Israel waonya yeyote atakayekubali uteuzi wa kumrithi Ayatollah, ajiandae kufa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel imeteka anga, hivyo ndege zinaruka zikitafuta pakupiga.

Iran kwa sasa ipo pabaya sana maana humo ndani yake kuna wanatoa taarifa nyeti kwa Israel, ikumbukwe raia wake wanataka wakombolewe pia na ndio maana wanashabikia kuona nchi yao inachezea kichapo.
Yaani hapa nawaza kitu gani serikali yetu inaweza ikafanya hadi niwe na chuki kiasi cha kushabikia kuona jeshi letu linashushiwa mabomu, miundo mbinu yetu inalipuliwa, aisei kweli walikua na njaa ya ukombozi.
===========================

Defense Minister Israel Katz says any leader appointed by the Iranian regime to replace Ali Khamenei will be an “unequivocal target for elimination.”

“Any leader appointed by the Iranian terror regime to continue leading the plan to destroy Israel, threaten the US and the free world and the countries of the region, and oppress the Iranian people, will be an unequivocal target for elimination,” Katz says in a statement.

“It does not matter what his name is or where he hides,” he says.
 
Watwambie kwanza Netanyahu yupo wp
 
Attachments

  • 20240418_202117.jpg
    20240418_202117.jpg
    188.5 KB · Views: 27
  • 1001172625.png
    1001172625.png
    1.7 MB · Views: 43
Hata Mimi Niko tayari kufurahia kikitokea kikundi au nchi ikaichakaza JWTZ na kuharibu miundombinu kwenye harakati za kuiangusha serikali ya Tanzania.
 
Tamaa ya madaraka itawauwa hao washia kwa nini wasikubali kwamba wakati umefika wa kuwaachia Wairan nchi yao wajitawale wenyewe kama wanavyotaka wao.

Ama kweli ccm wako wengi na kwa staili hiyo wataisha tu kwani Israel na Marekani wameshaamua kwamba liwalo na liwe hawawezi kukubali kuendelea kutishwa na utawala wa kiimla wa Iran.
 
Yaani kinaitwa kiti moto, kalia hicho kiti ukijua muda wowote utashushiwa kitu kizito, hata ukijificha ndani ya mahandaki kama alivyofanya Ayatollah, kuna aina ya mabomu hufumua handaki. Israel imeteka anga, hivyo ndege zinaruka zikitafuta pakupiga.

Iran kwa sasa ipo pabaya sana maana humo ndani yake kuna wanatoa taarifa nyeti kwa Israel, ikumbukwe raia wake wanataka wakombolewe pia na ndio maana wanashabikia kuona nchi yao inachezea kichapo.
Yaani hapa nawaza kitu gani serikali yetu inaweza ikafanya hadi niwe na chuki kiasi cha kushabikia kuona jeshi letu linashushiwa mabomu, miundo mbinu yetu inalipuliwa, aisei kweli walikua na njaa ya ukombozi.
===========================

Defense Minister Israel Katz says any leader appointed by the Iranian regime to replace Ali Khamenei will be an “unequivocal target for elimination.”

“Any leader appointed by the Iranian terror regime to continue leading the plan to destroy Israel, threaten the US and the free world and the countries of the region, and oppress the Iranian people, will be an unequivocal target for elimination,” Katz says in a statement.

“It does not matter what his name is or where he hides,” he says.
Unaifuatilia hii vita lakini ? Maana Kwa Sasa raia wa Israel wanakimbia nchi Yao na kuenda kuwa wakimbizi nchi za jirani

Irani ameshamalizana na Base zote za Marekani zilizopo mashariki ya kati na Sasa atabaki na Israel pekee yake

Sasa ebu jiulize zile ballistic Missile zilizokiwa zinaelekezwa nchi 14 Kwa Sasa zinaelekezwa Israel pekee yake

Kuhusu Ayatollah Wala hakujificha katika mahandaki alikuwa yupo tu nyumbani kwake alikataa kujificha Kwa sababu yeye alisema haogopi kufa na kuhusu Irani tayari ni Taifa imara na alishaacha Hadi wosia kuhusu uongozi

Habari za ndani kabisa zinasema Ayatollah alikuwa na kansa siku zake zilikuwa zinahesabika ndio maana hakuona sababu ya kujificha

Yani serikali ya Irani iweze kuficha missile zake washindwe kumficha Ayatollah?
 
Unaifuatilia hii vita lakini ? Maana Kwa Sasa raia wa Israel wanakimbia nchi Yao na kuenda kuwa wakimbizi nchi za jirani

Irani ameshamalizana na Base zote za Marekani zilizopo mashariki ya kati na Sasa atabaki na Israel pekee yake

Sasa ebu jiulize zile ballistic Missile zilizokiwa zinaelekezwa nchi 14 Kwa Sasa zinaelekezwa Israel pekee yake
Trump na Netanyahu !!
Vita hii ndio inaenda kuwatokomeza kwenye historia yao.
 
Back
Top Bottom