Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

Israel wanaomba Mateka waachiwe Gaza. waondoe majeshi yao na viongizi wa Hamas waende uhamishoni

Wanakumbi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita:

Kawambua haiwezekani kuiondoa Hamas Gaza katika hali yake sasa Israel wamerudi Qatar tena hali tete Gaza.
Baraza la mawaziri la vita la Israel liliwekwa Jumatano kuchunguza pendekezo jipya la Qatar la makubaliano ya kuwaachila mateka na kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, kulingana na ripoti nyingi. Ofa hiyo ilisemekana kwenda zaidi ya makubaliano ya muda, kutoa ramani ya njia ya kumaliza vita ambayo inajumuisha viongozi wa Hamas kwenda uhamishoni na Israeli kuondoa wanajeshi wake kutoka Ukanda huo.

Kulingana na ripoti za chaneli 12 na 13, Ynet na vyombo vingine, pendekezo la "awali" kutoka Doha lingeona Israeli ikiwaruhusu viongozi wa Hamas kuondoka Gaza badala ya kuachiliwa polepole kwa mateka wote waliosalia, pamoja na Jeshi la Ulinzi la Israeli. kuhitimisha mashambulizi yake.

NA WAMEOMBA MSAMAHA KWA UHARIBIFU WALIOUFANYA GAZA. PIA WAMEKUBALI KUWA WAO WAMEULIWA WENGI SANA WAMEISHA. NA SASA WANATAKA NA BENJAMINI NETANYAU NAYE AACHILIWE. HATIMAYE HAMAS WAMESHINDA KAMA TULIVYOSEMA AWALI. TUENDELEE KUWAPAMBANIA HUMU JF TUSIWAACHE WENZETU.
 
Bi mkubwa we inaonekana kwenye midundiko unakuwaga mbele kabisa tena bila viatu.
Unawajua Hamas wewe au basi tu JF hakuna kiingilio ndo manaa unapayuka tu.

Kila mpenda Haki ni Hamas. Hamas sio kundi la wanywa viroba km wewe.

Pata elmu kidogo
Leo wote tusaidiane humu kuwashambulia hawa makafir. Kama ambavyo tulikubaliana hakuna kurudi nyuma na tusiache kupeana support sheikhs wangu. Hawa Mayahudi wameua sana Maarabu. Nasi tuendelee kupambana nao tu.
 
South Africa naye kakomaa Kesi ya Genocide.
So Genocide imefanyika wapi tena? Tulikubaliana tuseme Israel hajaua sana. Sasa hapa tutajichanganya. Anyway hawa Waisrael wakamatwe wote wanyongwe halafu wapalestine wakaishi kule Israel. Safi sana Sheikh wangu Uharo.
 
BREAKING:

⚡ 🇮🇱 Kituo cha 13:

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken wakati wa mkutano wake na maafisa wa baraza la mawaziri la vita:

"Haiwezekani kuiondoa Hamas katika hali yake ya sasa."

Blinken pia alisema katika mkutano wa baraza la vita kwamba Wapalestina wana matamanio na lazima wayakubali.

Megatron: Netanyahu sasa ana pendekezo la wazi mezani kutoka Marekani: "Sitisha moto na taifa la Palestina" au vita kwa kiwango cha kikanda ambavyo hakika utashindwa na Marekani haitaweza kukulinda.

t.me/megatron_ron
Muione hili kwenye jalada ninyi wainjilisti WA mwendokasi.
 
I
Teh teh teh

Waisrael weusi akili zao ni kama nguchiro tuh,hakuna Cha maana wanachojua zaidi ya kufuata mkumbo tuh,ndiyo maana mwamposa anawauzia mchanga daily pale teh teh teh
Nahusianaje hii na vita vya wayahudi na wapalestina?
 
Leo wote tusaidiane humu kuwashambulia hawa makafir. Kama ambavyo tulikubaliana hakuna kurudi nyuma na tusiache kupeana support sheikhs wangu. Hawa Mayahudi wameua sana Maarabu. Nasi tuendelee kupambana nao tu.

1704955486371.jpeg
 
NA WAMEOMBA MSAMAHA KWA UHARIBIFU WALIOUFANYA GAZA. PIA WAMEKUBALI KUWA WAO WAMEULIWA WENGI SANA WAMEISHA. NA SASA WANATAKA NA BENJAMINI NETANYAU NAYE AACHILIWE. HATIMAYE HAMAS WAMESHINDA KAMA TULIVYOSEMA AWALI. TUENDELEE KUWAPAMBANIA HUMU JF TUSIWAACHE WENZETU.
MR UHURO NO 2.
 
ISRAEL ON TRIAL: ENTIRE AREAS IN GAZA WIPED OUT

“Entire multi-generational families will be obliterated, and yet more Palestinian children will become WCSNF,

Wounded Child, No Surviving Family,

The terrible acronym, born out of Israel's genocidal assault on Palestinians in the Gaza strip."

“The Court has heard of the horrific death toll. Bodies of Palestinians are picked upon by animals. On average, 270 Palestinians are killed daily. 48 mothers each day, 2 every hour, over 117 children each day. A war on children.”
 
Tupo mubashara hapa al jazeera english
 
HAMAS mpaka ifutwe. Kazi iendelee. Hizo habari za udaku
With
Netanyahu will go for "war on a regional scale that you will surely lose and the US won't be able to protect you." - less jail time
i dont think so
the American knows this is not 1948 or 1967 this is 2024 different game it will be nasty for zionist
 
Kulingana na ripoti za chaneli 12 na 13, Ynet na vyombo vingine, pendekezo la "awali" kutoka Doha lingeona Israeli ikiwaruhusu viongozi wa Hamas kuondoka Gaza badala ya kuachiliwa polepole kwa mateka wote waliosalia, pamoja na Jeshi la Ulinzi la Israeli. kuhitimisha mashambulizi yake.
Wakikubali kwenda uhamishoni hawataruhusiwa tena kurejea Gaza miaka ijayo.
 
Back
Top Bottom