and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Sijasema Hezbollah itashinda, nimesema Israel haitoweza idhibiti Hezbollah.Israel imetumia wiki kuua command nzima ya Hezbollah. Unasemaje Hezbollah itashinda.
Hamas unaona wanafurukuta kwa lolote? Si walikuwa wanapewa kichwa, sasa Hezbollah imevamiwa Hamas hata kurusha roketi moja hawajarusha. Wakati mpango wa Iran ni kuwatumia hawa kwa pamoja.
Hezbollah atapigwa hutoona Iran wala Syria ambako walimsaidia Assad wakijihusisha. Kipigo cha peke yao.