Israel wafanya cyber-attack kwenye nuclear sites za Iran na kuiba information za muhimu

Bado tutasikia mengi, waziri wa ulinzi wa Israel alisema kjwa tutakachowafanyia Iran hawatategemea, walijua wanavamiwa na ndege za kivita, mlipuko uliosikika j1 kwenye mitambo ya nuclear ilikuwa ni sehemu ya uvamizi wa cyberattack
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…