Israel: Wafungwa wanne kati ya 6 waliotoroka wakamatwa tena

Ila wamewahenyesha mno na kuwaonesha kuwa wanaweza
Bado Israel hakupo shuwari, bila kupatikana wafungwa wawili waliobaki, waziri wa usalama anaweza kujuuzulu na kuna uwezekano Israel kupiga marufuku wafungwa kutumia vijiko kutokana hao watoro shimo walio torokea, walilichimba kwa kutumia vijiko va kulia chakula
View attachment 1934242View attachment 1934243
 
Ule mchakato wa kutoroka ulikuwa mgumu na mrefu sana, unakamatwaje?
 
Hivi huu ukatili wapalestina kuwarushia waisrael maroketi mpaka 1700 na pia kuwachoma visu wayahudi huwa hauonekani?mbona makosa ya Israel yanaonekana peke yake wakati ikijilinda?
 
Pongezi kwao sio kazi ndogo kuchimba lakin kuna wawili hawaja kamatachwa ni hatari kwa waziri wa ulinzi
 
Picha na wasifu wa Miamba 4 kati ya 6 hatari wa wapiganaji wa kipalestina walio toroka jela ya Gilboa Prison na kukamatwa tena na polisi wa Israel.
 
Mkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
Kumbe ni kama hawa wengine.
 
Mkuu ukatili wa WAYAHUDI upo kwenye imani ya dini yao kizayuni (Zionist) mayahudi imani yao inasema: kumdhulu, kumtesa kumsulubu mtu asiye myahudi ni haki tena ni sehemu ya ibada yao.
Weka andiko au ulifundishwa madrasa?? Weka Na Mimi niweke fundisho hilohilo kwenye kulaani tukufu
 
Hatimae after two week wawili wengine nao wamekamatwa wakiwa wamejificha bom moja tu la machozi wakajisalimisha kama hamza kazi ya hunting imefungwa rasmi 6 wote back to jail
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…