Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jibu wewe acha bla bla [emoji12] nipe sababu kwa nini huyu [emoji117] View attachment 938492View attachment 938495
Hata hitler hakuwaua,aliua wawili tu nasikia.Mkuu sidhani kama umesoma thread yote.
.
Israel haijawahi kupigwa vita yoyote, haijawahi kuuliwa watu wake kwa kiasi kikubwa kuliko maadui zake watakavyokufa toka mwaka 1948 hadi leo.
.
Kuhusu mmarekani bila yeye hakuna Israel hapo unajidanganya yeye kama yeye hata leo hii anaouwezo wa kuwapiga waarabu wotee, kwa uwezo gani walionao?
Kwanza kabisa irael anajua amezungukwa na mataifa ya namna gani, anajua wanania gani dhidi yake, wanatamani apatwe na nini n.k.
Hivyo Israel kajipanga sana kijeshi kuliko mataifa ya kiarabu na hata yasiyo ya kiarabu yanayohasimiana nae.
.
Israel ni nuclear power country brother akiwemo Russia, US n.k muarabu analijua hili hawezi thubutu cheza na Israel zaidi ya kutaka tu "Negotiations".
.
Mataifa ya kikristo ndio yenye nguvu kubwa kuliko ya kiarabu achilia mbali mataifa ambayo yamejipambanua serikari zake hazina dini. Ila Germany, France, Denmark, Us, Brazil, Italy na mengineyo mengiiiii yako side ya israel hata Russia mwenyewe sema kwanini vita ikitokea baina ya waarabu na Israel atakuwa upande wa waarabu wakati wao ni taifa lenye idadi kubwa ya wakristo? Kwa sababu za kibiashara ili nao angalau wawe taifa lenye uchumi mkubwa zaidi duniani waepuke " Sanctions " za US.
.
Hitimisho
Tukirejea maandiko matakatifu ya Bible 2Kings 6:22,23 tunapata kujua wema wa mungu ubaya haulipwi kwa ubaya bali wema unalipwa kwa ubaya.
Elisha alikuwa mtu wa maono aliyemtonya mfalme wa israel juu ya mipango ya kutaka kuuangamiza ufalme wao hivyo kila anapopanga mikakati mfalme wa Syria Elisha alikuwa akipata maono, wakipanga kuwavamia Haifa wanakuta wamekwishaondoka Elisha alikuja kupata maono ya wanajeshi wa Syria waliopanga kumteka elisha lakini wao ndio waliotekwa badala ya kumteka Elisha na mfalme wa Israel kuamuru wauwawe lakink Elisha alishauri waachiwe wakasimlie matendo makuu waliyotendewa.
Brother hakuna taifa lenye historia kubwa ya kijeshi kama israel
Usimuwekee jiwe mwache tu ajiliwaze akule raha juu ya gongo yako waafrika laana au tujiite wafirika yaani tunafirika kwa weupe babaaa yakuhusu nini wewe kutukana viongozi wa watu halafu hapohapo unaweka picha mwanajeshi shoga wa kizunguNgoja niweke jiwe!!
HULAUMIKI KOJO LA PUNDA WA EZEKIEL 23:20 LIMEKULEVYA , ENDELEA KUABUDU SHOGA CESARE BORGIA , KAM A MUNGU
chuki binafsi mbaya sana,waarabu waliuziwa na urusi silaha kali na madege ya vita mengi,vifaru vingi,,hilo hulioni,ila unaongea mambo ya kufikirika,,weka ushahidi marekani alituma wanajeshi wangapi,vifaru vingapi,ndege ngapi,siku hizi hakuna siri,yote huandikwa..Israel si lolote si chochote bila ya marekani kuwadhamini silaha na pesa na ndio maana kabla ya kupewa hako ka-ardhi na hao wazungu huko nyuma walikuwa wanapigwa tu mwanzo mwisho.
Mfano huko poland 1943 wayahudi waliunda jeshi kuzuia mauaji ya wayahudi wenzao ila zaidi ya wayahudi 75 elfu walichinjwa au kupotezwa ama kutekwa.
