Israel wana jeshi dhaifu sana miezi 9 wameokoa mateka wanne tu

Israel wana jeshi dhaifu sana miezi 9 wameokoa mateka wanne tu

Uokozi wa hao mateka 4 umewaumiza na kuwakera sana majihadist wa dini ile. Sasa Wana hasira mithili ya mbogo aliepunywa punywa na risasi😂

Siku watakapo kombolewa mateka wote nahisi mtajilipua kwa hasira
 
Tunawaambieni kila msiokoteze news vichororoni.. tizama huyo mdada ni Jews hater na haishi Gaza ila anaelezea as if ameshuhudia mchezo mzima wa uokozi... and hana ushahidi yaani katunga news same as Mudy kutokewa na Gibril waislam wote wakaamini..
Haha huyo ni Mbritish yuko Gaza eti Mjewish we kweli akili zako zimepinda
 
Baada ya Sindano ya Masaa kuwa kali hakasikika mtu akipiga yowe kutokea huko mashariki alipodungwa

Na hapo tukaelewa sindano imemuingia barabara anarudi kulialia na kuita watu Mashoga

Haya acha dozi iendelee maana sindano za masaa sharti urudi tena baadae
 
Haha huyo ni Mbritish yuko Gaza eti Mjewish we kweli akili zako zimepinda
Wapi nimeandika ni Mjewish? i wrote Jews hater yaani mchukia wayahudi same as you.. uwe unasoma vizuri kabla hujapinga pinga kama kafir wa Kiislam. Jews hater ni wenye chuki dhidi ya wayahudi narudia tena... watu kama huyo mdada wapo Aljazeera na vyombo vyote vya kiarabu...

Tizama anasema kuwa watoa msaada ndio wamesaidia uokozi kitu ambacho ni uongo wa wazi mean UN imehusika uokozi wa Mateka...

Worning: Unachoongea kuwa makini nacho due naweza tumia against you in court of Law so you better stay calm and quiet, and silence shut up your dirt mouth Man.

I will support you ukileta news zenye ukweli ila za uongo I will be getting you busted for your lies. kindly be a good person like others uongo sio mzuri
 
Sawa nimekubali kuna kosa upande wangu sikusoma vizuri ulikusudia huyo anachukua majewish lakini wewe akilini kwako mtu akisema ukweli ndio Jew's haters?

Haya na huyu Mmarekani anakiri jeshi lao limeshiriki na wametumia gari lamsada hata kama USA anajaribu kukwepa, kuna watu wengi nchi tofouti wamekiri hayo hata kuna watu huko America kwenye serekali yao wanakiri hayo, wanasema Biden awachie ngazi hana akili sawa.
Aljazeera hio ni news ya kiarabu nikipata ya kizungu takuwekea pia

View: https://youtu.be/U6Y4nYq1r6M?si=2r3GvOhb1x1rEfQY
 
Inapofika suala la dini akili yako huwa unaiweka matakoni.Jeshi dhaifu liue watu 37,000.Hilo jeshi imara mbona limeshindwa kulinda raia wake?
Jeshi dhaifu lililo m eliminate mfadhili wa magaidi Rahisi?
Jeshi dhaifu ambalo limeondoa waandamizi wote wa hamas?
Suala la mateka ni la muda tuu.
Jamaa wana buy time kusudi mzidi kuyakoroga waendelee kuwa neutralize
We we unakinyesi kichwa hiyo 37000 hao ni wanajeshi au ni raia wa kawaida hvi ukipewa hata rungu tu utashindwa kuua watoto na wezee ?
 
Imagine mateka wamefichwa Kwenye familia moja hapo Dar!mtaa Fulani, haijulikani ni kigamboni, manzese, Kerege, au mbezi, majasusi wanatafuta taharifa mpaka wanajua, walipofichwa! Makomandoo wanaendesha program ya kuokoa mchana kweupeee! Na, wanafsnikiwa! Hilo ni jeshi dhaifu!! Ur fucking kidding me, vipi kuhusu LA bongo kwa miaka zaidi ya, minne wameshindwa kuwapata waliompigq lisu risasi! Hili LA, kwetu ni mimavi mitupu
Wew unAhida sana hata mwalimu wako alipata shida sana
 
Back
Top Bottom