Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Kuna mambo watu hawayajui. Jews siyo wateule wa Mungu. Kuna Ashkenazi Jews. Ambao kwa Dunia ya sasa ndiyo wapo wengi Jews hao akiwepo akina Netanyau. Pengine tujiulize hawa Ashkenazi Jews ni akina nani;Hahahah kazi sana..... watu mnasema Israel ni watu wa MUNGU ndio maana hawapigwi si ndio?? ..... sasa walipokuwa wanatandikwa walikuwa hawana huyo Mungu ama huyo Mungu huwa anawapigania wakiwa taifa tu na sio kikundi???
Embu tuanzie hapo kwanza
Ashkenazi Jews ambao ndiyo wana compromise 90% ya Jews Duniani, hawa walikuwepo tangu miaka 1200 iliyopita. At the eastern edge of Europe kabila moja ya watu wakijulikana kama Khazar AD740. Mfalme wa Khazar alishauriana na baraza lake kuhusu kuchagua dini ya kuwaongoza. Kwa kipindi hicho ukichagua Dini ya Kiislam basi ungepata upinzani mkubwa kutoka Mataifa ya Kikristo, na ukichagua Dini ya Kikristo ungepata upinzani mkubwa kutoka Taifa la Kiislam. Kwa sababu hizo Khazar wakachagua Uyahudi.
Katika karne ya 13 kabila la Khazar vita vya hapa na pale viliwakumba wakakimbilia Ulaya mashariki, wakaingia Poland na Russia. Ambao hawa Khazar kwa sasa ndiyo wanatambulika kama Ashkenazi Jews. Hawa siyo Wayahudi asili. Hawana uhusiano wowote wa kidamu na Wayahudi, ndiyo hawa akina Bibi Netanyahu na wenzake. Hawa Polish na Russian Ashkenazi Jews ndiyo waliyoanzisha mifumo ya Ukomyunisti na Ujamaa katika hizo nchi. Waulize Warusi wa Orthodox walifanywaje na hawa Ashkenazi walivyoshika madaraka Urusi.
Mwishoni mwa miaka ya 1800 walikuwa wanatawanyika hawa Ashkenazi. Walienda Germany, the Balkans na baadae ulaya karibu yote wakatawanyika. Kutokana na mahusiano na Russia walikumbana na Czars, wakawekwa katika target za kuuliwa. Kutokana na hiyo sababu wakaamua kuhama. Baadhi yao wakakimbilia Palestina, wengine wakakimbila America ya kati na America ya Kusini. Kundi kubwa la Ashkenazi wakakimbilia US.
Kwa kifupi Ashkenazi Jews si Wayahudi asilia na ni hawa wenye mlengo wa Uzayuni. Uzayuni ni harakati za kisiasa wa East European Ashkenazi Jews ambao kwa karne wao ndiyo wahusika wakuu wa sera ya Ukomyunosti na Ujamaa.
Wayahudi asili ni Sephardic, hawa wanatokea Mashariki ya kati na Afrika ya Kaskazini. Hawa ndiyo Wayahudi wa kale. Kidamu wana undugu na Waarabu na hata kimuonekano. Hawana tofauti na Waarabu na walikuwa wakiishi kwa amani tangu kale. Tofauti yao na Waarabu ni Dini tu. Lakini ndiyo Jews wanaodharaulika. Na hawa Ashkenazi tangu kuanzishwa kwa Israel mashariki ya kati wao ndiyo wameshika madaraka mpaka sasa hivi. Ni wanyama sana hawa Ashkenazi.