Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waw! That's fine. Kama ni Kweli Waarabu hawana cha kupoteza labda ni mufilisi i.e. hawana kitu tena au vitu vitu walivyokuwa navyo vimeisha n.k. lakini mbona wanapiga sana kelele yan hawaishi kulia lia kwa UN? Isitoshe inaonekana Waarabu ni kama wanafanya makusudi licha ya kusikilizwa na UN kwa kuwekewa UNIFIL. wao wanaendelea na maroketi yao.Usichokifahamu mkuu waisrael wanaumia kama wanavyoumia waarabu.
Hivi unadhani jeshi kupata askari takriban elfu sabini walemavu wa viungo wa kudumu na elfu kumi na mbili walemavu wa akili wa kudumu ni jambo dogo!?
Wiki iliyopita tu Israel kapoteza askari 300 katika mapigano na Hizbollah.
Bandari ya Eilat haifanyi kazi kwasababu ya mashambulizi ya Houthi pale Red sea.
Meli moja imetekwa zingine zinazopeleka mizigo zinalipuliwa.
Takriban wayahudi laki tano wamekimbia nchi na hawajui kama watarudi.
Jumuiya nyingi za kimataifa zimeanza kuikana na kuitenga Israel.
Mataifa kama Uhispania,Ubelgiji,Ireland,Brazil n.k n.k zote hizo zimevunja uhusiano na Israel.
Imefikia hatua hadi Netanyahu kikao cha mwisho cha UNGA wajumbe wamesimama na kumsusia kikao akihutubia.
Raia hawakai kwa amani, kaskazini wamekimbia makazi na kuja kanda ya kati ya Israel,na haijulikani kama watarudi katika hayo makazi.
Asilimia kubwa ya wayahudi jamii ya Orthodox wanahama hadi sasa nchini Israel kwa kulazimishwa kuingia jeshini na IDF ilhali ni kinyume na miiko ya dini.
Israel imeshafunga makampuni na biashara nyingi tu hadi sasa,kinachomuokoa ni misaada ya kifedha isiyo na masharti kutoka USA,UK na Ujerumani.
Ila kama ingekua ni nchi inayosimama yenyewe basi ingekua ina hali ngumu sana.
Israel ni miaka mingi amekataa suluhu ya kidiplomasia yenye ameendekeza ubabe mashariki ya kati yote.
Ila sasa hivi amepata hasara kubwa na asipoangalia atapata anguko.
Maana anapigana na waarabu ambao HAWANA CHA KUPOTEZA.
Na wanatoa majibu ya kiUhakika kweli.Kama magaidi watajificha makanisani wapigwe tu. Hao Wayahudi walimuua Yesu na bado akasema wasamehewe itakuwa tu mtu baki? Walichokozwa wacha wajibu.
Sawa.. nao watadedishwa tuWamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah
Sidhani kama Hamas wakiweka silaha chini Israel itaendelea na vita, huwezi kuwa unapigana mtu ambaye hakupigiKuna wapalestina wengi ambao ni waisraeli tena wengine ni wanajeshi. Shida ya hawa watu ni kauli mbiu yao kutaka kuangamizwa taifa la Israel. Hebu fikiria hamas leo wakiweka silaha chin kutakuwa na aman je jews wakiweka silaha chin si wamekwisha?
kwa hiyo sio Muhamedi tena na qurani yake?Dini ya kiislamu imekuja toka binadamu wa kwanza
Kabisa mpaka Maarabu yanatapa tapa leo hii eti yanaonea huruma makanisa kupigwa mabomu. Wakati hapo Zanzibar tu tumeona Wakristo wanavyopata shida na hawawatetei. Magaidi yakijifocha Kanisani yapigwe tu. Hamna excuse.Na wanatoa majibu ya kiUhakika kweli.
Kuna mataifa yana maisha mazuri sana kama Qatar,Kuwait,Brunei,Uturuki,Malaysia, Indonesia n.k n.k,kwanini nihangaike kwenda Ulaya!?Huyo ukimwambia saivi achague visa ya kwenda kuishi taifa la kiislamu Afghanistan, Iran, Saud Arabia au Canada na Uingereza,, atakimbikia kwa "makafiri" Kwa mwendo wa ngiri mkia juu
Quran 39: 12 Suratul Zumar (Makundi / Vikosi)Dini ya kiislamu imekuja toka binadamu wa kwanza kuja duniani baba yetu Nabii Adam A.S hata yesu hajazaliwa na mama maryam, ukiristo ulianzishwa ni akina paulo ambaye ata yesu hakumuona pia
Inatosha hoja ilikuwa hapa.
Je Hamas imeleta hiyo nadharia bila sababu!?.
Umeshachanganya mambo.Waw! That's fine. Kama ni Kweli Waarabu hawana cha kupoteza labda ni mufilisi i.e. hawana kitu tena au vitu vitu walivyokuwa navyo vimeisha n.k. lakini mbona wanapiga sana kelele yan hawaishi kulia lia kwa UN? Isitoshe inaonekana Waarabu ni kama wanafanya makusudi licha ya kusikilizwa na UN kwa kuwekewa UNIFIL. wao wanaendelea na maroketi yao.
