Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hapo juzi wajumbe wa Israel walielekea nchini Misri bila mwaliko rasmi ikitaka mazungumzo yaliyodorora ya kusitisha vita yafufuliwe tena.Hiyo ilikuwa ni siku mbii tangu kuuwawa kwa Ismail Haniye ndani ya Iran ambapo Iran imeahidi kulipiza kisasi.
Sambamba na hatua hiyo ya Israel leo Iran kupitia waziri wake wa mambo ya nje aliyechukua nafasi ya waziri kama yeye aliyekufa kwenye ajali ya ndege ambaye alitajwa kuwa na msimamo mkali,naye amesema Iran inakataa juhudi zozote za nchi za kiarabu kutaka kupoza mzozo huo.
Imesema kipigo hicho kinaendelea kupangwa na kuchaguliwa muda wake na kwamba kuipiga Israel ni lazima.