kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Benny Gantz
Waziri huyo wa ulinzi ameshalielekeza jeshi la anga jinsi ya kuipiga Iran bila kukosea target.
Pia majuzi Iran imesambaza wanajeshi wake mashariki ya kati kwa ajili ya kuishambulia Israel na Nchi zingine kwenye ukanda huo. #Gantz asema.
Waziri wa ulinzi wa Israel yuko nchini Marekani kujadiri na kuiomba marekani iipe ruksa ya kuishambulia Iran. Waziri huyo wa Ulinzi alisema kwamba Iran imesambaza wanajeshi wake maeneo yote ya mashariki ya kati kwa ajili ya kuishambulia Israel na nchi jirani.
Waziri huo wa ulinzi ameiomba marekani iipe ruksa ya kuishambulia Iran hasa kwenye vituo vyake vya nyuklia.
Gantz amesema kuwa Israel haitosita kujilinda na kuwalinda raia wake pamoja na mali zake.
Haaretz.com