Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Israel yaachia video mpya inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho akiwa ameumia na anajificha kwenye makochi!

Mateka wakiokolewa vita inakuwa haina umuhimu.Kama.Israel anaweza akajua viongozi wa Hamas na Hizbullah walipo,unadhani hajui mateka wako wapi?
Akishawaokoa mateka vita inakosa relevancy
.... Mwamba hataki kumnyang'anya nyani bungo (mateka) bali anataka nyani ateme bungo kwa hiari yake mwenyewe kama alivyowachukua tar.7 Okt.2023. Huyo Hezbollah anafinywa sana kwa sababu ya ujinga wa kujitakia mwenyewe eti namuunga mkono mwenzangu katika Imaan.
 
Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Mwaka 1982 kwa muda wa masaa 5 tu, Sharon Israel alichinja Wapalestina 3,500 wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto maana wanaume walikuwa wameenda Tunisia chini ya usalama under peace agreement ya Marekani.
Hiyo ilikuwa mara 3 ya hao wa October.

Hizi chuki haziluanza jana. Miaka 75 iliyopita.
 
Walichokifanya october 7 inasikitisha sana,walichinja watu na kuwachoma kama mishikaki , wanastahili kipigo haswa kwa walichofanya.
Kuna binti walimbaka mpk kajinyea wakiwa wamevaa ma Adidas yao na miushungi ya Palestina huku wakiimba ,takbiru alahu akubaru.
Wamesababisha mauaji ya raia wengine wasio na hatia 45 000 mpk sasa.
 
.... Mwamba hataki kumnyang'anya nyani bungo (mateka) bali anataka nyani ateme bungo kwa hiari yake mwenyewe kama alivyowachukua tar.7 Okt.2023. Huyo Hezbollah anafinywa sana kwa sababu ya ujinga wa kujitakia mwenyewe eti namuunga mkono mwenzangu katika Imaan.
Huyo unayemwita mwamba anayekalia sehemu za watu kwa mabavu na chanzo cha balaa zote hizi anatumia mbinu za kisingizio cha mateka na hataki suluhisho hivyo anaendelea kuua “Genocide” ovyo maana hajashiba damu. Hawa Mayahudi wallisha fukuzwa nchi 1035 kwa ajili ya ufisadi wao. Hawamtambui Yesu wanamuona kama mwana haramu; na hawautambui ukiristo wanauwa wakiristo na kupiga mabomu makanisa lakini wamo humu waliolala usiwaamshe wanafurahia mauaji.

Mwaka 1982 kwa muda wa masaa 5 tu, Sharon Israel alichinja Wapalestina 3,500 wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto maana wanaume walikuwa wameenda Tunisia chini ya usalama under peace agreement ya Marekani.
Hiyo ilikuwa mara 3 ya hao wa October.

Hizi chuki haziluanza jana. Miaka 75 iliyopita.
 
Ayatollah ndio aliwashauri na hii ilikuwa Israel apigwe mtungo ila Netanyau aliwashtukia mapema kwakuwa Hizbullah hakuwa na sababu ya kushambulia kama walivyofanya Hamas ndio maana alikuwa anawachokoza Israel ili ashambulie wapate sababu ya kuvamia kama wenzao lakin BIBi akaona awaache amalizane na Hamas kwanza Kisha atarudi kwao kama watakuwa bado wanaendelea kurusha rockets zao ndani ya Israel na ndio hiki tunachokishuhudia kikifanyika huko Lebanon.
Nilichomsoma Myaudi kama anapigana na huyu halafu akatokea mwingine akamshambulia huwa hajibu hapo hapo anahakikisha hadi amemalizana na yule wa mwanzo halafu anahamia upande wa pili.

Inshort ni ngumu kumtoa kwenye lengo. Kama yale mabomu ya Iran yaliua raia basi ni jambo la muda tu.

Mwenye hauruki kijiji.
 
Mtu aliewadanganya hawa wapalestina waivamie Israel ni irañ.Na wazo lake ni kwamba marekani kuna utawala dhaifu WA democrat usioweza kusimama imara na unapenda diplomacy Kwa hio hata wangeishambulia Israel marekani asingemsapoti Israel kulipa kisasi angebabaisha na diplomacy ya woga...

Pili Hedhibollah wangetishia kuingia pia kwenye hio vita,,na Kwa namna walivyoibrand hedhibollah kwamba ni tishio ina stockpiles ya makombora 150,000 wamepigana na Islamic state wamegain experience basi iran akajua wale marekani wataingia woga na watauambukiza woga wao kwa Israel..

Kumbe ikawa Kinyume wapalestina wamejuta kitendo walichokifanya wameleta kifo kwenye Nyumba zao..Wàmekufa Kama panzi na vilio wamelia.Iran kakaa pembeni kama shoga akijuta kusikitika na kuhaha Kwa waarabu wenye kutulia akijaribu kuzima Moto aliouwasha kutokana na mipango isio ya kijeshi.

Iran ni nchi iliofeli na italeta majanga yatakayoiathiri hadi yenyewe.
 
