Israel wameshindwa na Iran, wameelekea Rafah.Wameharibu mazao mashariki ya eneo hilo

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita.

Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita.

Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo la Rafah kila siku ni wastani wa watu 60 na huku ikiripotiwa jeshi hilo kumalizia hasira zake kwa watu na mazao kwenye mashamba mashariki ya Rafah.
 
Rafah ni mji wa wayahudi, watawaondosha wote
 
Safi sana Israeli. Magaidi wadhibitiwe mapema kabisa kabla hawajaleta madhara
 
Mashoga vita hawaviwezi wanacho weza ni kuwaua watoto, wanawake, na vizee

Wanachoweza ni kupiga majumba, hospital, shule au kuharibu mashamba na kukatia watu maji au umeme pamoja kuwazuia hata wasile chakula na vyakula visingie kwa kusaidiwa na makhaini warabu Jordan na Egypt.

Vita vinataka wanaume kama vile Hamasi, Hezbullah, Al Houth wa Yemen na Iran.
 
Mashoga vita hawaviwezi wanacho weza ni kuwaua watoto, wanawake, na vizee

Vita vinataka wanaume kama vile Hamasi, Hezbullah, Al Houth wa Yemen na Iran.
Wakati watoto na wanawake wanauliwa

Wanaume wa Hamas wanakuwa wamejificha kwenye mashimo kama fuko

Badala wawafiche ao wanawake na watoto yenyewe ndio yanajificha
 
Back
Top Bottom