Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Ni kweli.Waziri wa Ulinzi wa Israel ametamba kwa kusema kwamba, kwao kama Israel hapapo eneo la mbali kwao wakiamua kukufikia ama kukushughulikia.
Yeah. Hadi kieleweke.Ni mwendo wa kumwagana damu tu kwa kwenda mbele
Iran kapigwa mavikwazo atakuwa na uchumi gani?Vita ikiisha irani anakuwa juu kiuchumi hapo mashariki ya kati
Waziri wa Ulinzi wa Israel ametamba kwa kusema kwamba, kwao kama Israel hapapo eneo la mbali kwao wakiamua kukufikia ama kukushughulikia.
HakikaSinwar alipuuza haya maneno kipindi akiwa kwenye handaki Kama panya.
Huko Saudi Arabia waarabu wanaonyesha mapenzi yao kwa Bibi Netanyahu! Na si huko tu bali pia vijana wa Gaza.Waziri wa Ulinzi wa Israel ametamba kwa kusema kwamba, kwao kama Israel hapapo eneo la mbali kwao wakiamua kukufikia ama kukushughulikia.
Utakuwa na nguvu za uchumi bila ya kuwa na jeshi lenye nguvu? Sasa hivi anasubiri nini kuwa juu kiuchumi?Vita ikiisha irani anakuwa juu kiuchumi hapo mashariki ya kati
Hapo wote wanakula kipigo toka kwa Netanyahau walikuwa wanarusha Makombora ovyo Saudi Arabia, wameua Waarabu wa Sunni zaidi ya 200,000 huko SyriaHuko Saudi Arabia waarabu wanaonyesha mapenzi yao kwa Bibi Netanyahu! Na si huko tu bali pia vijana wa Gaza.
View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1847395554453536901
View: https://x.com/MahyarTousi/status/1847205926123507734
Ni kweli, atauza sana silahaVita ikiisha irani anakuwa juu kiuchumi hapo mashariki ya kati