Israel wana jeshi dhaifu sana miezi 9 wameokoa mateka wanne tu

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Linajifanya taifa lenye nguvu kumbe hamna kitu, Miezi 9 ya vita sasa wameshindwa kung'amua mateka wako wapi...Miezi 9 wameokoa mateka wanne kwa maana hyo itawachukua miaka 22 kuwaokoa mateka wengine waliobaki.

Tokea siku zote hizo ni jana wameokoa mateka wanne tu tena kwa msaada wa Delta force ya Marekani, yaani vikosi vya makomandoo wamefanikiwa kuokoa watu 4 tu na kuua watu 220 papo hapo sasa nadharia ya ukomandoo iko wapi?

Huku kuna watu hao hao pro-LgbtqIsrael walikua wana-criticize russia kuchukua mda mrefu kwenye operation ya kuichukua Ukraine...Wanasahau Ukraine ni linchi likubwa kwa maeneo, pia wanasahau russia anapigana kwa kurelax bila kutumia nguvu kubwa maana anaenda kwa malengo yake....Leo ni miezi 9 Israel wameshindwa kuikamata Gaza ambayo ni ndogo kuliko hata Kigamboni na misaada yote wanayopewa lakini holaa!!

Hivi Israel bila marekani wataweza kweli? Maana hapo wamechanganyika nchi kibao kumsaidia lakini hajafikia malengo Gaza

Huyu ndo ataweza kupigana na Hezbollah kweli?Hana ubavu huo?Maana kipigo anachotembezewa na Hezbollah sio cha nchi hii

Kama wanajiamini why hawasubutu kutangaza operation ya kuiangamiza Hezbollah wakati Hezbollah ndo tishio kuliko Hamas?Watie mguu kusini mwa Lebanon wauone moto!!

Mpango wa Iran unaenda vizuri sana, hapo Israel alipo yupo kwenye mtego na mpango wa Iran na anazidi kujaa vizur kwenye mtego wa Iran.

Iran ana mpango mbaya dhidi ya Israel mpango wa kuimaliza kabisa Israel au kuidhoofisha kabisa kwa miaka miwili...Mambo yanaenda kutimia.

Jeshi ambalo asilimia 83% ya wanajeshi wake wamejitambulisha kama mashoga wanaweza vipi kukabiliana na mabarobaro kama Hezbollah au Hamas uso kwa uso?

Israel kinachombeba ni jeshi la anga tu but ardhini hamna jeshi pale, wamefyekwa sana huko Gaza na kaskazini mwa Israeli miji kama Kyrat Shmona na Upper Gallilee pamechomwa na Hezbollah hadi hapatamaniki...Jamaa wanalipua hadi mifumo ya Iron Dome.
 
About 100,000 fighters from Iraq and Syria ready to join Hezbollah if Israel-Lebanon war breaks out....
 
tena nahisi hawa mateka walikuwa wanasogezwa karibu ili ule mpango wa ceasefire ukikamilika wa wawaachie,kumbe ule mpango wa Biden ni wakitapeli kabisa...wasahau kuhusu mateka wengine kwa hii janja janja
 
Aisee nilikua napenda sana hili battle huku kuangalia mnavyobishana, siku nikakaa siku nzima naangalia Al Jazeera, aisee acheni ushabiki wa vita, hii sio Simba na Yanga, watu wanateseka sana, naomba Amani ipatikane
 
Naunga mkono kaka Israel 🇮🇱 itapotea kwenye ramani ya dunia
 
Inapofika suala la dini akili yako huwa unaiweka matakoni.Jeshi dhaifu liue watu 37,000.Hilo jeshi imara mbona limeshindwa kulinda raia wake?
Jeshi dhaifu lililo m eliminate mfadhili wa magaidi Rahisi?
Jeshi dhaifu ambalo limeondoa waandamizi wote wa hamas?
Suala la mateka ni la muda tuu.
Jamaa wana buy time kusudi mzidi kuyakoroga waendelee kuwa neutralize
 
Sasa dini inaingiaje hapo nguchiro wewe?

Lete ushahid kuwa Israel ndo ilimuua ibrahim raes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…