Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

Nimesema kwamba suala la kusaidiwa kwenye Vita ni la kawaida baina ya marafiki usiseme eti ilishinda kwa sababu ilisapotiwa Sasa mkuu ulitaka isisapotiwe? Na nikatoa mfano pia muarabu mbona alisapotiwa? Kwenye Vita kinachotakiwa ni ushindi haijalishi umepigana mwenyewe ama hujapigana halafu hakuna anayetaka kutumia nguvu zake mwenyewe kwani atapata loss kubwa so wadau hapo hua wanashiriki.

Pili usiseme Israel inashinda Vita za Sasa kwa sababu inasapotiwa ndio Mana Vita za nyuma eti ilikua inashindwa? hata Kama za nyuma ilikua inashindwa ila Vita za Sasa iko vizuri imejipanga kulingana na makosa iliyofanya Vita za nyuma, so usitumie kigezo Cha kushindwa Vita za nyuma eti ndo ukasema Fulani hajawahi kushinda Vita kwa nguvu zake mwenyewe, historian hua inabadilika kabisa. Mfano kipindi Cha WW2 China pamoja na kua na watu wengi alipigwa na Japan Kama mtoto mdogo, watu wake waliuliwa mchana kweupe na wajapani kwa sababu mjapani alikua Ana technology mchina anaenda na mapanga, so mchina alijufunza kosa lake na yeye akainvest kwenye technology, mfuate Sasa hivi ukapigane nae uone utakachokipata
 
Wamedhibitiwa kivipi? Kwani Golan mountains wameshaipoteza?
 
1: wayahudi wana akili kuliko jirani zao wanaowazunguka kwa sababu: wameshiriki kwenye tafiti nyingi na gunduzi nyingi za kisayansi, tofauti na jirani zao, tuzo nyingi za Nobel wameshinda wao..mfano einsten..so majirani hapo wameachwa

Walitumia akili yao na influence yao vizuri na kuweza kumshawishi uingereza na Legue of nation kuwapatia ardhi wao badala ya palestina, hi ni akili tayari na kua mbele hatua moja zaidi ya mwenzako

Wayahudi walio marekani nchi ambayo ina nguvu kubwa na teknolojia wengi wao ndio wanaongoza taasisi hizo na ndio waliozianzisha...mfano Facebook, Google, ni wayahudi hao. So hapo jirani keshaachwa.

Ushindi wa Vita zote alizochangiwa na majirani unathibitisha kwamba kawashinda akili maana Vita ni akili zaidi kuliko nguvu. Hata ukisema alisaidiwa. Je? akili ya kumfuata marekani awasaidie mbona waarabu hawakua nayo? Kama wangekua nayo si wangeenda kusaidiwa wao ili washinde Vita?

2&3: Kuhusu kushindwa vitani na taifa teule Mimi naona ni kawaida kwa sababu hata kwenye biblia Kuna Vita walikua wanashinda na kushindwa kwa sababu Fulani fulani, lakini walipokua wameshindwa biblia haikusema walishindwa kwa sababu si taifa teule Tena.
 
All in All Israel anacontrol middle East kwa sababu ya technology, especially teknolojia ya ujasusi, anajua waarabu wanavyopika, wanavyokula, wanavyolala na wataamkaje, inshort anawajua jirani zake in and out so hawamsumbui yeye ndo anawasumbua
 
Naomba tuelewane kitu kimoja hapa umeongelea Israel kama ni exceptional ndio maana nikauliza huo UTEULE wao au UTOFAUTI wao ukwapi ilihali walitandikwa kama wengine tu ila wameanza kuwa wababe baada ya kupewa mgongo na marekani kitu ambacho wwe unakataa ndio maana nikakuuloza ni vita gani wamewahi shinda kabla ya 1948 ili tukubali kwamba wao ni SPECIAL??

Ukasema hawakuwahi kuwa na jeshi.... Nikakupa ushahidi kuwa walishawahi kuwa na jeshi huko poland na walitandikwa vibaya sana na hitler ssa kama ni magenius au watata kwenye vita mbona walipigwa??

Mkuu tukubali tu Israel iko pale ilipo sababu ya wamarekani siku wakigeukana utakuja niambia hatma ya Israel.... Mfano Jerusalem haitambuliwi na mataifa yote kama mji mkuu ila marekani pekee na washirika wachache ndio wanaitambua sasa unafkiri bila marekani hali ingekuaje??
 
Kwa Sasa Israel ni exceptional mkuu, achana na Mambo ya kabla ya mwaka 48 hayo ni zilipendwa, kuhusu marekani jua kwamba hao ni marafiki so kusaidiana ni lazima, marekani anajua ni jinsi gani wayahudi wamesaidia kufanikisha ilipo leo
 
Kwani nani kasema nimelinganisha Israel na waarabu?? By the way Israel original (sio Ashkenazi wa sasa) na hao jirani zake wote cjui Lebanon na palestina wana share genes maana wote ni Semites so hata IQ scores zao ni zile zile tu kwahiyo si kweli wanawazidi akili jirani zake.

