanyau hawakuwa na mpango madhubuti ktk hii vita. Walijua watashambuli kwa nguvu siku mbili tatu na kutaka ceasefire.

Baada ya Iran kukataa ceasefire sasa wamechanganyikiwa na wanafikiri kwkishambulia sana Iran itaomba ceasefire. Hawakujua Iran ilijiamdaa sana na hii vita na mambo yake mengi akayaweka chini ya ardhi. Muisrael atachapika sana kwanye
 
Ndege 150 ndani ya siku 6 and still Iran yupo powerful basi kumbe Iran ni Bonge la dude na sio kitu Cha mchezo mchezo

Otherwise mtuambie kwamba hiyo idadi ya hizo ndege ni propaganda
Usimba na yanga siuwezi mkuu. Kwanza mimi sio mtaalamu wa vita nipo hapa kuwasoma na kuwahoji wataalam na wachambuzi.
 
Trump na Netanyau hawakuwa na mpango madhubuti ktk hii vita. Walijua watashambuli kwa nguvu siku mbili tatu na kutaka ceasefire.

Baada ya Iran kukataa ceasefire sasa wamechanganyikiwa na wanafikiri kwkishambulia sana Iran itaomba ceasefire. Hawakujua Iran ilijiamdaa sana na hii vita na mambo yake mengi akayaweka chini ya ardhi. Muisrael atachapika sana kwanye
😀😀😀😀 Asante mchambuzi wa masuala ya kivita.
 
Usimba na yanga siuwezi mkuu. Kwanza mimi sio mtaalamu wa vita nipo hapa kuwasoma na kuwahoji wataalam na wachambuzi.
So mkuu hata hao wachambuzi wanapo kuambia jambo siunapaswa kulipima

Inawezekanaje ndege 150 ambazo hazina upinzani wowote sifanye OP ndani ya siku 5 mfululizo bila ya kufanikiwa kuuangasha utawala wa Nchi adui !?

That's why ni kasema kama nikwelo Kuna hiyo OP ya ndege zote and still Iran bado anatoa changamoto basi Iran ni opponent ambaye hapaswi kuchukuliwa poa
 
Na Ndege moja ina missile 6-14 hapo, so potential unaongelea mamia mpaka maelfu ya missile,
 
Back
Top Bottom