Hapo usisahau huko uhispania kwenye first crusade na huko ufaransa kwenye second second crusade walichinjwa kama kuku
Yaani kwa ufupi hakuna vita waliowahi shinda kwenye open play ila baada ya kuwekwa hapo na wazungu ndio wanawapa kiburi ila leo mmarekani akiachana na Israel asubuhi tu wanatandikwa ila nashangaa Kuna watu mnadai wanashinda kisa wana Mungu as if kabla ya kupewa hicho kiardhi kwa mabavu hawakuwa na Mungu wao!!
Tuache propaganda kiufupi bila marekani hakuna Israel that's all i can say
Ushahidi?? Si nimeshasema hapo kabla ya 1948 mbona hakuna vita hao wayahudi wamewahi shinda kama kweli wana Mungu au hawakuwa na Mungu kabla ya 1948??chuki binafsi mbaya sana,waarabu waliuziwa na urusi silaha kali na madege ya vita mengi,vifaru vingi,,hilo hulioni,ila unaongea mambo ya kufikirika,,weka ushahidi marekani alituma wanajeshi wangapi,vifaru vingapi,ndege ngapi,siku hizi hakuna siri,yote huandikwa..
ni kweli kwamba vita hizo israel alishinda kwa kua US alikua nyuma yake coz alimsaidia sana katika intelijinsia, US alitumia meli kufanya intelijinsia na ndege kali sana za intelijinsia, pia aliwapa silaha nyingi, ila pia muarabu naye hakua peke yake kumbuka na yeye alisapotiwa sana na mrusi kwa mandege mavifaru na mabunduki so hapo usije sema eti israel alishinda kwa sababu ya marekani mbona pia muarabu alisaidiwa na mrusi lakini hajashinda?Ushahidi?? Si nimeshasema hapo kabla ya 1948 mbona hakuna vita hao wayahudi wamewahi shinda kama kweli wana Mungu au hawakuwa na Mungu kabla ya 1948??
Kama ushahidi tu wa uwepo wa marekani kwenye vita ile je unakumbuka tukio la USS Liberty meli ya kijasusi ya marekani ilivyokosewa na ikalipuliwa na wayahudi wenyewe??? Je unajua kazi yake hyo meli kwenye ile vita?? Embu kaitafute alafu ndio urudi useme marekani hakuwa na mkono kwenye hiyo vita.
View attachment 939811
Ukimaliza pitia hii link ya Reuters usome historia ya mahusiano kati ya marekani na hao vibaraka wao Israel ndio urudi useme Mungu ndio anawasaidia sio marekani!!
TIMELINE: U.S.-Israeli relations since 1948 | Reuters
Anyway naomba uje na mfano wa vita yeyote ambayo jeshi la wayahudi limewahi shinda kabla ya 1948?? Yeyote tu hata na vibonde wao palestina alafu ndio tuanzie hapo uje na fact sio na mahaba ya kidini tena hii ni JF sio facebook.
kabla ya mwaka 48 wayahudi hawakua na jeshi coz walikua bado hawana taifa...labda walikua tu wanavikundi vikundi vya wanamgamboUshahidi?? Si nimeshasema hapo kabla ya 1948 mbona hakuna vita hao wayahudi wamewahi shinda kama kweli wana Mungu au hawakuwa na Mungu kabla ya 1948??
Kama ushahidi tu wa uwepo wa marekani kwenye vita ile je unakumbuka tukio la USS Liberty meli ya kijasusi ya marekani ilivyokosewa na ikalipuliwa na wayahudi wenyewe??? Je unajua kazi yake hyo meli kwenye ile vita?? Embu kaitafute alafu ndio urudi useme marekani hakuwa na mkono kwenye hiyo vita.
View attachment 939811
Ukimaliza pitia hii link ya Reuters usome historia ya mahusiano kati ya marekani na hao vibaraka wao Israel ndio urudi useme Mungu ndio anawasaidia sio marekani!!
TIMELINE: U.S.-Israeli relations since 1948 | Reuters
Anyway naomba uje na mfano wa vita yeyote ambayo jeshi la wayahudi limewahi shinda kabla ya 1948?? Yeyote tu hata na vibonde wao palestina alafu ndio tuanzie hapo uje na fact sio na mahaba ya kidini tena hii ni JF sio facebook.
