Nimesema kwamba suala la kusaidiwa kwenye Vita ni la kawaida baina ya marafiki usiseme eti ilishinda kwa sababu ilisapotiwa Sasa mkuu ulitaka isisapotiwe? Na nikatoa mfano pia muarabu mbona alisapotiwa? Kwenye Vita kinachotakiwa ni ushindi haijalishi umepigana mwenyewe ama hujapigana halafu hakuna anayetaka kutumia nguvu zake mwenyewe kwani atapata loss kubwa so wadau hapo hua wanashiriki.Mkuu labda sikueleweka hakuna mahali nimelinganisha Israel kushinda warabu sababu ya marekani nachosema Israel imeshinda baada ya 1948 sababu ya support ya marekani UKILINGANISHA na kabla ya 1948 na nimetoa mfano wa jeshi la kiyahudi la poland waliochakazwa kwa malaki yao nmetoa mfano wa spain na ufaransa walipocharazwa so unapocompare usiongelee waarabu ongelea majeshi ya kiyahudi ya kabla ya 1948??
2. Unasema hawakuwa na jeshi bali vikundi?? Are you serious?? Walipochakazwa na Roman Empire 70 AD walikuwa ni kikundi cha mgambo???.... Kingine issue sio kuwa kikundi au jeshi hoja ni kwamba wayahudi eti wana jeshi bora zaidi ndio natoa mfano kabla hawajakalia kimabavu hiyo ardhi ya palestina walishawahi kalia ardhi zingine kiwizi wizi huko hispania china Russia ujerumani poland France n.k na kote huko walikuwa wanatandikwa so kuwa na nchi sio hoja maana kuna vikundi kama FARC havina jeshi ila kwa miaka kibao vimeitesa dunia so hiyo sio hoja.
Sasa nachotaka tusaidiane je ni lini wayahudi wamewahi shinda vita kabla ya 1948?? Kama hawajawahi kipi kinawaaminisha kuwa wanashinda vita za sasa sababu ya uwezo wao sijui taifa la Mungu na sio before 1948?? Kama issue ni nchi mbona kabla ya hapo walipewa maeneo kadhaa huko nyuma waishi ila bado vipigo pale pale??
Karibu
Pili usiseme Israel inashinda Vita za Sasa kwa sababu inasapotiwa ndio Mana Vita za nyuma eti ilikua inashindwa? hata Kama za nyuma ilikua inashindwa ila Vita za Sasa iko vizuri imejipanga kulingana na makosa iliyofanya Vita za nyuma, so usitumie kigezo Cha kushindwa Vita za nyuma eti ndo ukasema Fulani hajawahi kushinda Vita kwa nguvu zake mwenyewe, historian hua inabadilika kabisa. Mfano kipindi Cha WW2 China pamoja na kua na watu wengi alipigwa na Japan Kama mtoto mdogo, watu wake waliuliwa mchana kweupe na wajapani kwa sababu mjapani alikua Ana technology mchina anaenda na mapanga, so mchina alijufunza kosa lake na yeye akainvest kwenye technology, mfuate Sasa hivi ukapigane nae uone utakachokipata