Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Solidarity forever!
Hezbollah na Houthi ndo vidume, hawajaacha ndugu zao Palestinians wateseke, soon Israel ananyoosha mikono, anapigana pande zote na hatofua dafu.
Asubiri mvua ya maroketi kutoka Hezbollah na Yemeni
 
Solidarity forever!
Hezbollah na Houthi ndo vidume, hawajaacha ndugu zao Palestinians wateseke, soon Israel ananyoosha mikono, anapigana pande zote na hatofua dafu.
Asubiri mvua ya maroketi kutoka Hezbollah na Yemeni
Kujifariji si vibaya.
 
Lebanon wanadai ni zaidi ya 💯
 
Israel hana mamlaka yoyote yale kwa Sheria ya kimataifa kuwaambia raia wa Nchi yoyote ile aondoke Nchini kwao.

Leo Kagame ama Museveni akiwaambia watu wa Mkoa wa Kagera waondoke halafu wa kapiga Kagera itakua wenye Tatizo NI Tanzania?
Kwani tupo vitani na Kagame au Mseveni? Kama tungekuwa vitani na Ana huruma na wananchi wa kawaida angewaambia waondoke ........
 
Wengi hawajui Israel ni Adui no 1 ya Wakristo wengi Middle East, na sio Middle East tu hapo Armenia wanauliwa kila siku na Azerbaijan kwa Msaada mkubwa wa huyo huyo Israel, Njoo Congo hapo unakuta huyo huyo Israel anatumikisha watoto kila siku, Nchi zote Africa kwenye Migogoro ya Almasi unawakuta na Blood diamond zao. Wengi humu akili zao si kwa ajili ya kufikiria bali wamekuwa tu Chawa wa Media.
 
Majengo husika ndo yaliyokuwa yakitumika kuhifadhi silaha. Ndo maana waliambiwa waondoke kwenye majengo hayo. Lakini wao walikaidi.
Hakuna Mtu anaehifadhi Silaha Ghorofa wanaloishi watu, hizi ni Propaganda za Kitoto zimetumika sana Gaza, Iraq etc.

Iraq Nchi nzima tumepigwa kamba weee Sadam ana silaha za Maangamizi hadi leo hata kibomu kimoja cha Maangamizi hakuna, Huko Gaza hivyo hivyo hadi calender za Kiarabu walikuwa wanatupiga Fix eti ni strategy za Hamas.

Hapo hao waliouliwa hutaona hata Sindano.
 
Kwahiyo mwaka 2006 UN haikuhusika kwenye ceasefire?
 
Ila hizbollah walitahadharishwa kabla ya kwamba wasiingilie mgogoro usiowahusu...
 
Kwahiyo mwaka 2006 UN haikuhusika kwenye ceasefire?
Ilihusika kwa negotiations na reconciliations.
Na ilihusika wakati Israel imesharudishwa nyuma hadi Shebah farms.
Tofauti na 2000 UN iliiamuru Israel iondoke Lebanon wakiwa wapo ndani ya mipaka ya Lebanon na jeshi lao.
 
Ukitaka upigane na israel na akuheshimu nawe piga makazi ya kiraia kama wao wanavyofanya.

Ukijifanya unatii sheria za vita za kimataifa Israel itakuletea misiba mikubwa.
 
Hadi kufika sasa ni watu zaidi ya mia walio fariki.
Update: Israeli airstrikes kill at least 100 in Lebanon, health ministry says, as the IDF intensifies its campaign against what it says are Hezbollah targets https://t.co/7X6eYXKGQA
 
Ilihusika kwa negotiations na reconciliations.
Na ilihusika wakati Israel imesharudishwa nyuma hadi Shebah farms.
Tofauti na 2000 UN iliiamuru Israel iondoke Lebanon wakiwa wapo ndani ya mipaka ya Lebanon na jeshi lao.
Rudi ukapitie tena hayo madesa Yako
 
Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Utapiga raia ambao muda wote wanaishi kama panya kwenye mahandaki ya nyumba zao!! Labda na wenyewe walipue maeneo ya katikati ya miji! Na siyo pembezoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…