Rafah ni mji wa wayahudi, watawaondosha woteHarakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita.
Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita.
Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo la Rafah kila siku ni wastani wa watu 60 na huku ikiripotiwa jeshi hilo kumalizia hasira zake kwa watu na mazao kwenye mashamba mashariki ya Rafah.
Wakati watoto na wanawake wanauliwaMashoga vita hawaviwezi wanacho weza ni kuwaua watoto, wanawake, na vizee
Vita vinataka wanaume kama vile Hamasi, Hezbullah, Al Houth wa Yemen na Iran.