Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Sawa jiandae mkuu, maana hapo Tel Aviv wanajinasibu kama Paradise ya Gays, wakiwa malizia Waarabu you are next, andaa wajukuu zako Kina Anti Babuu, Anti wesaki na Anti Kilauwo. Sasa hivi hatushei mipaka lakini unwagaji damu wanaousabababisha Africa ni mkubwa, imagine sasa wakishea na wewe mipaka.
Nanukuu:".....hapo Tel Aviv wanajinasibu kama Paradise ya Gays,...."
Aisee!; Mkuu, Hebu tupatie link yao ili nasi tusome wanavyojinasibu.
 
Hivi Hezbollah wanaposhambuliwa wanaokufa ni wanawake na watoto tu,hakuna wapiganaji wanaokufa?.
 
si waliambiwa waondoke..

kwanza hata hao kiasilia hawakutakiwa kuwa wavaa kobaz.. miaka mingi sana babu zao wali lazimishwa kwa upanga, kutoka kwenye imani yao, na kuhamishwa kinguvu kwenye imani ya upande wa pili
Unalijua taifa la lebanon vzuri au ilimradi tu
 
Yes! Wakiulizwa swali hilo hawatoi jawabu straight bali watakurudisha kwenye mambo yaliyopita enzi hizo na madai au makubaliano ambayo hayakutekelezwa au yalikiukwa na blaablaa nyingi. Ni wababaishaji wa kiwango cha kimataifa na hukwepa maswali ya msingi, huvuruga agenda au hoja muhimu kwa kuzusha mambo yaliyo nje ya Hoja yan tuseme tu ukweli kwamba Hao jamaa ni vurugu tupu utadhani wote wanavuta bangi au kubwia unga.
YEah mkuu hawa watu shida tupu
 
Hezbollah wametoa tangazo muda mfupi uliopita na kama tunavojua Huwa sio waongeaji sana wa maneno ila kwa vitendo. Message sent and delivered.
Screenshot_20240924-205606.png
Screenshot_20240924-205555.png
 
Nanukuu:".....hapo Tel Aviv wanajinasibu kama Paradise ya Gays,...."
Aisee!; Mkuu, Hebu tupatie link yao ili nasi tusome wanavyojinasibu.


Kuna Articles nyingi mno, kifupi hawafichi, Gay parade kubwa zinafanyika huko, kuna Beaches, Sauna etc kama hunaduliwi/Hubandui mwanamme mwenzako huingii.
 
Hiyo mbona IDF walishaliongelea siku 3 kabla kwamba wananchi wa Israel wawe calm maana adui amepanga kutoa ujumbe kuwa provoke watu na hata ukisoma huo ujumbe kama una akili timamu unajua kabisa ni ujumbe wa mchongo
 
Sasa kabla hawajabonyeza kibayani, unakuta wamesha bonyezwa wao na kamanda wao mmoja ameuwawa.
INASIKITISHA SANA
 
IDF hawashambulii ovyo ovyo tu na hii ndio tofauti kati ya jeshi bora na vikundi vya wahuni, mara nyingi IDF huwa wanashambulia wanaposhambuliwa na wanapiga pale pale kwenye eneo yalipotokea makombora ( launching post) leo IDF wamepiga target karibu 300 za Hizbullah kwa maneno Yako unataka kusema wewe una akili zaidi kuliko MOSSAD yaani wakapige raia waache hayo maeneo ya Hizbullah ambayo ni tishio kwao?
Afadhali imejibu yaani nchi ina uwezo wa kulipua vifaa vya mawasiliano ya adui leo asitambue kwamba wapi kuna umuhimu wa kushambulia anavyofikiri IDF ni kama panya road ambao utawadanganya kwa kuandika kuwa hii ni kambi ya jeshi nao wakubali matokeo pasipo kujiridhisha.
 
Halafu kinachonishangaza kambi za Hizbollah zinafahamika zilivyo.
Kwanini wao wanalenga upande wa raia moja kwa moja!??
Kule ukraine Russia anaposhambulia maeneo ya kiraia unadai WANATO walijichanganya humo. Huko Gaza/lebanon unaoa hilo haliwezekani?
 
Kule ukraine Russia anaposhambulia maeneo ya kiraia unadai WANATO walijichanganya humo. Huko Gaza/lebanon unaoa hilo haliwezekani?
Embu nioneshe ni wapi Russia alilipua maeneo ya raia??
Kama sio shrapnels kuanguka basi sio kombora hilo.
Russia huwa analipua miundombinu kama ya umeme,ya jeshi na mengineyo.
Ila Israel analipua eneo la raia deliberately.
 
At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday.

Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao

View attachment 3104244
Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks [Aziz Taher/Reuters]
Published On 23 Sep 202423 Sep 2024

Israeli air attacks on southern Lebanon have killed at least 50 people and wounded more than 300, according to the Lebanese Ministry of Public Health.

Children, women and medics were among the victims in Monday’s attacks that came after Israel told residents of southern Lebanon to evacuate from homes and other buildings where it claimed Hezbollah had stored weapons, saying the military would conduct “extensive strikes” against the group.

Lebanese media also reported that residents received text messages telling them to move away from any building where Hezbollah stores arms until further notice.

The warnings were the first of their kind in nearly a year of steadily escalating conflict that has forced the displacement of communities on both sides of the border.

On Sunday, Hezbollah launched about 150 rockets, missiles and drones into northern Israel in retaliation for strikes that killed a top commander and dozens of fighters.

The increasing strikes and counterstrikes have raised fears of an all-out war.

With Israel’s war on Gaza approaching the one-year mark, Hezbollah has decided to continue its strikes in solidarity with the Palestinians in the besieged and bombarded territory even as Israel says it is committed to returning calm to its northern border.

Source: Photos: Israeli air raids hit wide swaths of southern Lebanon, kill dozens

View: https://x.com/WarMonitorClips/status/1838496749800808828
 
Yeah. Lebanon sio Hezbollah. Kumbuka wananchi wa Lebanon sio wote wanaipenda Hezbollah kwani Hezbollah wapo kidini zaidi kuliko kisiasa japokuwa Hezbollah wenyewe wanadai kwamba wanapigania haki bila kujua na kukubali kwamba nchi ya Lebanon bado haijawa kihalali ni milki yao. Lebanon kwa muda mrefu haijawa na Rais wake ila inaongozwa tu na Waziri mkuu Najib Mikat. Hapo ujiulize ni kwa nini hakujawezekana kufanyika uchaguzi ndani ya nchi huru na ya kidemokrasia?? Hezbollah anayo majibu.
Hizbullah asipothibitiwa ipo siku atakuja kutawala Lebanon yote.
 
Back
Top Bottom