Nchi nyingine kuvunja uhusiano au kususa hotuba ni miongoni mwa mambo ya Kisiasa sio ya kushabikia sana ili ku-justify anguko la Israel. Kama ni hasaraukweli ni kwamba WOTE wanapata hasara tena kubwa kutokana na vita inayoendelea -wanatofautiana viwango tuu.
Hata hiyo unabisha, hata kama ni mahaba duhuzush tu utamjuaj mtu kwa umbal uo then aliku chif kamanda wa juu wa hamas anapokaa lazm ulinz uwe mkubw ht km angeuwaw ila risas zingelia sn
Mbona wao wanauliwa tu mbona hawamuui Netanyahu ama Kiongozi wa IDF ?Wamemuua Sinwar Lakini ataibuka mwingine zaidi ya Sinwar !! ALikuwepo Gerge Habash wakamuua , Alikuwepo Yassir Arafat akatangulia mbele ya haki wakaja kina Haniyey, Sinwar nk.Baado wapo tele HAMAS ni imani haitakufa milele inshaallah
hakuna wakati Palestine iliwai kubaki wanawake na watoto watupu.Mwaka 1982 kwa muda wa masaa 5 tu, Sharon Israel alichinja Wapalestina 3,500 wengi wao walikuwa ni wanawake na watoto maana wanaume walikuwa wameenda Tunisia chini ya usalama under peace agreement ya Marekani.
Hiyo ilikuwa mara 3 ya hao wa October.
Hizi chuki haziluanza jana. Miaka 75 iliyopita.
Hao Waturuki unaowasema wamekimbilia Western kuosha na kulea vizee wa kizungu.. Germany pekee kuna Waturuki milion 5 waliokimbia hali ngumu ya maisha kwao.Kuna mataifa yana maisha mazuri sana kama Qatar,Kuwait,Brunei,Uturuki,Malaysia, Indonesia n.k n.k,kwanini nihangaike kwenda Ulaya!?
My dream nation is Turkiye.
Nchi ambayo hata kupata uraia ni rahisi haswa ukigundulika muislam.
Mara nyingi Wakiristo waliooNanukuu:
"Huyo unayemwita mwamba anayekalia sehemu za watu kwa mabavu na chanzo cha balaa zote hizi anatumia mbinu za kisingizio cha mateka na hataki suluhisho hivyo anaendelea kuua “Genocide” ovyo maana hajashiba damu. Hawa Mayahudi wallisha fukuzwa nchi 1035 kwa ajili ya ufisadi wao. Hawamtambui Yesu wanamuona kama mwana haramu; na hawautambui ukiristo wanauwa wakiristo na kupiga mabomu makanisa lakini wamo humu waliolala usiwaamshe wanafurahia mauaji."
Mkuu; Tuwe wakweli na waaminifu kwa nafsi zetu:
1. Ni nani awaye yeyote yule aliyekuja hapa duniani akiwa na walau kipande au chembe ya Ardhi au eneo analoweza kudai ni lake????
Nchi zote duniani (Maeneo au sehemu za watu) ni makubaliano tu baina ya WATU/BINADAMU kwamba wewe kaa hapa, yule akae pale, wale wakae kule, etc etc. ili wote tuweze kuishi. Na cha ajabu, Dunia haija jaa -nafasi bado tele.
Ugomvi wa maeneo unatoka wapi?? Kwani ni lazima tubanane hapa hapa tuu??
2. Hoja ya Udini sio sahihi kuihusisha hapa japokuwa inapenyezwa kwa nguvu.
Hakuna dini (Imani)inayohamasisha vita ila wapo baadhi ya viongozi wanaotoa tafsiri hupotosha kilichoandikwa kwenye vitabu vitakatifu vya dini husika.
3.Ni vizuri na ni busara kuzingatia kwamba hakuna ubaguzi eti hizi ni risasi au mabomu ya wakristo au ya Waislam n.k. n.k. Risasi, mabomu, maroketi n.k. yani Silaha zinapotumika huwa hazibagui.
Siamini kwamba kuna watu wenye akili sawa sawa wanaofurahia mauaji. Mbona inapofika zamu yao kuuliwa au Kufa wanahangaika vile? Hata huyo Sinwar siadhani kama alikuwa anafurahia kwani ilipofika zamu yake alihangaika kujinasua.
hakuna wakati Palestine iliwai kubaki wanawake na watoto watupu.
hizi hadithi Mnazitunga vichwani mwenu ilikupata Sympathisers.
Bure kabisa.
hakuna wakati Palestine iliwai kubaki wanawake na watoto watupu.
hizi hadithi Mnazitunga vichwani mwenu ilikupata Sympathisers.
Bure kabisa.
View: https://youtu.be/IIHtjH6UkBk?si=Wtk_Dgv68cWKP7-l
Naona hawa wote ni Waingereza watakupa jibu. Maana umefumbwa akilihakuna wakati Palestine iliwai kubaki wanawake na watoto watupu.
hizi hadithi Mnazitunga vichwani mwenu ilikupata Sympathisers.
Bure kabisa.
Naona hawa wote ni Waingereza watakupa jibu. Maana umefumbwa akili
View: https://youtu.be/IIHtjH6UkBk?si=Wtk_Dgv68cWKP7-l