Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kambi ya al ghadir yazd
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: tumeshinda, tumepiga jeshi la maji, tumepiga jeshi la anga, tumepiga kila kitu kinachohusu jeshi, wamekwisha.
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: tunaweza kuwa na mjadala, lakini sio kusitisha Vita. Huwezi kutaka kusitisha Vita ikiwa unamuangamiza adui yako
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Trump: tunawapiga kwa nguvu kubwa sana. Hawa ni wahuni na wanyama na watu wa ajabu, lakini sishangai maana wamenyonga vijana watatu kwa kosa la kuandamana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la Isfahan
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la katikati mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la magharibi mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kusini magharibi mwa Tehran
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani wameshambulia kwa makombora eneo la kaskazini mashariki mwa Tehran. Milipuko mikubwa sana
 
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
Israel na marekani muda huu wanashambulia kwa makombora eneo la amin abad Tehran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…