Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UNIFIL ipo pale mpakani mwa Lebanon kusini na Israel kaskazini almaarufu kama buffer zone. Lengo ni kudhibiti/kuzuia mapigano kati ya IDF (Israel kaskazini) na Hezbollah (Lebanon kusini) i.e Pande mbili hasimu zisiweze kukabiliana uso kwa uso. Lakini makombora au maroketi na ndege vinapita angani kuvuka eneo hilo na kusababisha madhara kila upande.Umeshachanganya mambo.
Unajua sababu ya kuwepo UNIFIL pale Lebanon!?
Kafuatilie sababu ni ipi.
Kama hiyo UNIFIL ina matokeo chanja
1)Kwanini haikumuwajibisha Israel ilipomuua muandishi wa habari kwa sniper Sheriin Abu Akleh!?
2)Kwanini haikuzuia utanuaji wa makazi West bank ya wazayuni!?
3)Kwanini haikuzuia uvamizi wa IDF na wazayuni Khani Younis Agosti 23 iliyopelekea mashambulizi Oktoba 7?
Inafanya nini hiyo UNIFIL!??
Kitendo cha mataifa makubwa tena ya Ulaya kususia kikao UNGA na kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel inaonesha dunia imeshachoka kuwa vinyamkela vya USA na kufumba macho kufumbia uchafu wa Israel.
Ulimsikia waziri wa haki za binadamu wa Spain!?
Alisema "USA inashupalia vita Ukraine dhidi ya Russia na inaacha mgogoro timamu wa uvamizi wa Israel huku Israel ikikiuka hadi sheria za UN,inachofanya Israel kama hakijakemewa basi mataifa mengine yatafanya hata kwa mataifa yetu".
Kufikia hatua hadi super power anasemwa hivyo jua diplomatically Israel ameanza kuanguka.
Hii ina athari kisiasa na kiuchumi kiujumla.
Kulia waarabu washalia sana tena sana hata sasa wamezoea,ila je Israel wao vipi!?
Leo hii ukiwaita waarabu pale West Bank hadi vitoto washike silaha watakubali kwasababu wanadai uhuru,kama mtu hauna uhuru una kitu gani cha kupoteza!?
Ila nenda pale Israel ita mkusanyiko watu kujiunga vitani uone kama watajitokeza.
Juzi tu hapa Brigade zao Israel zimepigana ngumi wakitofautiana nani aende Operation ya Lebanon.
Israel kama ikiendekeza ubabe kamwe haitaishi kwa amani.
Sikusema Gaza. Ebu jaribu kutumia bongo kidogo. Nimesema Sabra na Shatila Camps- ilikuwa Kambi za wakimbizi wa Kipalestina huko Lebanon mwaka wa 1982 .Pia kabla hujajibu unaweza kufanya reseach kidogo.Ni wakati upi Gaza iliwai baki wanawake na watoto watupu na wanaume wote kuondolewa?.
kinachojadiliwa hapo hakijibu nilichokuuliza.
najua umejitungia story,kama mfanyavyo ili kutafuta huruma.
Poor You.
Mkuu USA alimkingia kifua Israel dhidi ya mauaji ya muandishi wa habari 2021 ya Sheriin,na alikataa kuwajibika hata kumuwajibisha askari aliyefanya hivyo.UNIFIL ipo pale mpakani mwa Lebanon kusini na Israel kaskazini almaarufu kama buffer zone. Lengo ni kudhibiti/kuzuia mapigano kati ya IDF (Israel kaskazini) na Hezbollah (Lebanon kusini) i.e Pande mbili hasimu zisiweze kukabiliana uso kwa uso. Lakini makombora au maroketi na ndege vinapita angani kuvuka eneo hilo na kusababisha madhara kila upande.
Kuuawa kwa mwandishi Habari ni kosa na kushambulia kambi za UNIFIL pia UN ilikemea vitendo hivyo vya Israel. Japokuwa IDF ilijitetea kwamba Hezbollah ameweka mahandaki na silaha maeneo hayo na akatoa ushahidi.
UN nyanja zake zote zilijadiliwa na kuonekana hazina matokeo chanya.Hoja ya kuzuia utanuaji wa makazi West Bank ni ya muda mrefu na Israel alikuwa anadai eti ni kudhibiti uingiaji kwa kuvizia wa baadhi ya wapiganaji wa Kipalestina na Urushaji wa maroketi ya HAMAS i.e. kujiwekea Umbali ambao makombora ya HAMAS hayataweza kuifikia Israel.(Madai hayo kama yalikuwa ni kweli au uongo sijui).