Ukiizungumzia Palestine unazungumzia Hamas na katka chata Yao wameweka wazi kabisa kwamba hakuna taifa linaloitwa Israel na linatakiwa lifutwe ktk uso wa Dunia.

Wewe mmatumbi wa kizimkazi ni nani upingane nao?
Hamas imeundwa mwaka gani!?
Je Hamas imeleta hiyo nadharia bila sababu!??
Hamas imeanza undwa 2004 kama sijakosea.
PLO kabla ilikua ni ya kisiasa je mliisikiliza!?
Yasser Arafat mlimsikiliza!?
Unabwatuka tu hapa.
Mngemsikiliza Yasser Arafat toka miaka ya 1970s Hamas isingeundwa leo.
Pia kuna Gaza na kuna West Bank.
Unapozungumzia Palestina still bado unaizungumzia West bank ambayo inaongozwa na PLO.
Ni Gaza pekee ndio inahusika na Hamas.
 
Mwaka 1982 kwa muda wa masaa 5 tu, Sharon Israel alichinja Wapalestina 3,500 wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto maana wanaume walikuwa wameenda Tunisia chini ya usalama under peace agreement ya Marekani.
Hiyo ilikuwa mara 3 ya hao wa October.

Hizi chuki haziluanza jana. Miaka 75 iliyopita.
Inashangaza sana kwamba hadi leo hii 2024 wapo watu wanashikilia historia ya mambo yaliyokwisha pita hawaangalii mbele. Historia ni kweli inatufunza Tulipotoka,Tulipo sasa na Tuaelekea wapi. Halafu tunakoelekea ni kuzuri? Kama ni kuzuri tunafikaje huko. Kama sio kuzuri Tunabadili Uelekeo. Hoja yako hapo juu unasema 1982 wapalestina 3,500 bila kusahau kale kamwimbo kenu "wanawake na watoto" Leo 2024 Wapalestina 41,802 na kamwimbo kale-kale kanaendelea" "Wanawake na Watoto" na Mchinjaji ni yule yule Israel!!!! Bado tuu Hamjifunzi kitu hapo??? Mnachoweza ni kuhesabu miaka eti 75yrs. :BatChesting::KEKBye:
Anachofanya Myahudi ni katika kuwasaidia kuwaondoa wale vichwa maji (Viongozi na Machawa)wanaodhani kwa kutumia njia ya vita watafika. Ni kwa bahati mbaya wengi wa wapiganaji wanatolewa kafara tu lakini walengwa mahsusi ni akina Y. Sinwar na wale wenzake waliotangulizwa 17 Neutralised.
Inaonekana kana kwamba hako kamwimbo kenu "wanawake na watoto" mnakapenda sana na ili muwe na uhalali wa kukaimba ni lazima mumchokoze mchinjaji (Israel). Chukueni tahadhari- Mtaisha aisee.
 
vita ni vita, wacha wamalizane.
Wa Israeli na Wapalestina. ni ndugu.
 
Naijua kuliko uijuavyo wewe.
Usiniletee historia za biblia za pauka pakawa.
Historia zenyewe za uhalisia Israel imeundwa 1947-1948.
Na kama isingekua msukumo wa USA basi isingeundwa hiyo Israel.
Tena UK ndio ilikataa kabisa Israel kuundwa toka 1920 baada ya lile eneo kuporwa kutoka Ottoman empire 1918.
Kumbe Uingereza ina roho nzuri kabisa. Sasa inakuwaje huwa mnawatukana Waingereza ni Makafiri? Mnawatukana halafu mnapenda kwenda kuishi huko Ukafirini? Acha mtwangwe na Israel kenge wa pink nyie.
 
