Israel wanaendelea kushambulia makanisa huko Lebanon

Hakuna mahala aliko gaidi la kiislam ambako mkono wa Israel hautafika, hata misikiti watalipua tu.
 

Hawa na makanisa ni mbalimbali sana. Wana imani yao ambayo si ya Kikristo. Kifupi hawamuamini Yesu Kristo.
Sasa wale wanaosema ni taifa teule, sijui kwa misingi ipi.
 
Kanisa ni tofauti kabisa na jengo hilo

Kanisa ni wewe mwenyewe, mwili wako ndilo hekalu la Roho mtakatifu,

Hilo ni jengo tu Maalimu!

Litajengwa tena hilo,
 
Wakristo ni punda wa wayahudi.
Yaani the ancient roman empire ikiona hivi vizazi vya sasa jinsi vinavyosujudia wayahudi basi ingelia sana.

Kina kaisari, herode na pilato hawakuwahi kutumikishwa na wayahudi kama hawa wanaojiita wakristo wa leo
Sisi hata wakilipua Vatican kuua magaidi bado tutakuwa pamoja nao tu.Dawa ya gaidi ni kuwa gaidi zaidi yake.
 
Kanisa sio Jengo

Kama magaidi yatajificha nyuma ya majengo ya kanisa hakuna zaidi ya kuwapiga maana wananajisi majengo ya kanisa
 
Magaidi ya hezbollah hata yakitumia makanisa kujificha ni kuyalipua huko huko unafikiri ukiweka majengo ya kanisa ndio wakristo watayahurumia hezbollah wameyataka hayo magaidi yenu ni kuyafuta tu ili wakamhadhithie baba yao iran
 
kama ndani kuna gaidi, wacha tu wapige, yatajengwa mengine. shida ni kwamba, hezbollah wanajificha humo, wakristo wengi wamekimbia wameacha makanisa wazi, hezbula wanaenda eneo la kanisa au msikiti wanarusha vitu ili Israel akipiga wasema israel anapiga makanisa. wanachotafuta ni kuungwa mkono na dunia, kwamba hata wakristo wawe against israel. wamefeli sana na hawaujui ukristo. hii vita wameitaka wenyewe, wakati israel yupo gaza walikuwa wanachokoza, na kusema wana hamu ya kupigana na israel, wameanza kupigwa wanalalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