UNIFIL inafanya shughuli zake kwa mwamvuli wa Vikosi vya Kimataifa vya kulinda Amani. Kama matokeo ya UNIFIL kuwepo hapo hayakuwa na Matokeo chanya ilitakiwa Hoja hiyo izungumzwe baina ya UN na mataifa husika katika mgogoro huo ili waone nini kifanyike -ila sio kila upande kuendelea kuongeza makali ya mzozo kwa kurushiana makombora na maroketi kana kwamba UN haina impact yoyote kwa kuwepo hapo.
Sahihi mkuu.Kitendo cha tar.7 Okt. 2023 kisingeliweza kuzuiwa na UNIFIL kwani HAMAS na ndugu yake (Hezbollah) walishajiwekea azimio muda mrefu kama ulivyodokeza hapo ni Augost 23.
Unachekesha wewe.Hao Waturuki unaowasema wamekimbilia Western kuosha na kulea vizee wa kizungu.. Germany pekee kuna Waturuki milion 5 waliokimbia hali ngumu ya maisha kwao.
Wewe kidogo ubongo wako umeganda yaani Kila siku hua nasoma comment zako kama mtu mwenye matatizo ya akili au itakua wewe ni shoga sasa mtu atoke Germany aende uturuki Kwa jipya ganiUnachekesha wewe.
Nenda katizame takwimu hao Germany unaowasemea wewe ndio wanakimbilia Uturuki kwa wingi tu.
Eastern Europe mataifa kama Bosnia,Serbia na mataifa ya Yugoslavia pamoja na Greece ndio yanaongoza kukimbilia Uturuki.
Hata hao wasanii wakubwa unaowaona waigizaji na waimbaji hapo Uturuki asilimia 85-90 ni wa mataifa hayo hususan Germany na Greek.
Waturuki asilia asili ya Turkmeni wao wapo zao mashambani huko vijijini.
Ni wakati upi Gaza iliwai baki wanawake na watoto watupu na wanaume wote kuondolewa?.
kinachojadiliwa hapo hakijibu nilichokuuliza.
najua umejitungia story,kama mfanyavyo ili kutafuta huruma.
Poor You.
Kila nikiangalia ile video ya kijana wetu Mollel ni kama machozi yanatoka kuntoka.Lakini ukumbuke kwamba Mtu husamehewa makosa yake baada ya kukiri na kuomba msamaha. Lakini hawa magaidi wameshupaza shingo. Wacha wanyooshwe kidogo akili ziwakae sawa sawa.
Mkuu; Bila kuathiri majibizano yenu hapo 👆 👆 , naomba Nanukuu: ...."Ndo maana unaamini watoto wateule waliomkanusha Yesu wakamuona kama Mwanaharamu, wanapiga mabomu kuvunja makanisa huko lebanon na Gaza hawautambui ukiristo....."!Sikusema Gaza. Ebu jaribu kutumia bongo kidogo. Nimesema Sabra na Shatila Camps- ilikuwa Kambi za wakimbizi wa Kipalestina huko Lebanon mwaka wa 1982 .Pia kabla hujajibu unaweza kufanya reseach kidogo.
You Poorest! 😳
Ndo maana unaamini watoto wateule waliomkanusha Yesu wakamuona kama Mwanaharamu, wanapiga mabomu kuvunja makanisa huko lebanon na Gaza hawautambui ukiristo lakini baada unawaabudu tu!
😝😝🤣 Mbio kama za " 🎼🎵 Kasongo yeyeyeee eeeeh, Mobali na ngai 🎶🎼 "Huyo ukimwambia saivi achague visa ya kwenda kuishi taifa la kiislamu Afghanistan, Iran, Saud Arabia au Canada na Uingereza,, atakimbikia kwa "makafiri" Kwa mwendo wa ngiri mkia juu
We ndio unadhani vile sababu akili zako haziko sawa. Israel yenyewe ina Kiri huyo ni shujaa na kwa kibahati bahati ndio wamemkuta pale, wala hawakutegemea atakuwa anapigana vita. Siku zote Israel anasema Sinwar yuko chini ya ardhi kumbe mwamba alikuwa ndio kwenye frontline. Kingine wanasema ni kifaru kilipiga ile sehemu, ndio kwa bahati mbaya kikapiga kichwa chake lakini mpaa mda wa mwisho aliweza kuwarushia boom na kuwauwa askari wa Israel.Haya umeambiwa na sheikh kitinku.jamaa ameuawa kama panya, kama kibaka. Hakuna hata ushujaa....hawakumtaka akiwa hai.walitaka maiti yake tu.amechanganyikiwa drone anaipiga kwa fimbo....kafa kifala sana.
Hamjawahi kuwa na shukrani kwa Taifa lolote mnaloamini ni la Kikafiri hata kama Taifa hilo litawatendeeni mema mengi.Mbona kama unaongea kwa kuropoka!?
Hizo ni siasa hubadilika tu.
