Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Why should we care?Who cares your shit-hole?
Why should we care?Who cares your shit-hole?
Haijalishi walitokea wapi cha msingi ni wayahudiWengi hapo wameingia hapo kutoka US na mataifa mengine ya ulaya. Wahamiaji as always
Haijalishi anatokea wapi cha msingi ni kukidhi vigezo by the way wanarudi kwenye nchi yao.Usilazimishe narrative kwahiyo hao million 12 wote wamezaliwa hapo hapo Israel? Ni hivi, wengi wao hapo ni wahamiaji wa kiyahudi kutoka mataifa mengine ya ulaya au marekani kwa zile policy walizoweka kuwa kama ni descendant wa kiyahudi basi utapewa uraia bila pingamizi. Kwahiyo wamehamishwa kutoka mfuko wa shati kwenda mfuko wa suruali. Nothing new here
Hata sijui unajua unachokisema? Hao walioteka israel ndio waliorudi? Unaweza nisaidia kujua wametokea kabila gani kati ya yale 12? Kama hawawezi kutrace kabila itakuaje origin yao?Wayahudi waliteka Israel kwa shida na kupelekwa nchi mbalimbali baada ya madhira hayo kupita wengi walikuwa na familia zao huko, wameoana na wameongezeka kwa akili yako kiduchu hao wakitaka kurudi nyumbani Israel wewe utawaita wakimbizi?
Ndio maana nikasema hii sio habari maana ni sawa na wamaasai wa Kenya wahamie Tanzania alafu useme wamaasai sasa wafika 2m? So what? Maana hata palestinians zaidi ya 10m wamezuiwa kurudi gaza na westbank.Haijalishi walitokea wapi cha msingi ni wayahudi
Kwanini sasa wanakataza wapalestina wasirudi Gaza au westbank? Wanachoogopa ni nini? Mind you hapo Israel zaidi ya 20% ni waislam..... huku population ya wakristo ikizidi shuka and its really alarming!!Haijalishi anatokea wapi cha msingi ni kukidhi vigezo by the way wanarudi kwenye nchi yao.
Kumbe hata wewe hujui kuwa kuna masihi wenu wa kiislamu mtamuita mahdi ndiye atakayetaka kuwafuta wayahudi ah basi nikuache huna lolote la maana unalojua kuhusu unabii wa siku za mwisho na hatma ya IsraelKwanini sasa wanakataza wapalestina wasirudi Gaza au westbank? Wanachoogopa ni nini? Mind you hapo Israel zaidi ya 20% ni waislam..... huku population ya wakristo ikizidi shuka and its really alarming!!
Pia hapo sio nchi yao, ni sawa na leo Sultan Seyyid adai zzanzibar ni nchi yake, hao walikuta taifa kabisa la watu, wakawaua wakaishi hapo ila haikuwafanyi kuwa nchi yao nao wakaja kuondolewa kama walivyoondoa wenzao sasa kinachowapa uhalali ni kipi?
Hata enzi za ukoloni eneo hilo lilifahamika kama British Palestine sio British Israel. Hao wapo hapo kwa maslahi ya USA maana waliobaki ni waislam siku wakimaliza mahitaji yao au mfano Saudia au Iran ikawa staunch supporter wa USA, ndio mwisho wa hao jamaa kukaa hapo.
Narudia tena atakayeimaliza Israel ni mkristo sio muislam. Kama Hitler alivyowapunguza uzao wao then wakuwatawala atakua mkristo sio muislam. Time will eventually tell.
Rudi tena kwenye post yangu usome tena bila shaka uta elewa vizuri kuliko kubwabwaja ovyo kwa maneno ya kukaririshwa ambayo hata ukipinga wewe hutabadirisha kitu mjinga wewe!!Hata sijui unajua unachokisema? Hao walioteka israel ndio waliorudi? Unaweza nisaidia kujua wametokea kabila gani kati ya yale 12? Kama hawawezi kutrace kabila itakuaje origin yao?
Mkimbizi si yeyote aliyekimbia vita? Hao waliokimbia mkono wa hitler wengi walienda UK, US sasa kuwaita wakimbizi ni kosa gani? Hata palestina ina wakimbizi zaidi ya million 2 huko Jordan na mamilion wapo Argentina huko, yaani wapalestina walio nje ya gaza na westbank ni wengi kuliko waliopo ndani. Sasa palestines waitwe wakimbizi ila wayahudi wasiitwe wakimbizi? Are you insane
Kajifunze kwanza historia ndio uje humu, hii sio FB ya la saba wenzio.
Why should we care?Dude do you ever stop lying and making shit up? You are pathetic already and you have zero credibility
Dini ipi? Hivi unajua wayahudi waliteswa zaidi na wakristo kuliko dini yoyote ile? Hata kufutwa itakua na wakristo sio dini nyingine. Martin Luther aliwaita ni CANCER.... na alishawishi sana wachinjwe kama kuku ujerumani.
![]()
Je, Martin Luther alimshawishi Adolf Hitler kuteketeza wayahudi?
