Israel yafanya Mashambulizi Mazito Lebanon, Jeshi la Lebanon Laangamiza Vituo vya Kurushia Makombora vya Hezbollah.

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,949
Kufuatia kitendo cha makombora kurushwa tokea Lebanon kuelekea Israel, Israel imeshambulia targets mbalimbali za Hezbollah kusini mwa Lebanon. Hezbollah hawajasema kuwa ni wao ndio waliorusha, lakini Israel inaamini ni Hezbollah. Netanyahu ameahidi kufanya mashambulizi makubwa zaidi dhidi ya Hezbollah, na kudai kuwa lazima Hezbollah wajutie.

Kwa upande wake Lebanon, imelaani kitendo hicho cha Hezbollah, na jeshi la Serikali linasaka vituo vya kurushia makombora vya Hezbollah, na tayari lilivyovibaini, limeviteketeza.

Aljazeera
Houthi

Israel launches dozens of air strikes on southern Lebanon​

Israel’s Prime Minister Netanyahu has ordered air strikes against dozens of “terrorist” targets in Lebanon in response to rocket fire.
The army “is currently attacking Hezbollah terrorist targets in southern Lebanon. To be continued”, said military spokesman Avichay Adraee.
No group has claimed responsibility for five rockets launched towards northern Israel. No damage or casualties have been reported.
Israel’s military vowed a “severe response” to the attack.

30m ago
(10:52 GMT)
Developing

Lebanon’s army ‘dismantles’ rocket launch site​

The Lebanese military says it dismantled three makeshift rocket batteries in the south of the country after projectiles were launched towards Israel.
 
Hezbollah hawajakoma kupoteza viongozi wao
 
Kazi nzuri.
 
Serikali ya Lebanon ni wajinga mno yaan wapi wapo TU maskini wanachezewa makalio, yaan hizbollah alishawachia mambo Yao lakin kuchwa wanawaandama badala wapigane na Israel wao wanamnyooshea vidole hizbollah ni wehu kabisa
 
Hezbollah hawana kawaida ya kukana kuhusika. Mi naamini siyo wao. Makundi ya aina yako mengi huko Lebanon
Makundi gani bana!!??? Ila zamani walikuwa wanasema ni wao kipindi kile wameota mapembe ila baada ya kipigo ndio sasaivi wanakanusha ila netanyau kawakomalia ni wao waliofanya ujinga huo wasubiri kipigo tu akuna kujitetea hapa
 
Back
Top Bottom