FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #21
Kuna mtu mmoja aliwahi kusema: "Perfection is not attainable, but if we chase perfection we can catch excellence."Hizi air defence hazina uhakika wa 100%,ndo maana kutwa kucha wanahangaika,,
Someno tena makombala ya ulinzi ya kudungua makombora mengine au object kama ndege au setelait na sio place wakuu acheni mihemko na mahaba ya kijingaNgoja wagalatia wasiokuwa na akili mpaka Paul akauliza ni nani aliyewaloga waje Hapa uone povu lao
Mbona hao hezbollah wameshindwa kuludisha maeneo walio ny,ang,anywa kama ndo wanatoa kichapo ivo [emoji52]Unakumbuka mwaka 2006 muyahudi alikuwa na vifaru anaviita Merkava aka kitanda Cha Mungu na jinsi Hezbollah walichowafanyia
Mpinzani wa Bavar-373 ni S-300 ya Urusi ndugu. Au wewe si mfuatiliaji sana wa masuala haya?Mnyonge mntongeni haki yake mpeni bavar 373 ya iran haina mpinzani huu mfumo hakika iran iliamua hawa wa arrow sijui patrot wanacheza tu makombora ya hezbullah yalipiga jiji la haifa mwaka 2006 huku arrow zinatazama tu
Yeah ndo maana kuna generationHizi air defence hazina uhakika wa 100%,ndo maana kutwa kucha wanahangaika,,
Hizo ni radar ,mifumo ya ulinzi wewe unataka wafanyeje waachwe Anga lao bila ulinzi ili washambuliwe?hakuna anaewanyooshea kidole hapaa
ajabu wakifanya wenzao mambo yanayofanana na haya kelele na malalamiko yanaanzaaa
Mfumo ni wa Israel ndugu. Marekani ni mshirika tu. Isitoshe, si mara ya kwanza katika masuala ya kijeshi kwa nchi zaidi ya moja kushirikiana kutengeneza kitu kimoja.Hii mifumo ya USA ....NI changa la macho ...tu.
Uwezo wenu wa kufikiri unapungua? Kwa sababu gani mkuu?Alafu jamaa wana waonaga hawa watu kama miungu watu APA Duniani! Hawajui hawa watu pengine wamehusika kuchezea mfumo wetu wa kufikiria kupitia laboratory! Ukiangalia uwezo wetu na kizazi cha miaka ya kina mwalimu ni tofauti sana uwezo wetu wa kufikiri una pungua badala ya kuongezeka
Hatari Sana mkuukizazi cha kuanzia 1990 hata sijui kimekumbwa na nini
Me sio wa 90 mkuu? Mtu ana amini binaadamu mwenzake ni mteule yeye ni mtumwa yupo sawa kweli!Uwezo wenu wa kufikiri unapungua? Kwa sababu gani mkuu?
Kuna tatizo mahali mkuu si bure ni kizazi ambacho hata kukabili changamoto imekuwa ni kulalamika kufanya kazi havitakiMe sio wa 90 mkuu? Mtu ana amini binaadamu mwenzake ni mteule yeye ni mtumwa yupo sawa kweli!
Mwambie muyahudi akawachokozeMbona hao hezbollah wameshindwa kuludisha maeneo walio ny,ang,anywa kama ndo wanatoa kichapo ivo [emoji52]
Vijana wanaishi kwa kusubiri bahati 🙆Kuna tatizo mahali mkuu si bure ni kizazi ambacho hata kukabili changamoto imekuwa ni kulalamika kufanya kazi havitaki
Kizazi kinachoamini katika miujiza badala wao watende miujiza wanasubiri kutendewa kuna kijukuu changu hapa mpaka huwa nakaa natafakari bila kufika kikomo mambo yamekuwa tofauti na miaka yetuVijana wanaishi kwa kusubiri bahati 🙆
Hatari sana mkuu tuwaombeeKizazi kinachoamini katika miujiza badala wao watende miujiza wanasubiri kutendewa kuna kijukuu changu hapa mpaka huwa nakaa natafakari bila kufika kikomo mambo yamekuwa tofauti na miaka yetu
rahisi sana. social meadias zinaharibu vijana. enzi za mwalimu ilikuwa ni ngumu sana vijana kuwa exposed na masuala ya nje.kizazi cha kuanzia 1990 hata sijui kimekumbwa na nini