Inashangaza sana kwamba hadi leo hii 2024 wapo watu wanashikilia historia ya mambo yaliyokwisha pita hawaangalii mbele. Historia ni kweli inatufunza Tulipotoka,Tulipo sasa na Tuaelekea wapi. Halafu tunakoelekea ni kuzuri? Kama ni kuzuri tunafikaje huko. Kama sio kuzuri Tunabadili Uelekeo. Hoja yako hapo juu unasema 1982 wapalestina 3,500 bila kusahau kale kamwimbo kenu "wanawake na watoto" Leo 2024 Wapalestina 41,802 na kamwimbo kale-kale kanaendelea" "Wanawake na Watoto" na Mchinjaji ni yule yule Israel!!!! Bado tuu Hamjifunzi kitu hapo??? Mnachoweza ni kuhesabu miaka eti 75yrs. :BatChesting::KEKBye:
Anachofanya Myahudi ni katika kuwasaidia kuwaondoa wale vichwa maji (Viongozi na Machawa)wanaodhani kwa kutumia njia ya vita watafika. Ni kwa bahati mbaya wengi wa wapiganaji wanatolewa kafara tu lakini walengwa mahsusi ni akina Y. Sinwar na wale wenzake waliotangulizwa 17 Neutralised.
Inaonekana kana kwamba hako kamwimbo kenu "wanawake na watoto" mnakapenda sana na ili muwe na uhalali wa kukaimba ni lazima mumchokoze mchinjaji (Israel). Chukueni tahadhari- Mtaisha aisee.
Usichokifahamu mkuu waisrael wanaumia kama wanavyoumia waarabu.
Hivi unadhani jeshi kupata askari takriban elfu sabini walemavu wa viungo wa kudumu na elfu kumi na mbili walemavu wa akili wa kudumu ni jambo dogo!?
Wiki iliyopita tu Israel kapoteza askari 300 katika mapigano na Hizbollah.
Bandari ya Eilat haifanyi kazi kwasababu ya mashambulizi ya Houthi pale Red sea.
Meli moja imetekwa zingine zinazopeleka mizigo zinalipuliwa.
Takriban wayahudi laki tano wamekimbia nchi na hawajui kama watarudi.
Jumuiya nyingi za kimataifa zimeanza kuikana na kuitenga Israel.
Mataifa kama Uhispania,Ubelgiji,Ireland,Brazil n.k n.k zote hizo zimevunja uhusiano na Israel.
Imefikia hatua hadi Netanyahu kikao cha mwisho cha UNGA wajumbe wamesimama na kumsusia kikao akihutubia.
Raia hawakai kwa amani, kaskazini wamekimbia makazi na kuja kanda ya kati ya Israel,na haijulikani kama watarudi katika hayo makazi.
Asilimia kubwa ya wayahudi jamii ya Orthodox wanahama hadi sasa nchini Israel kwa kulazimishwa kuingia jeshini na IDF ilhali ni kinyume na miiko ya dini.
Israel imeshafunga makampuni na biashara nyingi tu hadi sasa,kinachomuokoa ni misaada ya kifedha isiyo na masharti kutoka USA,UK na Ujerumani.
Ila kama ingekua ni nchi inayosimama yenyewe basi ingekua ina hali ngumu sana.

Israel ni miaka mingi amekataa suluhu ya kidiplomasia yenye ameendekeza ubabe mashariki ya kati yote.
Ila sasa hivi amepata hasara kubwa na asipoangalia atapata anguko.
Maana anapigana na waarabu ambao HAWANA CHA KUPOTEZA.
 
Kumbe Uingereza ina roho nzuri kabisa. Sasa inakuwaje huwa mnawatukana Waingereza ni Makafiri? Mnawatukana halafu mnapenda kwenda kuishi huko Ukafirini? Acha mtwangwe na Israel kenge wa pink nyie.
Mbona kama unaongea kwa kuropoka!?
Hizo ni siasa hubadilika tu.
Kiongozi wa Uingereza wa 1920s sio sawa na wa miaka ya 2000.
Nahisi umtoto wa haya mambo huwezi elewa.
 
Israel ilikuwa imewinda Gaza kwa zaidi ya mwaka mmoja ili kupata SinwarChanzo cha picha,Getty Images
Saa 1 iliyopita
Wanajeshi wa Israel walikuwa wamemuwinda kwa zaidi ya mwaka mmoja kiongozi wa Hamas, ambaye alitoweka huko Gaza mara tu baada ya kupanga mashambulizi ya tarehe 7 Oktoba.

Yahya Sinwar, 61, alisemekana alitumia muda wake mwingi kujificha kwenye vichuguu chini ya Ukanda huo, pamoja na kada ya walinzi na "ngao ya kibinadamu" ya mateka waliokamatwa kutoka Israeli.

Lakini hatimaye, inaonekana alikutana na mwisho wake katika kukutana na doria ya Israeli kusini mwa Gaza. Alikuwa na idadi ndogo ya walinzi. Hakuna mateka waliopatikana.

Bado taarifa zinaendelea kujitokeza, lakini hiki ndicho tunachokijua hadi sasa kuhusu mauaji ya Sinwar.
 
Ukweli ni kwamba Israel imewanyanyasa sana Wapalestina huko Gaza.

Oktoba 7 haikutokea tu bila sababu. Huwezi kunyanyasa watu kwa muda wote huo halafu kusiwe na resistance.

Huyo Sinwar mwenyewe kazaliwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Khan Yunis.

Maisha yake yote kayaishi chini ya manyanyaso ya Israel.

Siwalaumu Wapalestina kwa kupigania utu wao na heshima yao. Nao ni binadamu wanaostahili heshima kama ilivyo kwa binadamu wengine.

Hata wakiwaachia hao mateka, manyanyaso yataendelea tu.

Suluhisho hapo ni Israel kuacha kuwanyanyasa Wapalestina. Kuwaachia wafungwa wote wa Kipalestina. Hamas kuwaachia hao mateka.

Na kukubaliana kila mmoja awe na taifa lake lililo huru.

Imetosha sasa.
Acheni undumila kuwili waisraeli oct 7 ni sawa kuuwawa?!!

Nani alimuanza mwenzake ?!! Tusingefika huku kama sio hiyo oct 7

Hivi ni mvua za rasha rasha tu after hezbulla anayefuata houth na baadae tutamalizia na sponsor wao
 
Wakuu,

IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.

Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.

Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.

Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.

Unajifichaje kwenye makochi kwa kukaa juu yake?..hapo ni baada ya kombora la kifaru na kuweka begani kupiga, wapiganaji wake wakafa akabaki yeye, sniper akamdungua,
 
Back
Top Bottom