Daah!Huchelewi kusikia ndugu zake wa damu wako Kigonsera
Sio sana maana Olympic record ya Lyles ni nadhani ni 9.78 akifanya mazoezi zaidi na kuizingatia lishe jumuia ya madola ana bronze au gold
Duu kigonsera? Umenikumbusha zamani gani 1977-1980,(kaigo),Huchelewi kusikia ndugu zake wa damu wako Kigonsera
Mkuu hapa kuja mango Maliki
Nimeielewa mada vizuri sana...Mkuu hapa kuja mango Maliki
1.Hujaelewa jamaa alichokisema
2. Wewe ni aina ya wait ambao ukisimuliwa mafanikio ya mtu fulani, unatafuta mtu mwingine mwenye mafanikio zaidi ili hiyo stori ya mwanzo ionekane ya kawaida
Anyway, read again, the story is about the fastest Irish Man ever, bringing in somebody from Sherwood Content is irrelevant au nasema uwongo masta?
Yes Mkuu! Na ni fact ya kwamba yeye ndo Irish mwenye kasi zaidiMkuu hapa kuja mango Maliki