Kiongozi wa Uingereza wa 1920s sio sawa na wa miaka ya 2000.
Nahisi umtoto wa haya mambo huwezi elewa.
Wadanganye wajinga wenzio,Wajerumani wapi hao wanaokimbilia Turkey ?labda hao wa Bosnia.. hebu tuambie Mehmet Scholl na Mesut Ozil waliocheza timu ya taifa ya Germany' kizazi chao kilifuata nini ujerumani km sio kufagia barabara ?Unachekesha wewe.
Nenda katizame takwimu hao Germany unaowasemea wewe ndio wanakimbilia Uturuki kwa wingi tu.
Eastern Europe mataifa kama Bosnia,Serbia na mataifa ya Yugoslavia pamoja na Greece ndio yanaongoza kukimbilia Uturuki.
Hata hao wasanii wakubwa unaowaona waigizaji na waimbaji hapo Uturuki asilimia 85-90 ni wa mataifa hayo hususan Germany na Greek.
Waturuki asilia asili ya Turkmeni wao wapo zao mashambani huko vijijini.
Kweli ni kitendo cha kuhuzunisha mno ukizingatia kwamba Yule kijana Mollel alikuwa hajui hili wala lile ya kinachoendelea tukio husika na maskini ya Mungu, dogo alikuwa hajui lugha ya Kiarabu halafu hata kwa rangi ni mtu mweusi tii- Hafanani rangi na Myahudi.Kila nikiangalia ile video ya kijana wetu Mollel ni kama machozi yanatoka kuntoka.
Uislamu siyo dini kikundi cha wahuni waliokuja kuleta mafarakano duniani.Hamjawahi kuwa na shukrani kwa Taifa lolote mnaloamini ni la Kikafiri hata kama Taifa hilo litawatendeeni mema mengi.
Ndo maana tunasema Israel iendelee kutoa kipondo kikali zaidi.
Hayo mataifa mnayoona ni ndugu zenu yamewasaidia nini? Saudi Arabia yalipo Makuu ya Dini yenu imewasaidia nini hao ndugu zenu katika imani kule Palestina? Mna unafiki nyingi sana nyie maamuma.
Hata kwenye ulaji na unywaji tu mna unafiki. Mnasema pombe ni haramu ilhali Allah wenu amewaahidi mito ya pombe huko peponi. Si mnywe tu mkiwa duniani tujue moja? Hovyo kabisa hii dini.
Hio video imewafadhehesha US na Israel kujidai wana technology zakuona kila kitu, si ajabu hao askari watahukumiwa. Kwanini walichukua video yuko nje ya tunnels na pia yupo ana combat dress. Israel walitaka waonyeshe watu wamemuwa kwenye tunnels ili wasifie technology za US, Germany na UK zinaona kila kitu. Hio kumkuta pale tena walikuwa hata hawajui yupo pale ni aibu kwa Israel, US, UK. Germany hata hao India na France walio tuma drone zao kuspy Sinwar yuko wapi 😄Wakuu,
IDF wametoa a brand new video inayomuonesha Yahya Sinwar kwenye moments zake za mwisho kabla hajafariki, ni video ambayo inaibua maswali mengi sana ukiitazama kwa umakini.
Kwenye video hii, Sinwar anaonekana akiwa ameumia mkono na anajificha ficha kwenye makochi na huko mwishoni anaonekana akiinua fimbo na kutaka kupiga hiyo drone.
Kiukweli inatia huruma. Ukiwaza huyu ndio alikuwa Mastermind wa shambulio la Oktoba 7 mwaka jana, unapata mawazo mengi sana.
Na hapa inaonesha mabodyguard wake walikuwa wamemkimbia au wameshafariki.
Uislamu ni dini (Imani) lakini kama ilivyo kwa dini nyingine zote, Kuna vikundi vya KIHUNI ndani yake waliokuja kuleta mtafaruku na mafarakano duniani. Sio Wakristo, sio Waislam. kote kote utakuta kuna makundi ya Kihuni kazi ni kuleta fujo tu.Uislamu siyo dini kikundi cha wahuni waliokuja kuleta mafarakano duniani.
Wewe uliona pale alipokuwa amefunikwa na kifusi auHio video imewafadhehesha US na Israel kujidai wana technology zakuona kila kitu, si ajabu hao askari watahukumiwa. Kwanini walichukua video yuko nje ya tunnels na pia yupo ana combat dress. Israel walitaka waonyeshe watu wamemuwa kwenye tunnels ili wasifie technology za US, Germany na UK zinaona kila kitu. Hio kumkuta pale tena walikuwa hata hawajui yupo pale ni aibu kwa Israel, US, UK. Germany hata hao India na France walio tuma drine zao kuspy Sinwar yuko wapi 😄