2. Kingine nimeweka hapa IQ scores za mataifa 80 na israel ni ya 30 sasa wapi mnapata guts kusema wana akili sana?? Oooh kisa kushinda nobel?? Kwahiyo kama Nobel ni kigezo kwanini usiseme Aryans ndio wana akili kuliko jamii zote duniani maana kati ya washindi wote wa Nobel zaidi ya 60% ni Aryans!!! Na sio Jews??

3.Alafu pia acha kufananisha Jew as judaism ya kidini na Jew ya waisrael wa mashariki ya kati mfano Marl zuckeberg ni myahudi kwa dini ila sio damu ya Israel same case kwa hao wa google na so on ni converts tu so sio kila jew ni muisrael bali hata wwe unaweza ukawa jew ya dini leo ingawa huna damu ya yakobo.... Hilo muhimu tusichanganye.
 
Kwa Sasa Israel ni exceptional mkuu, achana na Mambo ya kabla ya mwaka 48 hayo ni zilipendwa, kuhusu marekani jua kwamba hao ni marafiki so kusaidiana ni lazima, marekani anajua ni jinsi gani wayahudi wamesaidia kufanikisha ilipo leo
Exception kwa kipi?? Nipe kimoja tu kwa facts ambacho wanacho ila mataifa mengine hawana na mimi ntakupa list ya vitu ambavyo mataifa mengine wanavyo ila wayahudi wameyashindwa kabisa alafu tupime kama kuna utofauti wowote

Uwanja ni wako mkuu
 
Tunaongelea Israel na waarabu kwani Vita hizo alipigana na waarabu na si watu wengine, ambao ndo jirani zake, sababu za kwa Nini kawashinda akili nishakupa. Hao wapalestina wenyewe ukiwakagua kiundani sio waarabu huko Kuna damu za waroma, waturuki n.k, kinachowaunganisha ni lugha na dini Sana Sana ndo maana wanakua generalized Kama waarabu.

2. Kuhusu IQ na Nobel sijawacompare na watu wengine Mimi nimewacompare na maadui zake ambao ni waarabu. Kwa sababu wewe umesema Israel inashinda Vita kwa sababu ya US mi nikasema si kweli Bali ni sababu kawazidi akili maadui zake ambao ni waarabu. kweli kwamba kawazidi akili Hilo halina mjadala, kwasababu hapa Israel hapambani na Aryans anapamba a na waarabu.

3. Marck zuck, Larry page, Sergei ni wayahudi na kuzaliwa sio wa kidini mfano jina zuckeberg Lina asili ya kiyahudi
"Zuckerberg is a Jewish surname of Germanorigin meaning "sugar mountain".
 
Exception kwa kipi?? Nipe kimoja tu kwa facts ambacho wanacho ila mataifa mengine hawana na mimi ntakupa list ya vitu ambavyo mataifa mengine wanavyo ila wayahudi wameyashindwa kabisa alafu tupime kama kuna utofauti wowote

Uwanja ni wako mkuu
Mimi hapa simpambanishi Israel na mataifa mengine kwani ntatoka nje ya mada, nampambanisha Israel na mtu anayejiita "muarabu" kwani makala imeongelea mgogoro wa mashariki ya Kati Sasa hapo wahusika ni Nani na Nani?
Kitu kimoja ambacho wao wanacho na waarabu hawana ni AKILI. mifano nishakupa
 
Exception kwa kipi?? Nipe kimoja tu kwa facts ambacho wanacho ila mataifa mengine hawana na mimi ntakupa list ya vitu ambavyo mataifa mengine wanavyo ila wayahudi wameyashindwa kabisa alafu tupime kama kuna utofauti wowote

Uwanja ni wako mkuu
Muarabu kitu alichomshinda myahudi ni kuzaliana tu, kwa hapo kweli wamejitahidi Sana.
 
Bandiko zuri,lakini huu uandishi wako wa kuchanganya lugha ya Kiswahili na Kiingereza si mzuri.
Umeanza na lugha ya Kiswahili,basi ungemaliza na lugha ya Kiswahili.
 
We jamaa sikuelewi, ulichoandika na my meaning are contrary. Kuweka jiwe means marking the thread for future consumption. Sasa wewe hizo habari zako za kunya machakani zinahusiana nini hapa?
 


NI KWELI ZUCKEBERG IS AJEWISH NA NDIO WATEULE WA MUNGU WA KUTAFUNWA MAKALIO , HIYO SUGAR MOUNTAIN INALIWA KWELI

MUONE MWENYEWE HAPA Mark Zuckerberg Marched With 700 Facebook Employees In San Francisco's Gay Pride Parade Yesterday
 
Sitaki kusemea juu ya nguvu za Israel ama za waarabu, lakini kuna vitu pia nakumbushia.

Hitler aliua wa Israel lakini Israel haikuuwa wa jerumani ama wa Austria.

Ncho zilizotajwa ni za kikristo lakini Israel siyo wakristo. Sisi tumeamua kuwa wakristo lakini wao na Judaism torat siyo wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…