Israel wafanya shambulizi jipya Gaza na kuua watu 300

Hivi Wapalestina hawawezi kuungana kupinga Utawala wa HAMASI hapo Gaza?
 
Watu 300 ni wengi Sana aisee, Kwa mahesabu ya harakaharaka hii idadi ya vifo ni sawa na wale wafungwa walioachiwa huru kutoka magereani yaani hapa kichofanyika wanawatoa magereani alafu wanakuja kuwauwa uraiani.

Hamas kama wangekuwa Wana Akili timamu wangekubali Tu kuweka silaha chini
Endelea kulamba makalio ya CCM Hamas sio Watanganyika
 
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwanini Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Sasa nimegundua shida yao! Ni wajivuni, manipulative na barbaric!

Huwezi kupata Kila kitu your way! Extermination of Jews will happen again! Inawezakana within 100 years! Sio kwa ukatili huu? Unadhani watu wanafurahishwa?
waendelee kupambana tu. LAKINI mimi najiuliza, hivi hawa hamasi kwanini wawang'ang'anie hao waisrael wachache? huku wanapoteza wapalestina maelfu.
 
DutggggggtgffggggKwaWatu 300 ni wengi Sana aisee, Kwa mahesabu ya harakaharaka hii idadi ya vifo ni sawa na wale wafungwa walioachiwa huru kutoka magereani yaani hapa kichofanyika wanawatoa magereani alafu wanakuja kuwauwa uraiani.

Hamas kama wangekuwa Wana Akili timamu wangekubali Tu kuweka silaha chini
Kwa
Watu 300 ni wengi Sana aisee, Kwa mahesabu ya harakaharaka hii idadi ya vifo ni sawa na wale wafungwa walioachiwa huru kutoka magereani yaani hapa kichofanyika wanawatoa magereani alafu wanakuja kuwauwa uraiani.

Hamas kama wangekuwa Wana Akili timamu wangekubali Tu kuweka silaha chini
Kwa fikra zako, hilo ndio litasaidia kuwazuia Viongozi wa Israel kuendeleza mauaji ya Watu wa Gaza!?
Nikukumbushe tu, Trump na Netapaka wametoa machaguo mawili tu kwa watu wa Gaza.
"Ama wahame kabisa Gaza au wauwawe wote".
 
Wakuu,

Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330.

Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa kwa Hamas kuachilia mateka na kukubali mapendekezo ya mazungumzo.

Hamas imeituhumu Israel kwa kusaliti makubaliano ya kusitisha mapigano na kuhatarisha maisha ya mateka waliobaki Gaza. Hata hivyo, haijatangaza rasmi kurejea vitani, ikitaka Umoja wa Mataifa na wawezeshaji wa mazungumzo kuingilia kati.

Taarifa kutoka Ikulu ya Marekani zinasema Israel ilishauriana na serikali ya Rais Donald Trump kabla ya mashambulizi hayo.

====================================================================
​
The Israeli military says it is carrying out "extensive strikes" in the Gaza Strip, with the Hamas-run health ministry reporting that at least 330 Palestinians have been killed.

The Israel Defense Forces (IDF) said it was targeting what it called "terror targets" belonging to Hamas.
Mahmoud Abu Wafah, the deputy interior minister in Gaza and the highest-ranking Hamas security official in the territory, has reportedly been killed in a strike.

This is the largest wave of airstrikes in Gaza since the ceasefire began on 19 January. Talks to extend the Gaza ceasefire have failed to reach an agreement.

Many people were having their pre-dawn meal, due to it being the holy month of Ramadan, when explosions started in Gaza, witnesses say.

More than 20 Israeli war planes flew over, they said. The planes then began to hit targets in Gaza City, Rafah and Khan Younis.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defence Minister Israel Katz ordered the strikes on Tuesday morning, according to a statement from the PM's office.

"This follows Hamas's repeated refusal to release our hostages, as well as its rejection of all of the proposals it has received from US Presidential Envoy Steve Witkoff and from the mediators," it said.

Source: BBC Swahili
Hakuna kuingilia kati, Hamas hawana adabu, maana fujo walianza wao wakijishauri wenyewe. Sasa kelele wanapiga za Nini, ngoja waonyeshwe wahuni hao. Walipofanya uvamizi walijiuliza Kwa nani? Waende kulekule walikojiuliza na kuvamia Israel.
 
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwanini Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Sasa nimegundua shida yao! Ni wajivuni, manipulative na barbaric!

Huwezi kupata Kila kitu your way! Extermination of Jews will happen again! Inawezakana within 100 years! Sio kwa ukatili huu? Unadhani watu wanafurahishwa?
Binafsi vifo vya watu wasio na hatia vinaniumiza sana. Hata pale Congo watu wanauawa bila sababu yoyote ile inasikitisha.

