Israel wanaendelea kushambulia makanisa huko Lebanon

Wakristo ni punda wa wayahudi.
Yaani the ancient roman empire ikiona hivi vizazi vya sasa jinsi vinavyosujudia wayahudi basi ingelia sana.

Kina kaisari, herode na pilato hawakuwahi kutumikishwa na wayahudi kama hawa wanaojiita wakristo wa leo

Wanalazimisha uhusiano na mayahudi ambao haupo
 
Kwamba ukiandika huo uharo wako ndio Wagaratia watakuwa upande wenu wavaa Kobazi?
Ona hii mburukenge ilivyo na akili fupi!!
Kwani umesikia wavaa kobaz wanataka kuungwa mkono na wavaa msalaba!?
Hii habari imeletwa ili kuwaonesha ninyi wagalatia msio na akili wenye matope vichwani kuwa hao mnaowashabikia wanapinga ukristo mlio nao.
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
WACHA WASHAMBULIE MAGAIDI HAWANA PA KUJIFICHA KWA SASA HATA WAKIENDA KANISANI WAPIGWE TU. HAKUNA KUWAONEA HURUMA.HILO NI JENGO TU LITAJENGWA TENA.
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Makanisa na Misikiti yakibomolewa unapungukiwa na nini kama Mtanzania acha utumwa wa kipumbavu angalia maisha yako.
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Niliwaambia humu mayahudi yesu wanamtemea mate na kumtukana, wakiristo wa ufipa wakaja juu na kusema Israel ni wenzao sasa kwa taarifa tu ni kwamba walianza kuwauwa wakiristo wa galilaya na palestine,
 
Sisi hata wakilipua Vatican kuua magaidi bado tutakuwa pamoja nao tu.Dawa ya gaidi ni kuwa gaidi zaidi yake.
Wewe ni kondoo gani usieweza kwenda Lebanon kuwasaidia kondoo wenzako wasivunjiwe makanisa yao
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Afu nyie watu kuna kitu hamuelewi na ndio kinatufanya watanzania wanashindwa kuelewa Israeli hapigani na Christianity au hiyo dini nyingine yeye anapigana na adui yake kwa mfano mnataka mniambie saiv putin anapigana na dini gani au anapigana na Palestine
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Sasa mbona wanatuchanganya sisi waislamu tunaotaka kuandamana kukemea kupiga makombora misikiti.
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Israel inatumia wanamgambo kupigana vita hiyo?
 
Wanamgambo wa Israel wanaendelea kuonesha chuki zao kwa kuvamia makanisa ya kuyabomoa huko Lebanon

🚨🇮🇱🇱🇧 BREAKING: ISRAEL just BOMBED another Christian Church in Lebanon.

How could any Christian support these satanic terrorists?
Huko ndio wanakojificha magaidi (according to kondoo wa bwana )
 
Kanisa ni tofauti kabisa na jengo hilo

Kanisa ni wewe mwenyewe, mwili wako ndilo hekalu la Roho mtakatifu,

Hilo ni jengo tu Maalimu!

Litajengwa tena hilo,
We ni Mtu mzima ovyoo
 
Back
Top Bottom