Habari za kazi wana jf intelligence. Kama kawaida katika pita pita zangu kutaka kufahamu mambo mbalimbali leo nilikutana na kitabu/Andiko la Martin Luther kuhusu wayahudi likaniacha na maswali mengi nikaona nije kwa Wana JF tupeane mbili tatu kuhusu hili andiko na nimeambatanisha nakala...www.jamiiforums.com
Mimi ni mkristo tena mlokole so sifahamu chochote kuhusu Mahdi unayemuoengelea. So jibu hoja kwa hojaKumbe hata wewe hujui kuwa kuna masihi wenu wa kiislamu mtamuita mahdi ndiye atakayetaka kuwafuta wayahudi ah basi nikuache huna lolote la maana unalojua kuhusu unabii wa siku za mwisho na hatma ya Israel
Muhammad ndio nani? Mimi ni mkristo so una maoni gani kuhusu Martin Luther, kwamba kama muasisi wa kanisa la pili kwa ukubwa duniani anasema WAYAHUDI NI KANSA na WANATAKIWA KUPOTEZWA....Mohammad wenu alijaribu kuwachinja Wayahudi wa Banu Qurayza akashindwa kuwamaliza, aliuza hadi watoto wao utumwani, hapo ndio chimbuko la ugaidi wenu.
Labda kama unazungumzia wewe ni mkristo na mlokole wa type ya nabii Tito, Geordavie, na waabudu shetani wengine lakini hakuna Mkristo wala Mlokole kama wewe kwa viwango vya Biblia narudia hamna na. Hizi ni siku za mwisho watu wa type yako mtazidi kuwa wengi ili muwapoteze yamkini hata walio wateule.Mimi ni mkristo tena mlokole so sifahamu chochote kuhusu Mahdi unayemuoengelea. So jibu hoja kwa hoja
Muhammad ndio nani? Mimi ni mkristo so una maoni gani kuhusu Martin Luther, kwamba kama muasisi wa kanisa la pili kwa ukubwa duniani anasema WAYAHUDI NI KANSA na WANATAKIWA KUPOTEZWA....
Nimekutolea mfano wa Martin Luther ambaye ndio reformist mkubwa zaidi wa ukristo. Yaani mkristo yeyote nje ya Catholic na Eastern orthodox Church basi ni zao la Luther ila ndio alisema wayahudi ni KANSA.Labda kama unazungumzia wewe ni mkristo na mlokole wa type ya nabii Tito, Geordavie, na waabudu shetani wengine lakini hakuna Mkristo wala Mlokole kama wewe kwa viwango vya Biblia narudia hamna na. Hizi ni siku za mwisho watu wa type yako mtazidi kuwa wengi ili muwapoteze yamkini hata walio wateule.
Martin Luther alikuwa mwanadamu kama wewe sasa ulivyo too low unaamini kila lililoandikwa na mwanadamu hata kama pumba. Kuna mtume Paulo au mtu akiitwa Cornelius walioleta ukristo kwa mataifa yote ya dunia karne nyingi sana zilizopita kabla ya huyu Martin Luther wako unayemsujudia na reforms nyingi sana zilizotokea, kama unaijua biblia utakuwa unawajua. Maneno ya Martin Luther kamwe hayawezi kuwa na any authority/credibility juu ya kile bible imesema ila kwa mtu mwenye uelewa na uwezo duni wa kufikiri kama wewe labda. Martin Luther alikuwa na upotofu mwingi tu ukiwemo na huo unaoushadadiaga humu JF.Nimekutolea mfano wa Martin Luther ambaye ndio reformist mkubwa zaidi wa ukristo. Yaani mkristo yeyote nje ya Catholic na Eastern orthodox Church basi ni zao la Luther ila ndio alisema wayahudi ni KANSA.
Wewe nobody uliyezaliwa huko Inkulyasabaasashi ukakuta ukristo tayari upo miaka 400 baadae ndio unajifanya unajua sana kuhusu Israel na siku za mwisho kuliko Martin Luther aliyekuletea protestantism? You must be out of your mind.
Kwahiyo jibu hoja za Martin Luther mimi kama ni nabii tito Well and good ila Martin Luther ni credible na aliwapinga hao unaowashobokea.
Martin luther alikufa 1546 mpaka leo imepita miaka 479!! Sasa nimepotosha nini?Na hiyo figure ya miaka 400 ni uwongo mwingine unaandika na hii ni kumaanisha jinsi ulivyojaa upotofu.
Ndio nauliza maoni yako wewe na Martin Luther tumsikilize nani? Maana hata ww unasoma Bible iliyokua influenced na Martin Luther maana kabla ya hapo ilikua haitafsiriwi na hairuhusiwi mtu baki kuisoma. Alafu mtu aliyekusaidia leo wewe mmatumbi kuwa na nakala ya biblia unamuita mpotofu? Unachekesha sana. Tupunguze shobo na dini za watu, ukristo uliletwa na wazungu na hata biblia zote zimeunganishwa na kutasfiriwa na wazungu alafu leo ww ndio unajua sana dini kuliko aliyekuletea Bible? Are you insane?Martin Luther alikuwa mwanadamu kama wewe sasa ulivyo too low unaamini kila lililoandikwa na mwanadamu hata kama pumba
Hahahaha Bible ipi? Maana Kuna yenye vitabu 72 ya catholics, kuna 66 ya protestants, kuna 74 ya Ethiopian Orthodox n.k? Kama ni ya 72 au 66 basi ujue Martin luther anahusika ww kupata ruhusa ya kuisoma na kutafsiriwa kwa kiingereza kwa hiyo ni ajabu aliyekuletea biblia ndio unasema hana credibility kwa kitabu hicho hicho alichokuletea wewe? Hivi unajitambua kweli?Maneno ya Martin Luther kamwe hayawezi kuwa na any authority/credibility juu ya kile bible imesema
Upi huo? Au kisa aliwakataa hao wayahudi unaowaabudu? Mbona hata Papa Francis amewakataa hata Gwajima amepinga genocide ya wayahudi. Same to Nyerere na Mandela walipinga na hao wote ni wakristo na idols wa wengi.Martin Luther alikuwa na upotofu mwingi tu