Israel sasa yafikisha idadi ya watu Million kumi

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Katika mkesha wa Siku ya Uhuru Israel kufikisha miaka 77 , idadi ya watu inasimama kwa watu milioni 10.094: kati yao
• Wayahudi milioni 7.732 na wengine (77.6%)
• Waarabu milioni 2.114 (20.9%)
• Watu wengine 248,000 wasio Waarabu (2.5%)

Tangu Siku ya Uhuru iliyopita, idadi ya watu wa Israeli iliongezeka kwa watu 135,000 (ongezeko la 1.4%). Wakati huu, watoto 174,000 walizaliwa, wahamiaji wapya 32,000 walifika, karibu watu 50,000 walikufa, na idadi ya Waisraeli wanaoishi ng'ambo inakadiriwa kuwa karibu 56,000 (bila kuwajumuisha kutoka kwa hesabu).

Tangu kuanzishwa kwa ja Taifa la Israel, idadi ya watu wake imeongezeka kwa watu 806,000. Leo, idadi ya watu wa Israeli ni zaidi ya mara 12 kuliko ilivyokuwa wakati wa kuanzishwa kwa taifa la Israel 🇮🇱 .

 
Hao jamaa wakiamu kuzaliana soon middle east wataichukua yote,watatusaidia sana kumaliza magaidi ya kiislamu,shenzi kabisa
 
Why should we care?
 
Lakini Wayahudi waishio Marekani ni milioni 6.3.

Wayahudi waishio Ulaya ni 1.3 milioni.

Hii ina maana kuna Wayahudi wengi zaidi nje ya Israel kuliko wale waliopo ndani ya Israel.


In 2025, tthere are 6.3 million Jews live in the United States. This makes the US the second-largest Jewish population in the world, after Israel, which has about 7.2 million.
 
Tangu kuanzishwa kwa ja Taifa la Israel, idadi ya watu wake imeongezeka kwa watu 806,000. Leo, idadi ya watu wa Israeli ni zaidi ya mara 12 kuliko ilivyokuwa wakati wa kuanzishwa kwa taifa la Israel 🇮🇱 .
Wengi hapo wameingia hapo kutoka US na mataifa mengine ya ulaya. Wahamiaji as always
 
Sasa hao milioni saba ndio huwindwa na kuchukiwa na mabilioni ya watu kwenye dini ile, imeshindikana kuwafuta kwenye ramani ya dunia.
Ilishindakana hata kwa miungu ya akina Baal sasa haitawezekana kwa hii miungu ya juzi.
Dini ipi? Hivi unajua wayahudi waliteswa zaidi na wakristo kuliko dini yoyote ile? Hata kufutwa itakua na wakristo sio dini nyingine. Martin Luther aliwaita ni CANCER.... na alishawishi sana wachinjwe kama kuku ujerumani.
 
Kulingana na sensa iliyotolewa Jana Wayahudi wengi watakuwa walio ndani ni wengi kuliko walio nje. Ni kweli walio nje walikuwa wengi kuliko wa ndani.
Inategemewa sana mwakani watakuwa wengi zaidi maana kuna walioko nje bado hawajafanya “Aliya” nchini Israel na hii ndiyo sharti mojawapo ya kuwafanya wawe Raia halali wa Israel.
 


Hapana. Kihistoria, Wayahudi wengi zaidi waliuawa na utawala wa Hitler.

Na hata kabla ya hapo, wayahudi wengi waliuawa wakiwa utumwani Misri, kabla ya ukristo na uislama.
 
Wengi hapo wameingia hapo kutoka US na mataifa mengine ya ulaya. Wahamiaji as always
Si kweli unayosema wahamiaji unaowasema wewe ni 248,000 tu ambao wanaitwa Other Non-Arabs.
Hao wametoka mataifa mbali mbali kutoka Afrika,Asia,Ulaya na Marekani. Wayahudi wanaoishi Marekani huwezi kusema ni Wakimbizi kama wewe unavyodai!!
 
Si kweli unayosema wahamiaji unaowasema wewe ni 248,000 tu ambao wanaitwa Other Non-Arabs.
Hao wametoka mataifa mbali mbali kutoka Afrika,Asia,Ulaya na Marekani. Wayahudi wanaoishi Marekani huwezi kusema ni Wakimbizi kama wewe unavyodai!!
Usilazimishe narrative kwahiyo hao million 12 wote wamezaliwa hapo hapo Israel? Ni hivi, wengi wao hapo ni wahamiaji wa kiyahudi kutoka mataifa mengine ya ulaya au marekani kwa zile policy walizoweka kuwa kama ni descendant wa kiyahudi basi utapewa uraia bila pingamizi. Kwahiyo wamehamishwa kutoka mfuko wa shati kwenda mfuko wa suruali. Nothing new here
 
Hapana. Kihistoria, Wayahudi wengi zaidi waliuawa na utawala wa Hitler.

Na hata kabla ya hapo, wayahudi wengi waliuawa wakiwa utumwani Misri, kabla ya ukristo na uislama.
Historia hujui kijana, unajua wayahudi wangapi waliuawa enzi za Prince Metternich hadi ikabidi aite conference ya wazungu wote kujadili hatma yao? Au 1st crusade na 2nd crusade walikua wangapi? Same na Russian revolution ya 1917 walikufa wayahudi mamilioni.

Kingine Martin Luther alishawishi wayahudi wachinjwe wote na wateketezwe, na ipo rasmi kabisa kwenye vitabu vyake na nimeweka reference. Kama reformist mkubwa zaidi wa kanisa aliona wayahudi ni kama panya wateketezwe, basi ujue Israel itakuja kumalizwa na wakristo sio waislam
 
Spain iliua maelfu ya wayahudi karne ya 15 walipogoma kubadili dini na kuwa wakristo
 
Umekaririshwa tu ujinga na kwa sababu wewe ni ZUZU huwezi kukubali ukweli!!
Wayahudi walitoka Israel kwa shida na kupelekwa nchi mbalimbali baada ya madhira hayo kupita wengi walikuwa na familia zao huko, wameoana na wameongezeka kwa akili yako kiduchu hao wakitaka kurudi nyumbani Israel wewe utawaita wakimbizi?
Na si kweli kama ulivyosema kuwa wewe ukisema ni muyahudi Unapewa uraia bila kipingamizi huo ni uongo kuna Process ndefu sana na ni ngumu!!
Wayahudi walioko Ulaya na Marekani ni sawa tu na wayahudi walioko Israel na ili awe raia kuna mlolongo mrefu ikiwemo kwa yeye kufanya “Aliya” nchini Israel.
 
Msukule wa kiyahudi.....
 
Ndugu wahi Milembe Hospital ukatibiwe ama sivyo utaokota makopo muda si mrefu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…