Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmejuajeYaani hao jamaa ni ndezi kweli!!!jitahada iliyotumika kutoroka ni kubwa sana, halafu wanakuja kukamatwa kipuuzi kabisa!!!
Ila wamewahenyesha mno na kuwaonesha kuwa wanaweza.Maafisa wa usalama wa Israel wasibitisha kuwakamata wafungwa wa 4 kati ya 6 hatari wa wanamgambo wa kipalestina waliotoroka kwenye gereza lenye ulinzi mkali la Gilboa.View attachment 1933634View attachment 1933635
Wamewafunza kituPole zao saivi kifungo kitakua chini ya ulinzi mkali
Bado Israel hakupo shuwari, bila kupatikana wafungwa wawili waliobaki, waziri wa usalama anaweza kujuuzulu na kuna uwezekano Israel kupiga marufuku wafungwa kutumia vijiko kutokana hao watoro shimo walio torokea, walilichimba kwa kutumia vijiko va kulia chakulaIla wamewahenyesha mno na kuwaonesha kuwa wanaweza
Huko ndio kuna watu wana maamuzi.Bado Israel hakupo shuwari, bila kupatikana wafungwa wawili waliobaki, waziri wa usalama anaweza kujuuzulu
Walitumia jitihada kubwa kutoroka bila kuwa na mipango ya mbeleni.Yaani hao jamaa ni ndezi kweli!!!jitahada iliyotumika kutoroka ni kubwa sana, halafu wanakuja kukamatwa kipuuzi kabisa!!!
Mkuu, pamoja na uchungu wako kwa Wapalestina ila kiswahili kinakutesa sana.Mkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
Kumbe ni kama hawa wengine.Mkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
Kama waliweza kutoroka awali hawatashindwa tenakimsboy
@BwanaUtamu
Naona walikuwa wanapata degree wakiwa Segerea zao je huku unaweza pata degree ukiwa UKONGA kweli na ule uchovu wa kupasua kuni??Picha na wasifu wa Miamba 4 kati ya 6 hatari wa wapiganaji wa kipalestina walio toroka jela ya Gilboa Prison na kukamatwa tena na polisi wa Israel.View attachment 1935996View attachment 1935997View attachment 1935998View attachment 1935999View attachment 1936000View attachment 1936002View attachment 1936003View attachment 1936009
Weka andiko au ulifundishwa madrasa?? Weka Na Mimi niweke fundisho hilohilo kwenye kulaani tukufuMkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
Wafungwa wengine wawili waliobaki wamekamatwa tena na police wa IsraelKama waliweza kutoroka awali hawatashindwa tena
Kwan wamekamatwa wote mkuu
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app