Israel wana jeshi dhaifu sana miezi 9 wameokoa mateka wanne tu

Sababu ni rahisi tu, magaidi wanaua wapalestina na wamewateka waisrael na wamewatawanya sehemu mbali mbali kwa mafungu, hili tu linafanya zoezi kua gumu kijeshi na wanajeshi waliopo humu wataelewa nini nasema, ila wanajesh waisrael kwa kusaidiwa na Mungu wanazuia wapalestina wasiendelee kuuawawa na magaidi(savi wamefika ellfu 37), na pia kurudisha mateka either wakiwa wamekufa ama.hai, ndio.mana hatushangai gaidi mmoja anakufa na watu 274..au gaidi mmoja anakufa kuokoa mateka 4. Kazi iendelee!
 
tena nahisi hawa mateka walikuwa wanasogezwa karibu ili ule mpango wa ceasefire ukikamilika wa wawaachie,kumbe ule mpango wa Biden ni wakitapeli kabisa...wasahau kuhusu mateka wengine kwa hii janja janja
Wewe ni mwarabu wa gairo au muislamu wa kuchovya?
 
About 100,000 fighters from Iraq and Syria ready to join Hezbollah if Israel-Lebanon war breaks out....
Swala sio Idadi ni teknolojia ya kivita

Israel wako wachache tu kakini wanachakaza Gaza na kufanya kifusi
 
Wapalestina 37,000 wameuawa ili waokolewe mateka wanne waisrael hiyo hesabu mleta mada unaionaje ya kuchekelea?
 
Imagine mateka wamefichwa Kwenye familia moja hapo Dar!mtaa Fulani, haijulikani ni kigamboni, manzese, Kerege, au mbezi, majasusi wanatafuta taharifa mpaka wanajua, walipofichwa! Makomandoo wanaendesha program ya kuokoa mchana kweupeee! Na, wanafsnikiwa! Hilo ni jeshi dhaifu!! Ur fucking kidding me, vipi kuhusu LA bongo kwa miaka zaidi ya, minne wameshindwa kuwapata waliompigq lisu risasi! Hili LA, kwetu ni mimavi mitupu
 
Aisee nilikua napenda sana hili battle huku kuangalia mnavyobishana, siku nikakaa siku nzima naangalia Al Jazeera, aisee acheni ushabiki wa vita, hii sio Simba na Yanga, watu wanateseka sana, naomba Amani ipatikane
Mkuu achana na Aljazeera ni wana propaganda wale kazi yao kuu ni kuifanya Israel ichukiwe na Dunia nzima... waandishi wao tu ni ma member wa Hamas na Islamic jihad, Madakatari wote wameajiiliwa na Hamas, yaani Gaza ipo chini ya Hamas unategemea nini waisifie Israel maadui wao wa Uislam hadi Quran inawaamrisha.

Majuzi inasemekana Noa mateka alihifadhiwa na nyumbani kwa Member wa Aljazeera... Gazan wote hakuna victims ni criminal wote wanatakuwa kuhama Israel warudishwe kwao Misri.

Gazan wanakula bata kuliko maelezo even makomandoo walizuga kama wapangaji wapya nyumba zinapangishwa vitani? Beach zipo wazi miaaada tu imezidi kuliko kabla ya Vita ila news za Aljazeera utaigopa ukitizama wanaigiza watu wamekonda watoto, wanakunywa maji ya matope.. uongo uongo tu ma iblis
 
Huna akili, na katika kuokoa wanne, wameua wangapi na kueruhi wangapi?
 
Mambo mengi ni uongo. Ndio maana siku hzi nimemamua chombo changu cha habari za kuaminika kibaki kuwa Biblia tu.
 
Ndani ya mwezi ujao utaskia mateka wengine wamepatikana, Hamas upepo umekata 😂,
 
Magaidi wenzio wanajuta huko nchi inateketea kwa upumbavu wao wapo dubai wanakula bata wanahamasisha wapumbavu gaza wauane….kenge wahed
 
vp, kama lengo siyo kuokoa mateka bali ni kufanya wanachokifanya kwa kisingizio kuwa wanawatafuta mateka. Make wakiokoa mateka wote hawatapata cha kusingizia.
Hii point pia.
 
Vita ya Israel na Hamasi-Sio Vita kama Vita zingine- ni Vita Inayopiganwa Not in battle field and dont follow Geneva Convetion ! Inapiganwa ndani ya hervy dense and high populated Peoples areas (Gaza) umakini wa ziada unatumika kuepusha Vifo vya wasiousika.Israel wanajitaidi sana kuepusha Majanga kwa Raia wasiousika-Wengi awaelewi hili
 
Pia kwenye ilo zoezi lililofanikisha kuokoa mateka wanne wameua mateka watatu na raia wa kipalestina zaidi ya 150
Apo kwenye kupoteza watatu ili kuokoa wanne sawa na hakuna mafanikio kwenye ilo zoezi ni vile wanaona aibu kurudisha jeshi nyumbani ila wamefeli vibaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…