Mkuu labda sikueleweka hakuna mahali nimelinganisha Israel kushinda warabu sababu ya marekani nachosema Israel imeshinda baada ya 1948 sababu ya support ya marekani UKILINGANISHA na kabla ya 1948 na nimetoa mfano wa jeshi la kiyahudi la poland waliochakazwa kwa malaki yao nmetoa mfano wa spain na ufaransa walipocharazwa so unapocompare usiongelee waarabu ongelea majeshi ya kiyahudi ya kabla ya 1948??ni kweli kwamba vita hizo israel alishinda kwa kua US alikua nyuma yake coz alimsaidia sana katika intelijinsia, US alitumia meli kufanya intelijinsia na ndege kali sana za intelijinsia, pia aliwapa silaha nyingi, ila pia muarabu naye hakua peke yake kumbuka na yeye alisapotiwa sana na mrusi kwa mandege mavifaru na mabunduki so hapo usije sema eti israel alishinda kwa sababu ya marekani mbona pia muarabu alisaidiwa na mrusi lakini hajashinda?
kumbuka kila taifa lina marafiki so linapopata shida labda vita marafiki lazima watashiriki..mfano vita vya syria tumeona mataifa ya iran, urusi, hezbolah yakiwa upande wa syria na ushiriki wao ndio umewawezesha syria kushinda vita ile so hapo utasema kwamba ushindi wa syria ni batili kwa sababu kasaidiwa? ushindi ni ushindi tu. so usiseme fulani kashinda kwa sababu eti amesaidiwa
Mbona waarabu wanakuja nchi zaidi ya sita na husemi.. huoni kama na wao ni kama wanasaidiana. Kwanini wasije mmoja mmoja badala yake wanakusanyana kijiji ndio wanakuja kumpiga mtu mmoja Israel?Israel si lolote si chochote bila ya marekani kuwadhamini silaha na pesa na ndio maana kabla ya kupewa hako ka-ardhi na hao wazungu huko nyuma walikuwa wanapigwa tu mwanzo mwisho.
Mfano huko poland 1943 wayahudi waliunda jeshi kuzuia mauaji ya wayahudi wenzao ila zaidi ya wayahudi 75 elfu walichinjwa au kupotezwa ama kutekwa.
Hapo usisahau huko uhispania kwenye first crusade na huko ufaransa kwenye second second crusade walichinjwa kama kuku
Yaani kwa ufupi hakuna vita waliowahi shinda kwenye open play ila baada ya kuwekwa hapo na wazungu ndio wanawapa kiburi ila leo mmarekani akiachana na Israel asubuhi tu wanatandikwa ila nashangaa Kuna watu mnadai wanashinda kisa wana Mungu as if kabla ya kupewa hicho kiardhi kwa mabavu hawakuwa na Mungu wao!!
Tuache propaganda kiufupi bila marekani hakuna Israel that's all i can say
Ungempa hongera.Mbona mimi hata hiyo "guugl"" siijui?Umecopy Google hata kupanga umeshindwa
Hilo ni tatizo lako binafsi, halinihusuUngempa hongera.Mbona mimi hata hiyo "guugl"" siijui?
Mbona sijakuambukiza hilo tatizo?Hilo ni tatizo lako binafsi, halinihusu
Hahahah kazi sana..... watu mnasema Israel ni watu wa MUNGU ndio maana hawapigwi si ndio?? ..... sasa walipokuwa wanatandikwa walikuwa hawana huyo Mungu ama huyo Mungu huwa anawapigania wakiwa taifa tu na sio kikundi???Mbona waarabu wanakuja nchi zaidi ya sita na husemi.. huoni kama na wao ni kama wanasaidiana. Kwanini wasije mmoja mmoja badala yake wanakusanyana kijiji ndio wanakuja kumpiga mtu mmoja Israel?
Wana muogopa!
Kuhusu wayahudi kuuliwa huko spain na poland ni kuwa huko hawakuwa kama taifa, walikuwa tu kama makundi... Hawakuwa taifa kamili..
Israel ni taifa la Mungu, taifa teule na atakaye pigana nae anapigana na Mungu!