Israel wafanya cyber-attack kwenye nuclear sites za Iran na kuiba information za muhimu

Ila wenzako hawamuabudu yule aliyevalishwa kichupi hadi picha yake mnaweka kwenye makanisa na nyumbani kwenu.
Fresh tu kikubwa anawanyoosha wanaotumaliziaga na kutupandishia bei za kitimoto
 
Waziri wa ulinzi wa Israel alisema kuwa shambulio litakuwa kubwa na la uhakika kiasi kwamba Iran itashindwa kuelewa imekuwaje, na imefanyikaje.


NB: Ilikuwa jambo jema sana kama Iran ingeijiwa na hekima, ikayafanya yafuatayo:
1) ikafuta falsafa yake kuwa eti wazayuni hawatakiwi kuwepo Duniani, wanatakiwa kuangamizwa.

2) ikatangaza kuyavunja makundi yote ya kigaidi iliyoyanzisha kwaajili ya kudhoofisha serikali za mataifa ya kiarabu, na kuishambulia Israel.

3) Ndani ya Iran, itaheshimu haki za watu, na kuachana na uharamia wa kuwafanya watu wote kuwa mateka wa dini moja.

Kisha Dunia ingeungana katika kuitaka Israel kuanzisha mazungumzo na wapalestina yatakayolenga ama kuishi wote kwa amani na upendo ndani ya nchi moja yenye mamlaka huru ya Wapalestina au wapalestina kuwa na nchi yao itakayokuwa jirani mwema wa Israel.
 
Ila wenzako hawamuabudu yule aliyevalishwa kichupi hadi picha yake mnaweka kwenye makanisa na nyumbani kwenu.
Nyie ndo wajanja eeeh mnaliabudu na kulisujudia Jiwe moja jeusi na mmelipa uungu. Eti mkienda kuhiji mkiligusa na kulibusu dhambi zenu zinasamehewa.

Bure na hovyo kabisa.

Nyau de adriz
 

Duu, izirael ni watu wabad. Wameingia mpaka chumba cha ndani kabisa cha Iran. Sasa nao Iran waende physically kwenye saver farm za izirael na kufuta kila kitu
 
Duu, izirael ni watu wabad. Wameingia mpaka chumba cha ndani kabisa cha Iran. Sasa nao Iran waende physically kwenye saver farm za izirael na kufuta kila kitu
Kuna tofauti ya anayegundua tech na anayeuziwa tech

Unapojaribu kushindana na anayegundua tech huku wewe ukiwa mnunuaji tu ni uwendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…