Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

Hii issue ya Gaza siasa zilikuwa nyingi sana kuliko uhalisia, Israel ameangalia uhalisia wa tatizo , ameona akisikiliza nchi za Ulaya ambazo siko secure. Tuombe tu wasisababishe maafa makubwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240411-134418.jpg
    Screenshot_20240411-134418.jpg
    227.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20240411-134514.jpg
    Screenshot_20240411-134514.jpg
    310.9 KB · Views: 2
Wewe tangulia kusoma hapa kabla sijasoma hiyo

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
Point ni moja tuu hakuna vita ya kikirsto na kiislamu gazza.....
Jinsi unavyopost utafikiri wewe ni myahudi...
Wapaletina wanatetea ardhi yao na tamaduni zao... Israel nae anatetea tamaduni zake na watu wake.
Inabidi hapo ujifunze tamaduni za kipalestina na za kiisrael!!
 
Kikubwa nilichogundua hapa jamii forum hasa kwenye mzozo wa Hamas na israel watu wengi huchangia kwa mihemko ya kidini.
Nilitegemea watu watajadili kwa hoja za msingi na kuuweka udini pembeni.
Nilitegemea as great thinkers mngejadili zaidi athari za vita na njia za kutatua mzozo huo..
Nilitegemea as great thinkers majadiliano yangekuwa kwa hoja na sio matusi Wala kebehi.
Nilitegemea ustaarabu wa hali ya juu kama kawaida yetu watanzania.
Hapa nmeanza kupata mashaka mafundisho mnayopewa kanisani au msikitini.
Jaribu kadri unavyoweza kupiga vita chuki za kidini!!!!
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
Shoga ni mwamedi alienyonya ulimi wa hasan
 
  • Kicheko
Reactions: 511
Kikubwa nilichogundua hapa jamii forum hasa kwenye mzozo wa Hamas na israel watu wengi huchangia kwa mihemko ya kidini.
Nilitegemea watu watajadili kwa hoja za msingi na kuuweka udini pembeni.
Nilitegemea as great thinkers mngejadili zaidi athari za vita na njia za kutatua mzozo huo..
Nilitegemea as great thinkers majadiliano yangekuwa kwa hoja na sio matusi Wala kebehi.
Nilitegemea ustaarabu wa hali ya juu kama kawaida yetu watanzania.
Hapa nmeanza kupata mashaka mafundisho mnayopewa kanisani au msikitini.
Jaribu kadri unavyoweza kupiga vita chuki za kidini!!!!
Baada ya kupigwa ndo akili inarudi
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
Screenshot_20240408-171215~2.png
 
Magaidi yote ya dini yaliyojificha pale lazima yaliwe....
The Israel Air Force struck various targets across the Rafah area in the Gaza Strip.

View: https://twitter.com/Jerusalem_Post/status/1778155611923841222

S

Serious tuache masikhara shekhe kuna watu wanajua kupiga nyie
 
Back
Top Bottom