Lakini niliangalia video ya namna waarabu wanavyowafukuza WAAFRIKA wa Morocco kwa kuwapiga na kuwajeruhi wakisema hawatakiwi Morocco au ile video na uzi wa humu Syria wakiuana waarabu Waislamu dhidi ya Wakristo na pia nikikumbuka walivyomuua yule kijana wa Kitanzania aliyekwenda kusoma Nchini Israel, aisee afanyacho Muisrael dhidi ya haya majamaa ni sawa kabisa.

Acha ayagonge na kuyaua haya manyang'au kwani hayana maana kabisa na wala sio wa kuyachekea.
 
Israel ni wendazimu na spoilt children wa Marekani. Hawana utu Wala ustaraabu!

Unajiuliza kwanini Europe walitaka kuwamaliza wote? Kwanini muda wote wao wanataka kumalizwa?

Sasa nimegundua shida yao! Ni wajivuni, manipulative na barbaric!

Huwezi kupata Kila kitu your way! Extermination of Jews will happen again! Inawezakana within 100 years! Sio kwa ukatili huu? Unadhani watu wanafurahishwa?
Tangu zamani wamefundishwa ukatili

Tangu enzi za Filauni huko, hata sasa bado wanapewa somo lile lile la ukatili, mtu huwezi kuingia nyumbani mwako akateka mkeo, watoto n.k halafu wewe ukae kimya

Utakuwa mpumbavu

Hitila alitaka kuwamaliza, kushindwa kwake kuwamaliza ndilo kosa lilianzia hapo

Maana aliowaacha aliwachia mioyo ya malipizi na ukatili

Aliwafundisha somo la kuwa makatiri

Hivyo ndivyo walivyo na wataendelea hivyo hadi maadui wao wawaheshimu
 
Quran yenu ndiyo inawadanganya na kuwaponza. Wakowapi wale Kamasi waliokuwa wakijigamba na mayunifomu wakati ule wa kubadilisha mateka wa Israel na wafungwa wa Kamasi?
Hii tweet ni jana tarehe 18 March. Hauoni tena Kamasi lolote likiwa kwenye Uniform zao za Kijeshi. Wamefyata mkia
Screenshot_20250319_105032.jpg
 
Inaumiza kuona nafsi zisizo na hatia zinaangamia kwa maumivu makali sababu ya wapumbavu wachache.
 
Wakuu,

Jeshi la Israel limefanya mashambulizi makubwa Gaza, likisema linashambulia ngome za Hamas. Wizara ya Afya ya Hamas imeripoti vifo vya watu 330.

Mashambulizi yalianza alfajiri wakati wa daku, yakilenga Gaza City, Rafah, na Khan Younis. Israel imesema operesheni hiyo ni kujibu kukataa kwa Hamas kuachilia mateka na kukubali mapendekezo ya mazungumzo.

Hamas imeituhumu Israel kwa kusaliti makubaliano ya kusitisha mapigano na kuhatarisha maisha ya mateka waliobaki Gaza. Hata hivyo, haijatangaza rasmi kurejea vitani, ikitaka Umoja wa Mataifa na wawezeshaji wa mazungumzo kuingilia kati.

Taarifa kutoka Ikulu ya Marekani zinasema Israel ilishauriana na serikali ya Rais Donald Trump kabla ya mashambulizi hayo.

====================================================================
​
The Israeli military says it is carrying out "extensive strikes" in the Gaza Strip, with the Hamas-run health ministry reporting that at least 330 Palestinians have been killed.

The Israel Defense Forces (IDF) said it was targeting what it called "terror targets" belonging to Hamas.
Mahmoud Abu Wafah, the deputy interior minister in Gaza and the highest-ranking Hamas security official in the territory, has reportedly been killed in a strike.

This is the largest wave of airstrikes in Gaza since the ceasefire began on 19 January. Talks to extend the Gaza ceasefire have failed to reach an agreement.

Many people were having their pre-dawn meal, due to it being the holy month of Ramadan, when explosions started in Gaza, witnesses say.

More than 20 Israeli war planes flew over, they said. The planes then began to hit targets in Gaza City, Rafah and Khan Younis.

Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu and Defence Minister Israel Katz ordered the strikes on Tuesday morning, according to a statement from the PM's office.

"This follows Hamas's repeated refusal to release our hostages, as well as its rejection of all of the proposals it has received from US Presidential Envoy Steve Witkoff and from the mediators," it said.

Source: BBC Swahili
Wapalestina wanaonewa.sana basi tuu
 
Back
Top Bottom