Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

💥💥💥💥
Israel n marekani muda huu wameshambulia kwa makombora eneo la kowsar
Screenshot_20260304-143007_1.jpg
 
Iran bahati yake yuko mbali na Israel
Israel ndiye ana bahati yupo mbali..
Kwanini Netanyahu..
Nikuambie tu, Pentagon na bunge la US, kesho wakikomaa wajitoe kwenye hii vita, ni msiba kwa Israel...

Ndio maana Netanyahu ametumia juhudi zote kuishinikiza US imsaidie , maana mziki wa Iran si wa kitoto..

Sasa nashangaa unaposema Iran ina bahati, hebunipe fact kwanini Iran ina bahati kuwa mbali na Israel...

Gaza ile pale , ukitoka Israel kwa guta unaingia Gaza, Gaza imezungukwa na Israel, imefungwa, ni gereza, mbona Israel imeshindwa kuwapata mateka na kuwazidi Hamas?
 
Back
Top Bottom