Israel wafanya shambulizi jipya Gaza na kuua watu 300

Hivi Wapalestina hawawezi kuungana kupinga Utawala wa HAMASI hapo Gaza?
 
Endelea kulamba makalio ya CCM Hamas sio Watanganyika
 
waendelee kupambana tu. LAKINI mimi najiuliza, hivi hawa hamasi kwanini wawang'ang'anie hao waisrael wachache? huku wanapoteza wapalestina maelfu.
 
Kwa
Kwa fikra zako, hilo ndio litasaidia kuwazuia Viongozi wa Israel kuendeleza mauaji ya Watu wa Gaza!?
Nikukumbushe tu, Trump na Netapaka wametoa machaguo mawili tu kwa watu wa Gaza.
"Ama wahame kabisa Gaza au wauwawe wote".
 
Hakuna kuingilia kati, Hamas hawana adabu, maana fujo walianza wao wakijishauri wenyewe. Sasa kelele wanapiga za Nini, ngoja waonyeshwe wahuni hao. Walipofanya uvamizi walijiuliza Kwa nani? Waende kulekule walikojiuliza na kuvamia Israel.
 
Binafsi vifo vya watu wasio na hatia vinaniumiza sana. Hata pale Congo watu wanauawa bila sababu yoyote ile inasikitisha.

Lakini niliangalia video ya namna waarabu wanavyowafukuza WAAFRIKA wa Morocco kwa kuwapiga na kuwajeruhi wakisema hawatakiwi Morocco au ile video na uzi wa humu Syria wakiuana waarabu Waislamu dhidi ya Wakristo na pia nikikumbuka walivyomuua yule kijana wa Kitanzania aliyekwenda kusoma Nchini Israel, aisee afanyacho Muisrael dhidi ya haya majamaa ni sawa kabisa.

Acha ayagonge na kuyaua haya manyang'au kwani hayana maana kabisa na wala sio wa kuyachekea.
 
Tangu zamani wamefundishwa ukatili

Tangu enzi za Filauni huko, hata sasa bado wanapewa somo lile lile la ukatili, mtu huwezi kuingia nyumbani mwako akateka mkeo, watoto n.k halafu wewe ukae kimya

Utakuwa mpumbavu

Hitila alitaka kuwamaliza, kushindwa kwake kuwamaliza ndilo kosa lilianzia hapo

Maana aliowaacha aliwachia mioyo ya malipizi na ukatili

Aliwafundisha somo la kuwa makatiri

Hivyo ndivyo walivyo na wataendelea hivyo hadi maadui wao wawaheshimu
 
Quran yenu ndiyo inawadanganya na kuwaponza. Wakowapi wale Kamasi waliokuwa wakijigamba na mayunifomu wakati ule wa kubadilisha mateka wa Israel na wafungwa wa Kamasi?
Hii tweet ni jana tarehe 18 March. Hauoni tena Kamasi lolote likiwa kwenye Uniform zao za Kijeshi. Wamefyata mkia
 
Inaumiza kuona nafsi zisizo na hatia zinaangamia kwa maumivu makali sababu ya wapumbavu wachache.
 
Wapalestina wanaonewa.sana basi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…