Israel wanaendelea kushambulia makanisa huko Lebanon

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
IMG_20241010_182835.jpg
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Acha wawafuate hukohuko walikoenda kujificja, makanisa Yatajengwa tena
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Sisi hata wakilipua Vatican kuua magaidi bado tutakuwa pamoja nao tu.Dawa ya gaidi ni kuwa gaidi zaidi yake.
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Waislam wamepata nafasi ya kuendeleza ushetani wao wa uongo.. Hapo Hezbollah wamelipua and wanasingizia IDF same kama ilipotokea Gaza walirusha rocket israel ikafail hadi karibu na kanisa.. wakasingizia kwa nguvu zote IDF wamelipa kanisa wakaumbuka kwa picha za cctv na satelite.. Uongo unakubalika only msikitini not dunia hii ya mtandao
 
Usiwe kama Kondoo Kwanini hezibollah wasilipue miaka yote wajewalipue leo
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Makanisa ya gaza hukupost

USSR
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Acha magaidi yadundwe! Yanadhani yakificha makombola au kukimbilia makanisani ndo tusiyadunde! Hakuna namna tutayadunda tu!
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Popote pale gaidi atakapojificha atafikiwa ni swala la muda tu
 
Kwamba ukiandika huo uharo wako ndio Wagaratia watakuwa upande wenu wavaa Kobazi?
Ndo ajabu sasa kobaz wanathan sie mkristo apgwa kwa kukumbatia hzbolha tutakua upande wa hzbollaha kama kanisa linawasapoti hzbola libomolewee kabisaa nawaliomo ndan wateketezwee
 
Back
Top Bottom